Side effects za high heels

Side effects za high heels

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,116
1416760424954.jpg
 
mi nimekuelewa.. naogopa sana kuvaa hiyo kitu. sina pumzi za kutembea navyo
 
Nimeshawahi kuangalia kipindi kwenye Luninga kikielezea madhara hivyo hivyo lakini wanasikia basii....!
Sikio la kufa anza kuchimba kaburi kabisa ili likifa mfiwa asisumbue majirani....
 
ivi tutaendelea kutishana hadi lini,,hakuna kitu kisicho na madhara,...high heels forever,mtuwachee miaka mia naneee
 
Back
Top Bottom