Sibuka tv

Sibuka tv

Sasa hapa ndio kuna nafasi ya kuuliza maswali yangu yaliyokuwa yakinisumbua kwa muda mrefu.

Je,ni utaratibu gani unaotumika kwa kituo cha tv cha hapa nyumbani kuonesha live matangazo ya kituo kingine cha nje,kwa mfano utakuta ITV wanajiunga na BBC World, au Channel 10 wanapojiunga na SKY News, au CAPITAL TV wanapojiunga na CNN?

Pili,mimi mara kadhaa natumia internet kutazama channels mbalimbali za kimataifa bure,je wao wananufaika vipi wakati mimi natumia internet kwa bundle ya hapa nyumbani?Kwa maana kwamba hata hawanijui huku niliko.

Tatu,kwa nini hawa wanaorusha matangazo kama vile ZUKU na Star Times wasitumie internet kupata channels zile tunazopata thru internet? Maana kwa mfano Live Football,Basketball nk.tunazipata kirahisi kabisa kwenye net.Wangeweza kufanya hivyo DSTV ingekuwa na mshindani mwenye nguvu,na pengine wangeweza kushusha bei zao.

Mi yangu ni hayo tu ndugu!

1)kuhusu channel kwa mfano ITV kutangaza mpira au harusi ya price william live,ni kwamba kila kituo cha Tv kilicho jipanga huwa na receiver nyingi kwa ajili ya kupokea signal kutokea kwa TV mbalimbali za nchi za nje.mfano ITV nao wanakingamuzi kama cha wewe nyumbani unachopatia aljazera na BBC,pia wanalipia DSTV kila mwezi ili kupata signal zao au wanaweza ingia mkataba na BBC kwa ajili ya kuungana nao. wakati wa kuonesha mpira au kujiunga kwa ajili ya habari wao hubadilisha tu input signal,baada ya kutoa signal kwenye cameraza pale studio,sasa watatoa kutokea kwenye cable inayoleta signal husika(ie mpira,au habari) hii ni moja ya sababu inayofanya signal ziwe na delay kwa maana inabidi kwanza wao wazipokee na kisha wazitume. hii ni sahihi pia kuhusiana na redio mfano VOA,BBCswahili nk nao radiofree africa mfano hupata signal kutoka kwao direct kisha wao humodulate katika frequency yao na kisha zibroadcast.

2) kuhusiana na wewe kuangalia chanel mbalimbali kwenye internet, hii imekaa kibiashara zaidi. pale mtu mfano vodacom wanapotaka kutangaza huwa wanaulizia coverage na idadi ya wapokea matangazo.. kwa hiyo wote tunaoona kwa satellite, kwa antenna za kawaida na kwa internet tunajumlishwa n kupata idadi ya watazamaji na hivyo kumvutia mtu kutangaza nao kwa kuwa anauwakika wa kuwafikia watu wengi zaidi sehemu mbalimbali. hili suala limekaa kibiashara zaidi na lina faida sana kwao kwani huongeza watazamaji hivyo kuongeza idadi ya watu watakao kutangaza nao......

3)hapa kidogo sitakuwa na jibu sahihi ila nafikiria suala na gharama na mfumo unachangia hili lisiwezekane.fikiria gharama za kuretrev data kutoka net kila siku na kwa memory kubwa kisha uzibroadcast..hiii itakuwa ghari sana ukilinganisha na yule ambaye kanunua dish na decoder kwa maramoja na hana gharama za mara kwa mara

aksante kaka kwa changamoto,natarajia hoja na changamoto zaidi kutoka kwenu wanatech
 
Mkuu hapo kwenye red mimi nina mtazamo tofauti. Haiwezi kuwa gharama kubwa kwani wanaweza kutenga station moja au mbili ambazo watatumia kurusha matangazo let's say mpira. Mbona sisi wanyamapori tunaweza kumudu kulipia bundle ya mwezi mzima kwa 30,000/-,watashindwaje wakati subscription ya mtu mmoja tu kwa mwezi ni zaidi ya hela hiyo?!

Labda pengine kuna right fulani zinatakiwa kuwa observed; lakini ndio maana nikauliza vipi zile channels tunazoona bure kwenye net,hizo rights ni namna gani zinakuwa observed? Mkuu hapa inahitajika maelezo kwa kina.Hii kitu inaniumiza sana kichwa.
 
Kwa hiyo sisi wa mikoani tunaotumia madishi( siyo zuku wala DSTV) tayari tumeshadumbkia kwenye digital system.
 
