Sielewi cha kufanya...!

Sielewi cha kufanya...!

Shixi889

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2012
Posts
338
Reaction score
208
Nko katika age ambayo wadada wengi wanatamani sana kuolewa na siwezi kataa hata mimi pia natamani sana atokee wa kunioa.

I have bin single for a while baada ya mwanaume nlieachana nae kuwa too overprotected na wivu wa ajabu sana we planned to marry but nilimpa muda wa miezi sita kwanza tuchunguzane nsije nikavaa mkenge nashukuru sana Mungu kwa maamuzi yangu hayo.

Recently nimekutana na huyu mtu ambaye ananifahamu toka utotoni tumekuwa pamoja na toka siku hizo alikua akiniambia mie ndo ntakuwa mkewe thou sikumweka akilini kabsa.

Tulikua close kama marafiki wa kawaida kwa muda mrefu sana mpaka tulipofika chuo kila mtu akaendelea na maisha yake.

Siwezi kumsema kwa upande wake sababu sijui kwa hakika alichokua akifanya kwa upande wangu nshakuwa katika mahusiano na ni kama I have never been luky pande hizo.

Now he is serious kwamba anataka kunioa na anataka kwenda kujitambulisha home.

Na anainsist kuwa hata kama siko tayari kwa sasa atanisubiri "wee endelea tu maisha yako ukichoka mie nko nakusubiri" ndo alichonambia.

Sielewi cha kufanya sababu

1.Sijawai kumpenda kabsa as mpenzi nampenda kama rafiki yangu wa karibu.

2.Nimechoka kuanzisha mahusiano ambayo hayatadumu.Na i guess am desparate wadogo zangu
wameoa na kuolewa mie nipo nipo tu.

3.Once I was chuo my dad alishwai nambia hatapenda kusikia nimeolewa na kabila fulani ambalo ni
la huyo mwanaume.

Na sidhani kama ni choise ya my mom pia cz enzi hizo alikua akija home
my mom hajawai kumchangamkia na nlikua nashangaa kwa nini.

4.Na wasiwasi na mahusiano yake what if ana mtu ambaye alikua nae serious na labda huyo mdada kawekeza mengi sii ntafanyiwa kitu kibaya jamani i believe in what goes around comes around.

:disapointed:
 
Amani ya BWANA ipitayo fahamu zote na uelew woote. Ikaamue Ndani mwako.

Na utakachojisikia ndani mwako ndio uamuzi wako. Hatuoi wala kuolewa tu kwa sababu kuna mtu yupo tayari kwa ajili yako au pengine yupo tayari hata kufa kwa ajili yako, Ndoa unatokea pale wawili wanaporidhia mioyoni mwao kuwa yafaa kuishi pamoja kwa kuwa wamependana na wamekubali kuchukuliana madhaifu yao (unaona utaweza kuishi kwa madahifu yake naye pia anaweza kukuvumilia na kuendelea kuboreshana siku hadi siku)

Wazazi pia kwa sehemu yao. wana nafasi kubwa sana kwenye hili swala. ukiona umewaelewesha sawia na bado wakakataa usilazimishe maana wanajua mengi zaidi yetu japo sio lazima yawe sahihi mara zote. Na ukiwapuuza uwe tayari kupambana na yatokanayo.

Endelea kumsihi Mungu wako, atakufanyia nyia. He is a mysterious God and HE works so mysteriously.
 
1. Kama hujawahi kumpenda na hata baada kukwambia anataka kukuoa you dont feel a thing for Him don't go for him.
2. you don't love him you just have gratitude for his friendship that's not a reason for marriage on top of that your
family seems to be indifference with him i don't think it will be health to go for him.

3. How old are you, Mpaka uone unachelewa?
 
Nyie ndo mnapikosea, ukitafutwa na anayekupenda ooh, mm hayupo moyoni, mara Mungu hajanipa, kwa hiyo wale waliokutenda ndo uliwapenda na ndo ulichaguliwa na Mungu? nakushauri hivi mtafute mme anayefkri kwamba umempenda na Mumgu ndo kakuopa then mtongoze..siyo umalialia tu hapa!
 
