Sichepuki Tena. Kumbe ni balaa hivi!

Kweli mkuu
Mimi siku ya harusi tu nipo saloon yule demu aliyenifanyia scrabu na kunitengeneza alikuwa mtu kweli haswa uzalendo ukanishinda nikaomba namba na nikampanga sema alikuwa na busara maana alisema nimalize ndoa kwanza then tutaongea.

Baada kama ya miezi miwili tulikutana nikala mzigo na saloon ni kubwa hapa mjini pengine nikiitaja kuna watu watamfahau wanaoenda hapo maeneo ya sinza [emoji2]
 
legend 😂😂
 
Mwanaume anaweza kuoa zaidi ya mwanamke mmoja lakini mwanamke ni ngumu mno! kuolewa na zaidi ya mwanaume mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…