Sidiria mpya kwa Wadada...

Sidiria mpya kwa Wadada...

Hiyo kitu bana unafaa hao vimodo, kama ni heavy duty ya DD OR F size lazima upate support ya forklift na sio hiyo. If you know what i mean.

support ya forklift
ha ha ha ha ha hii nimeipenda xana
 
Mmmmh huu ubunifu utajazaa chupi za mnato iwe rahisi kwa wabakaji.
 
sasa si itakuwa inavuka yenyewe??
 
NO.......shurti kwa staha na mahaba.........

Kwa namna hii ndio mahaba na staha vinanoga zaidi. Ile ya zamani unafungua kwa nyuma huoni mrembusho lakini hii ya kubandua ni face to face unaangalia mrembusho na wewe unaebandua sidiria vidole vinakwenda ndipo.Au umasemaje?
 
Back
Top Bottom