He! Kumbe inshu ya kuwekeana mipaka kwenye ukabila bado ipo!!? Kwahiyo wewe huwezi kumpenda mtu hadi wazazi wako wamkubali?? Basi mngoje babako akuletee mchumba we umeshindwa kujisimamia mwenyewe
 
Huna hisia za kimapenzi kwake, ndugu zako hawapendi kabila lake. Hizo ni sababu tosha za wewe kumwambia hauko tayari kuolewa nae.

Ndoa ina changamoto nyingi, itakuwa ngumu sana kupambana na hizo changamoto kama mwenzio hajakukaa moyoni na kwenu hawamkubali.
 
kama una wasi wasi nae leave him alone msipotezeane muda!
 
muombe Mungu akupe hekima na maarifa ya kuamua ndani yako.
 
sijui kwa nini
watu ambao huwapendi ndo wanakuaga serious na ndoa kuliko unaowapenda

...kama haumpendi,usijilazimishe..usijepata shida baadae
 
He! Kumbe inshu ya kuwekeana mipaka kwenye ukabila bado ipo!!? Kwahiyo wewe huwezi kumpenda mtu hadi wazazi wako wamkubali?? Basi mngoje babako akuletee mchumba we umeshindwa kujisimamia mwenyewe
Kwa ninavyoamini wazazi ni Mungu wa pili ndo maana kwa sisi tuna amri isemayo waheshimu baba yako na mama yako upate miaka mingi na heri duniani kama sjakosea the last part .....!!!!!soo nawasikiliza cz wanaplay a very big part in my life kwa hapa duniani.
 
Nyie ndo mnapikosea, ukitafutwa na anayekupenda ooh, mm hayupo moyoni, mara Mungu hajanipa, kwa hiyo wale waliokutenda ndo uliwapenda na ndo ulichaguliwa na Mungu? nakushauri hivi mtafute mme anayefkri kwamba umempenda na Mumgu ndo kakuopa then mtongoze..siyo umalialia tu hapa!

Heeey!!!slow down mate..!!!sjalialia aisee i blv kwa hii forum kuna watu wenye upeo tofauti ndo maana nkapost kathread kangu soo that i can share whats going on na nashukuru kwa wanaonipa ushaur mzuri na asante kwako pia kwa kuchangia in a different way u never know who is behind the pc soo dont get too personal....!!!
 
....
1.Sijawai kumpenda kabsa as mpenzi nampenda kama rafiki yangu wa karibu.

3.Once I was chuo my dad alishwai nambia hatapenda kusikia nimeolewa na kabila fulani ambalo ni
la huyo mwanaume.

Na sidhani kama ni choise ya my mom pia cz enzi hizo alikua akija home
my mom hajawai kumchangamkia na nlikua nashangaa kwa nini.

4.Na wasiwasi na mahusiano yake what if ana mtu ambaye alikua nae serious na labda huyo mdada kawekeza mengi sii ntafanyiwa kitu kibaya jamani i believe in what goes around comes around..

:disapointed:
Siku zote katika mapenzi unauskiliza moyo wako juu ya hisia ulizonazo kwa mtu fulani,kama hujawahi kumpenda mkaka wa watu let him go.Hakuna maana yoyote kama utaanzisha nae uhusiano wakati humfeel kabisa mana mwisho wa siku utakuja mtenda.

Mweleze ukweli.

Kuhusu baba ako na kabila mie sidhani kama kuna shida maadam huolewi kumfurahisha mzee wako,mambo ya makabila na ukabila Nyerere alishakataza.

Ushawahi muuliza mama yako kuhusu kumchangamkia huyo mkaka? Bila shaka wakati huyo mkaka anakuja bi mkubwa alikuwa hapendi mahusiano hayo labda mlikuwa bado watoto na mengineyo.

Siku zote ukiingia kwenye uhusiano ni sawa na kujitoa sadaka,ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia kati ucheze,hapa namaanisha huezi kujua tabia za ndani za mwanaume huyo bila kuwa naye karibu kwa maana ya kuanzisha uhusiano.

