SIDE EFFECT: Za kufanya root canal

Mine eyes

JF-Expert Member
Apr 11, 2016
6,433
7,092
Habari...

Tafadhali... nasumbuka na meno sana sasa Doctor kanishauri nifanyiwe root canal kwa baadhi ya meno!

Naomba kwa anayejua side effect za hili zoezi..anifahamishe...maana naona inahusiana na mambo za nerve...
 
Kuna dentist mmoja yuko loyal sana anakwambia options zote na faida na hasara zake
Anaitwa Gupta, yuko mtaa wa India na Uhuru
Aliwahi kuwa Head of Dentists Faculty MUHAS, Chairman wa Dentists Association
Yuko vizuri sana ingawa bei zake zimeenda shule
Mie alinifanyia hiyo Root Canal ni zaidi ya miaka 10 sasa niko vizuri
 
Tutajie faida na hasara zake...?

Hiyo mitaa iko mkoa gani mkuu,tupo watu mbali mbali humu..
 
Ningepata namba zake huyo ingekuwa powa sana.

Mana nataka nikazibe jino sasa ukimpata mpuuzi mpuuzi anaweza kukuharibiaa bora upate mtu hakika kabisa.

Bima anatumia huyo..?
Hiyo mitaa iko Dsm, Maeneo ya Clock Tower, Kata ya Mchafukoge
 
Risk kubwa ni infection ya pili ni maumivu mengine labda makosa ya kiutendaji kama dr si mzoefu.
 
Back
Top Bottom