pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,035
- 15,242
Tuwaulize wajinga ambao hawasheherekei siku hii muhimu.Tuwaulize Wakatoliki maana History inasema wao ndio walianzisha jambo hili la kijinga
Tuwaulize wajinga ambao hawasheherekei siku hii muhimu.Tuwaulize Wakatoliki maana History inasema wao ndio walianzisha jambo hili la kijinga
Aya bhna basi ngoja nikuunge mkono kiaina tu.Mkuu hii kitu haina maana kabisa yani piga chini tu
Hyo maulidi cyo kwa waislam woteWakristo wana Christmas na waislamu wana maulid.
Wote mliochangia uzi huu nina uhakika ni watumwa wa hizo dini mbili za mashariki ya kati.
Acheni unafki. Mimi sifanyi mbwembwe zozote siku ya birthday yangu lakini wenye pesa za mchezo let them be ndio matumizi ya pesa.
Haya maisha ukijifanya serious sana utaishia kupata stroke watu wakukung'itie tu mkeo.
Wewe una matatizo kichwani siyo bure, hivi unaijuwa vizuri Gregorian calendar?Kinachokera zaidi na kupoteza maana ni pale unapobaini umezaliwa siku ya jumatatu na wewe unasherehekea siku ya kuzaliwa kwako jumatano, tena kwa kuwalazimisha ndugu jamaa na marafiki kukuchangia....!!
Nyambaaaaf...!
best movie kwangu kwa movie za kitambo jamaa baada kuona deni litamuelemea akaona bora afe baada kujirusha darajani kilichotokea aliomba tu arudishwe duniani yaan akaona deni si chochote movie nzuri sana ila walocheza ile movie wote washakufa aisee walio hai ni wale waloact watoto wake yule wa kike hadi kimdoli chake akawa yupo nacho kwenye future na yule mdogo ndo pekee wapo hai mpk sasaUshawahi kufikiria kujiua usiwepo duniani? Ukifariki dunia itapata hasara gani?
Ushawahi kuona movie inaitwa "It's A Wonderful Life" ?
It's a Wonderful Life - Wikipedia
Dah, mazee umeikubali eeh? Ile movie ni classic.best movie kwangu kwa movie za kitambo jamaa baada kuona deni litamuelemea akaona bora afe baada kujirusha darajani kilichotokea aliomba tu arudishwe duniani yaan akaona deni si chochote movie nzuri sana ila walocheza ile movie wote washakufa aisee walio hai ni wale waloact watoto wake yule wa kike hadi kimdoli chake akawa yupo nacho kwenye future na yule mdogo ndo pekee wapo hai mpk sasa
sana tuu naikubari nakumbuka hii movie mara ya kwanza niliicheck 2012 siku naijua wala sikuwa kuisikia niliikuta kwenye Xtno HDD niliyoinunua siku moja nipo home siku hiyo sikuwa na movie ya kuangalia km ningesema niirushe kwa kuchunguza km nzuri nisingeiangalia ila siku hiyo nimeanza nayo mwanzo taratibu nikawa naanza kuielewa mpk kesho sijawaifuta kwenye PC zaidi ya kuhamisha tu kila ninapokuwa na PC mpyaDah, mazee umeikubali eeh? Ile movie ni classic.
Mtu akitaka kuhoji kwa nini kuna kusheherekea maisha, inabidi aangalie ile movie.
Sasa unasherehekea siku ama tarehe ya kuzaliwa....!?Wewe una matatizo kichwani siyo bure, hivi unaijuwa vizuri Gregorian calendar?
Kwa taarifa yako wapo ambao tarehe walizozaliwa kuna miaka hazifiki hizo tarehe tunageuza mwezi, maana yake kuna miaka wanakosa birthday zao.
Huku US kila mwaka Christmas Eve lazimawaionyeshe nchi nzima TV stations nyingi sana movie hii.sana tuu naikubari nakumbuka hii movie mara ya kwanza niliicheck 2012 siku naijua wala sikuwa kuisikia niliikuta kwenye Xtno HDD niliyoinunua siku moja nipo home siku hiyo sikuwa na movie ya kuangalia km ningesema niirushe kwa kuchunguza km nzuri nisingeiangalia ila siku hiyo nimeanza nayo mwanzo taratibu nikawa naanza kuielewa mpk kesho sijawaifuta kwenye PC zaidi ya kuhamisha tu kila ninapokuwa na PC mpya
ile movie ilimfanya jamse stewart awe nominated OSCRA katika best actor mwaka huo