Sielewi ana maana gani?

Ng'egera

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2013
Posts
766
Reaction score
420
Wanajf kwanza nawasalimu,

Nina mpenzi wangu ninampenda sana,lakini yeye anakaa kwao na mimi niko kwetu,yeye hua akiwa na shida namsaidia lile nililokua na uwezo nalo na anaponihitaji nakwenda kumsikiliza,

Lakini toka tuanze kua wapenzi nikimwambia tutoke basi anaanza visingizio,nyumbani kuna wageni,mara napika basi ilimradi tu,

Lakini siku akikwambia leo tutoke basi ujue anashida na pesa nyingi,mkishaingia chumbani tu utamsikia ninashida na laki moja kesho kutwa elfu sabini sasa hapo nashindwa kuelewa hiki nini?
 
anakutumia kwa shida zake.....dawa ni wewe kuwa in charge
msaidie unapoweza na unapoona sahihi
 
Pole sana ng'egera ila kiuhalisia kabisa huyo dada hana mapenz na ww 7bu anaweka maslahi yake mbele kuliko upendo anaotakiwa akupe yeye. . . . .
Afu msichana kama huyu c wa kudumu maana cku utakosa hzo pesa ambazo yeye binafsi ameona ndio kigezo cha uhusiano wenu hapo upende usipende utaachwa tu. . . .
Kwaiyo chukua tahadhari kabla ya hatari!
Am done!
 
jiandae kwenda tuition leo ukajisomee..
 
Na bado,hadi ukome.

Unamuendekeza kama ndugu yako hivi
 
Mkimbie mapema kabla hujachelewa
 
Yuko kibiashara zaidi.
Wewe mpe hela, kula mzigo kisha sepa. Untill further notice.....!
 
Wengne wana bahati za kupendwa kama huyo dada mpaka anaskilizwa..loo ila hana mapenz ya kweli
 
mkishaingia chumbani tu utamsikia ninashida na laki moja kesho kutwa elf sabini

mkishaingia huwa anakupa mzigo lakini???!! kama anakupa basi jua hiyo ndio bei anayokuuzia wewe wengine watakuwa na bei zao. Si lazima uendelee kununua kwake.
Halafu kuanzia leo acha kuendelea kujisifia NINA MPENZ WANGU

yeye hua akiwa na shida namsaidia lile nililokua na uwezo nalo na anaponihitaji nakwenda kumsikiliza,lakini toka tuanze kua wapenzi nikimwambia tutoke basi anaanza visingizio,nyumbani kuna wageni,mara napika basi ilimradi tu

Siku nyingine wala usipate tabu kumuomba mtoke, we mpigie sim mwambie nna laki 1 au elfu 70 (bei yake ya kawaida) hapa nataka nikupe hutakaa usikie tena hivyo visingizio.
 
Hana shida na penzi lako but your money, cjui uzito wa mapenzi yenu lakini.angekuwa mimi ningesema hanifai hata kidogo
 
Take the steering wheel brother, otherwise count maumivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…