tia block huyoWadau kuna mwanamke mmoja tumeanza mahusiano tuna mwezi sasa lakini kabla ya hapo tulikuwa tukifahamiana na kuwa na urafiki wa kawaida ingawa nilikuwa ninaonyesha kuwa mimi ni mtu ambaye nina interest na yeye ila akawa ananizingua ila mpaka kufika mwanzoni mwa mwezi wa sita akakubali tuwe wote over suddenly juzi usiku kani block kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii kama IG na SNAPCHAT halafu jana asubuhi ananitumia message WhatsApp ya kunisalimia na kuniita MY LOVE, MY BABY hivi hapa kuna upendo kweli wakuu au imekula kwangu emu nisaidieni mawazo
Wacha we!Hehehee nimefanya hivyo kaka leo na mimi nimempa Block kwenye WhatsApp
SanaUnaonekana mtata sana we jamaa Daaah
Zuga ajae nyavuni ummiminie mbegu zoteWadau kuna mwanamke mmoja tumeanza mahusiano tuna mwezi sasa lakini kabla ya hapo tulikuwa tukifahamiana na kuwa na urafiki wa kawaida ingawa nilikuwa ninaonyesha kuwa mimi ni mtu ambaye nina interest na yeye ila akawa ananizingua ila mpaka kufika mwanzoni mwa mwezi wa sita akakubali tuwe wote over suddenly juzi usiku kani block kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii kama IG na SNAPCHAT halafu jana asubuhi ananitumia message WhatsApp ya kunisalimia na kuniita MY LOVE, MY BABY hivi hapa kuna upendo kweli wakuu au imekula kwangu emu nisaidieni mawazo
Un-gongekablemgonge kwanza, then sepa