Sidhani kama kwa hili tanzania daima wanahubiri hila

L

lolwe

Member
Joined
Sep 13, 2012
Messages
75
Likes
5
Points
15
L

lolwe

Member
Joined Sep 13, 2012
75 5 15
JK amuweka kitanzini Profesa Kapuya

RAIS Jakaya Kikwete ameviagiza vyombo vya dola kuhakikisha vinamkamata mtu yeyote bila kujali cheo, atakayebainika kumbaka au kumuoa mwanafunzi wa shule.
Ametoa kauli hiyo huku aliyekuwa waziri wa wizara tofauti katika awamu mbalimbali za uongozi, Profesa Juma Kapuya, akiandamwa na tuhuma za kumbaka na kutishia kumuua binti, mwanafunzi mwenye umri wa miaka 16.
Ingawa Rais Kikwete hakutaja jina, lakini ni dhahiri kuwa kauli hiyo inamgusa pia Profesa Kapuya, Mbunge wa Urambo Magharibi (CCM).
Akizungumza kwa nyakati tofauti kwenye mikutano ya hadhara kwenye wilaya za Itilima, Meatu na Maswa mkoani Simiyu, Rais Kikwete alisema mtu anayefanya mapenzi na wanafunzi lazima akamatwe, ahojiwe na kufunguliwa mashitaka ya ubakaji na si vinginevyo.
"Kuna watu wanafanya mapenzi hadi na wanafunzi wakati sote tunajua ukimwi upo na hauna dawa na unaua. Kwa hiyo kila mmoja wetu awe makini kujikinga nao na tuepuke kuwaambukiza wengine," alisisitiza Rais Kikwete.
Wakati Rais Kikwete akisisitiza wahalifu wa makosa ya kubaka na kuoa wanafunzi wachukuliwe hatua, polisi jijini Dar es Salaam wamekuwa wakisuasua kumchukulia hatua Profesa Kapuya licha ya binti anayedaiwa kumbaka, kufungua jalada namba OB/RB/21124/13 katika kituo cha Polisi Oysterbay, jijini Dar es Salaam, akidai kutishiwa kuuawa na mbunge huyo.
Kauli ya Rais Kikwete imeonyesha dhahiri kukerwa na moja ya ujumbe mfupi wa maneno wa simu ya mkononi kutoka kwenye simu inayodaiwa kumilikiwa na Profesa Kapuya kwenda kwa binti aliyebakwa, ambapo mbunge huyo alijigamba kwamba serikali haiwezi kumfanya chochote.
Ujumbe huo unasomeka hivi: "Mkiuawa itakuwa vizuri…itawapunguzia gharama za kuishi, usitake kugombana na serikali mtoto mdogo kama wewe, sisi ndiyo wenye nchi yetu, mwenye hilo gazeti ni Mbowe, sasa mwambieni nyumba ya kuishi si mmemuingizia hela leo? Mnatumika tu bure watu wanaingiza hela nyingi, ila mmenitibua lazima niwaue, wiki hii haitaisha, nitapiga kambi kote, jana si wamekuficha, tuone utalindwa milele, maana washatengeneza hela, lazima mvae sanda tu, hilo sio ombi ni wajibu wenu, mnajitia na nyie mafia watoto siyo, watoto wetu wanauza unga nani anawakamata? Nani atapingana nasi."
Habari kutoka Ikulu ya Rais Kikwete zinaeleza kuwa kiongozi huyo wa nchi amekerwa na kauli ya mbunge huyo wa Urambo Magharibi kwamba serikali haiwezi kumfanya jambo lolote.
Ni kutokana na kauli hiyo, mtoa taarifa wetu alisema rais aliagiza vyombo vya dola kufuatilia kwa karibu sakata hilo na kuhakikisha sheria inachukua mkondo wake.
Pamoja na msimamo wa Rais Kikwete na binti anayedaiwa kubakwa kuripoti polisi, Profesa Kapuya alifanikiwa kusafiri nje ya nchi huku polisi wakimshuhudia bila kumtia mbaroni.
Akiwa nje ya nchi, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camilius Wambura, alikaririwa mara kadhaa akijigamba kuwa polisi inamsaka mbunge huyo na itamtia mbaroni mahala popote alipo.
Hata hivyo, Profesa Kapuya alirejea nchini juzi huku polisi wakimshuhudia bila kuchukua hatua zozote.
Mwanafunzi huyo anadai kubakwa na Profesa Kapuya kwenye moja ya hoteli ya kitalii iliyoko jijini Dar es Salaam mwaka 2011, na kurudia tena kitendo hicho ndani ya ofisi yake katika Jengo la Biashara Complex lililoko Mwananyamala Juni 3, 2012 alipomuita kwenda kuchukua ada.
source: Tanzania Daima

How many times do you people want to cheat your readers. In the first place your reporters did not go to Turiani. The woman is 21. Any question? Hakuna atakaekamatwa.wacheni siasa ya shillingi mbili.Sasa uchwara.

