Sichepuki Tena. Kumbe ni balaa hivi!

Kuna pisi kal huwes kuzipa mashart hayo mkuu..labda uwe unahonga sanaaa

Nyie majamaaa nyie ...

Yaani nyie msuguee hizo mbunye halafu sisi ndio tuzioe ili baadae mje kuwatomb* maX wenu wakiwa wake zetu..!!!

Ngoja niendelee kula ujana.

Masingle boy MSIOE.

#YNWA
 
Unamtaadharisha ya nini? Hapo ndo utakapokosea! Just go slow na punguza kumuona taratiibu na kupiga naye mechi. Mdogo mdogo utajivua lawama
Kwa sasa yuko moto kweli kweli.
Naachana nae akiwa wa moto moto.
Nimeshaona dhamira yake, kama mtu mzima nimemwelewa.

Mkuu mimi ni mtu mwepesi sana kiface consequences zinazotokana na niliyoyafanya.

Ijumaa niliona kabisa dalili mbaya.
Hivi Msichana kama yule ananitamkiaje kuachana na mke wangu? Hapana.
 
Hili swala naliona kwa wadada wengi sana kipind hiki na hasahasa masingle mothers unakuta wapo ambao wao baada ya kuzalishwa wamejiona kama hawafai tena kuwa na familia na wengi wanaangukia kuwa michepuko wa kudumu,au wengine wanataka kuwa wake kabisaaa na wapo wanaofika mbali anakuzalia na wewe kabisa halaf anaanza kuleta story za kutaka wewe uachane na mkeo badala yake awe yeye na wapo wanaoendaga hadi kwa waganga kwa ajili ya kutimiza adhma hizo,ni huzuni kwa kweli[emoji856]
 
Nyie majamaaa nyie ...

Yaani nyie msuguee hizo mbunye halafu sisi ndio tuzioe ili baadae mje kuwatomb* maX wenu wakiwa wake zetu..!!!

Ngoja niendelee kula ujana.

Masingle boy MSIOE.

#YNWA
Hahaha...mwanamke kiumbe dhaifu sana mkuu..mim ma x wangu wengne wameolewa ila ukiangalia chat zetu unaweza zimia...sijui hawaogopi..
 
Naiona kesho yako, Delila akimuangusha Samson kwa mara nyingine.

Terms of reference and Rules of Engagement zizingatiwe.
 
Kama juzi nina ugwadu wangu halafu kila sehemu ya kuponea hamna....
Nikamkumbuka manzi wangu wa zamani tulishaachana kimya kimya.
Kweli akapokea simu na kukubali tuonane..kwa shauku nikamnunulia mazaga kibao supermaket kama li hamsini likakata.
kufika nini nabembeleza anipe mzigo eti yuko period..daahh nilichokaa.
Yeye anajua mimi nilienda kumuona na kumsalimu wakait mi shida yng mbunye.
Yaani mimi huwa sina mahaba kwa dem zaid ya uch wke tuu.hana la zaid la kunipa.
eti kuja kuniona kwn wee tv bladhell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…