Kutokana na hiyo simulizi yako mimi naona huyo kaka anakupenda na kweli ana nia ya dhati kukuoa.
 
Asante kwa ushauri mzuri i guess itakua vizuri nkimweleza ukweli japo naona ataumia ila bora iwe ivyo miaka kama miwili iliyopita aliwai kunitafuta nkamwambia nina mpenzi huwezi amini akakata kabsa mawasiliano na mm sasa karudi tena this time more serious naogopa kuanzisha mahusiano naye sababu mambo yasipokuwa kama anavyotarajia naisi inaweza ikaleta shida baadae.
 
Na anainsist kuwa hata kama siko tayari kwa sasa atanisubiri "wee endelea tu maisha yako ukichoka mie nko nakusubiri" ndo alichonambia.

Sielewi cha kufanya sababu

1.Sijawai kumpenda kabsa as mpenzi nampenda kama rafiki yangu wa karibu.

2.Nimechoka kuanzisha mahusiano ambayo hayatadumu.Na i guess am desparate wadogo zangu
wameoa na kuolewa mie nipo nipo tu.

3.Once I was chuo my dad alishwai nambia hatapenda kusikia nimeolewa na kabila fulani ambalo ni
la huyo mwanaume.

Na sidhani kama ni choise ya my mom pia cz enzi hizo alikua akija home
my mom hajawai kumchangamkia na nlikua nashangaa kwa nini.

4.Na wasiwasi na mahusiano yake what if ana mtu ambaye alikua nae serious na labda huyo mdada kawekeza mengi sii ntafanyiwa kitu kibaya jamani i believe in what goes around comes around.

:disapointed:
My dear sister,
I hope you are fine as i'm. i have read what you have written to us but as a brother i wouldn't like you to look for a better man but for a man who will make you better, on the other hand wakuria wanamsemo wao kwamba ukitokea unachumbiwa ukasema humpendi mtu huyo basi unaambiwa kwani umpende yeye ni ng'ombe? i dont peak huyo jamaa in question for a husband maana he can be one of those who will endup saying you had no option B thats why you put yourself at his desposal in the first palce but decide on your own so when baloon goes up you should not put blames on others and especial your parents but on yourself. Sister, be yourself and there is never to late, just dont decide for the sake of others and time but for the sake of yourself.
Nitakuwa shambani and out of reach till after the harvest incase of anything mjomba moyo will lead your way to that marriage.

Your Brother Mwanajamii.
 
Thanks brother....!!!umenifanya nicheke sana kwenye bold hapo anyway unachosema ni kweli kabsa i wish i could know what my future hold..!!!!All in All i believe in God that everything will turn out perfect for me.
 
Asante kwa ushauri mzuri i guess itakua vizuri nkimweleza ukweli japo naona ataumia ila bora iwe ivyo miaka kama miwili iliyopita aliwai kunitafuta nkamwambia nina mpenzi huwezi amini akakata kabsa mawasiliano na mm sasa karudi tena this time more serious naogopa kuanzisha mahusiano naye sababu mambo yasipokuwa kama anavyotarajia naisi inaweza ikaleta shida baadae.

Kweli najua kuna wanaume ving'ang'anizi kwa wanawake hata umwambie ushachumbiwa hatokata tamaa,na wanaume wa namna hii wanakuwa wa aina mbili...

1. Kuna wale wenye mapenzi ya dhati na kweli anakuwa anakuhitaji na pia ana malengo na wewe

2. Kuna wale ambao shida yao inakuwa moja kusex na kusepa. Ogopa sana wanaume wa namna hii mana wana maneno mazuri na siku zote watakuwa wanakujali hata umwambie unahitaji msaada wao saa 8 usiku watakuja, Ukithubutu kumvulia chupi imekula kwako.

Dada mwisho wa siku dunia yako na chaguo ni lako,sisi wengine tunatoa ushauri tu.
 
Back
Top Bottom