  • inSsource​
 
L

lolwe

Member
Joined
Sep 13, 2012
Messages
75
Likes
5
Points
15
L

lolwe

Member
Joined Sep 13, 2012
75 5 15
Tanzania Daima, kwa uandishi ninaoujua,huo ni uchochezi.
 
DEMBA

DEMBA

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Messages
8,124
Likes
4,501
Points
280
DEMBA

DEMBA

JF-Expert Member
Joined May 10, 2012
8,124 4,501 280
mmh mkuu lolwe kama sijakuelewa hivi!!!
 
Last edited by a moderator:
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
18,936
Likes
1,604
Points
280
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
18,936 1,604 280
Unadhani wataandikaje wakati uwezo wao ndiyo umefikia hapo tarifa zao nyingi ni za udaku.
 
Mapi

Mapi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Messages
6,863
Likes
182
Points
160
Mapi

Mapi

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2011
6,863 182 160
kumbe hata DEMBA hajakuelewa. Nldhani mimi mwenyewe.
 
Magazeti ya udaku yanakazi.
 
Z

ZeMarcopolo

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2008
Messages
13,598
Likes
529
Points
280
Z

ZeMarcopolo

JF-Expert Member
Joined May 11, 2008
13,598 529 280
Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU...
 
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
14,153
Likes
1,784
Points
280
Age
49
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
14,153 1,784 280
mmiliki wa gazeti anaitwa dj kwahiyo tarifa lazima ziwe za kidj tu.
 
Kibo10

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
11,287
Likes
3,722
Points
280
Kibo10

Kibo10

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
11,287 3,722 280
Uhuru ndio ganzeti la kiharamia sijuwi hata Faida wanaopata je wanauza copy 10 kwa siku
 
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Messages
16,224
Likes
4,577
Points
280
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2009
16,224 4,577 280
Mbona Kapuya halishitaki hili gazeti kwa kumchafulia jina?
 
tpaul

tpaul

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2008
Messages
15,045
Likes
5,298
Points
280
tpaul

tpaul

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2008
15,045 5,298 280
Tanzania Daima, kwa uandishi ninaoujua,huo ni uchochezi.
kama ni uchochezi mbona anayechochewa (mbakaji kabuya) hajaenda mahakamani kumstaki mhariri wa tz daima? wewe unayepotosha ukweli ndiye mchochezi.
 
tpaul

tpaul

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2008
Messages
15,045
Likes
5,298
Points
280
tpaul

tpaul

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2008
15,045 5,298 280
Unadhani wataandikaje wakati uwezo wao ndiyo umefikia hapo tarifa zao nyingi ni za udaku.
kama ni udaku mkukakutane mahakamani. mnasubiri nini mpaka sasa hamjatinga mahakamani kumtetea mbakaji mwenzenu?
 
C

chasuzy

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
507
Likes
44
Points
45
C

chasuzy

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
507 44 45
Uhuru ndio ganzeti la kiharamia sijuwi hata Faida wanaopata je wanauza copy 10 kwa siku
Hapana maofisi yote ya serikali,taasisi za umma,ulinzi na usalama lazima yanunue na wanalipa kwa bili
 
M

mahakama ya kazi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2013
Messages
1,476
Likes
36
Points
145
Age
35
M

mahakama ya kazi

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2013
1,476 36 145
tanzania daima sio weledi kama mwananchi
 
K

katatuu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2011
Messages
501
Likes
91
Points
45
K

katatuu

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2011
501 91 45
Zito wakikuzingua nenda ford wanamtandao wenye mapenzi mema na wewe watakufuata na CDMA itakuja kujua ulikuwa ni mtu muhimu sana kwao.wasikuzingue.
 
Forum statistics

Threads 1,263,515
Members 485,918
Posts 30,154,742