Sidhani afande Tesha yuko nchini

Na uhakika kabisa Afande C.J Tesha ambae leo ametrend kwenye mitandao ya kijamii yuko nchini.

Na kama yuko nchini basi ni ujasiri wa aina Yake huko ndo kujitoa mhanga.

Andrew Nyerere tu ile statement yake Rais hakaribishwi Butiama akatembelewa.
Hao ndo wanaume sasa sio nyie wapiga kelele humu na shosti yako Adriz 😹😹
 
Mwanzo nilidhani ni Video za AI.

Nilipoona Kanali Benard Malunga ndio nimeamini kumbe ni clip ya binadamu
Haina hata chembe ya AI, niliiamini kweli, wazo likabaki ni mwanajeshi kweli, ila nikaamua kuamini ni mjeda.
 
Hao ndo wanaume sasa sio nyie wapiga kelele humu na shosti yako Adriz 😹😹
Tutafutane basi utaste mitambo maamaee kama kweli mimi ni mwanamme au siyo. Yani navyokutamani nitakurukia
 
Na uhakika kabisa Afande C.J Tesha ambae leo ametrend kwenye mitandao ya kijamii yuko nchini.

Na kama yuko nchini basi ni ujasiri wa aina Yake huko ndo kujitoa mhanga.

Andrew Nyerere tu ile statement yake Rais hakaribishwi Butiama akatembelewa.
Yuko Nchini, Ile live yake ,hukuwa unasikia Gari la matangazo ,Azana na makelel ya Wabongo???.

Risasi zinaenda kulindima.
 
Na uhakika kabisa Afande C.J Tesha ambae leo ametrend kwenye mitandao ya kijamii yuko nchini.

Na kama yuko nchini basi ni ujasiri wa aina Yake huko ndo kujitoa mhanga.

Andrew Nyerere tu ile statement yake Rais hakaribishwi Butiama akatembelewa.
Thunder fire, we subiri uchaguzi uahirishwe hapo tarehe 17 na jeshi lijifanyie mambo yako na maoni yakusanywe siku ya kuhiji tarehe 29/10.

People are tired 😫😫 very tired mambo yanapangwa na nchi haitatawalika hatua zisipochukuliwa.
 
What a comeback, and fantastic weekend... Ohoho...

Hawa ndugu' zetu wa JW wanataka kutufikirisha kwamba na huko wana pande tofauti mezani mwao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…