..........

Zuku tv,Easy TV na DSTV hawa wanatangaza kwa kutumia mfumo ujulikanao kama DVB-S. Satellite huwa ndo njia yao ya transmission,hivyo huweza patikana popote Tanzania na ndo maana wao hujihusisha na kuuza dish za KU band kwa wateja wao na sio antenna za chadema na V.
................
natarajia maswali zaidi na yote yanakaribishwa

Niliwahi kusikia kuwa hayo madisha ya KU band siyo mazuri kwani matangazo kupitia madishi hayo uathiriwa sana na mvurugiko wa hali ya hewa (mawingu na mvua). Kwa nini hao jamaa wasitumie madishi ya C-band ambayo hayaathiriwi na hali ya hewa?
 
Wakuu Superman na Mkurabitambo,

Kwa mujibu wa TCRA, Analogue TV itakuwa switched off 31 Disemba 2012. This is precisely 3 years earlier than the DTT deadline set by the International Telecommunications Union (ITT) as per the Geneva 2006 agreement requesting frequency region 1 countries to migrate to digital TV by 17 June 2015.

Kwanza, kwa nini TCRA wameamua ku-switch analogue TV mapema hivyo? Kwa sababu muda bado upo kwa nini wasingeenda kwa phases kama wanavyofanya nchi nyingine?

Pia nina wasiwasi kuwa kwa ku-switich analogue TV bila phases, kutasababisha bei ya set-top box kupanda ghafla, na matokea yake watu kutokuwa na TV. TCRA walishauri serikali to waive import duties of decoders ili kupunguza gharama kwa consumers. Kenya wamekubali ku- waive the tax of 25% for the devices ili watu wenye income ya kima cha chini waweze kuwa na access to digital television.
Vipi serikali wamekubali kufanya hivyo?

Pili, majority ya Watanzania wako aware nah ii transition? Nasikia TCRA na wizara husika walianzisha committee kuwaelimisha watu juu ya digital broadcasting. Ikiwa imebakia kama mwezi hivi ku-switich off analogue TV, hii committee imefanikiwa kwa kiasi gani kuwaelimisha wananchi?

Tatu, for a smooth transition to digital television, TCRA watataka kuhakikisha kuwa STB distributors wana provide kwenye box moja accessibility kwa TV channels zote ambazo ni free-to-air. Kuna karibu distributors 11 lakini sidhani kama wote wanatoa full access kwa approximately 15 reginal and local free-to-air channels.

Kuna mikakati yoyote ambayo imewekwa kuhakikisha kuwa STB distributors wote watakuwa wana-provide hizi free-to-air channels kwa bure? Najaribu kuangalia how this will be enforced as a standard, maana kuna uwezekano watu wakanunua more than one STB to access all TV channels.

Nne, baada ya ku-switch to digital TV, kuna uwezekano hapo baadae kuanza kutakiwa kulipa license fee for the free-air-channels?
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo sisi wa mikoani tunaotumia madishi( siyo zuku wala DSTV) tayari tumeshadumbkia kwenye digital system.

Ndio kiongozi hiyo ni digital sysytem siku nyingi tu,ndio maana kwa mfano rahisi unaetumia dish la kawaida na la yule mwenye startimes au zuku quality ya picha ipo sawa. sysytem ya dish huitwa DVB-S na ile ya antenna za kawaida huitwa DVB-T ambayo ndio TCRA wanahangaika nayo kubadili.
 
The Boss

1. Sibuka inaweza kuonekana popote kutegemea na Multiplexer Operator wake ana coverage gani. Basically operator waliopo i.e Startimes, ATN. Zuku na DSTV wote wanatumia Satellites ambazo zina coverage Tanzania nzima. That means kama user au mteja akitumia VSAT Antenna au Satellite Antenna popote Tanzania anaweza kupata signals. However kama Operator hajaweka Uplink Facilities kwa ajili ya Terrestrial Transmission then huwezi kutumia Outdoor au Indoor Antennas ndogo. Sasa hili linategemea operator na operator. Unahitaji kuinvest katika Towers na Transmitters katika maeneo mengi ili wateja wako waweze kutumia Outdoor au Indoor Antennas ndogo.

2. Officially by TCRA Multiplexer Operators ni watatu. lakini Technologically nadhani ni zaidi including ZUKU, DSTV na EASY TV.

3. Akitaka ionekane Nchi zima anakuwa na mkataba na Operator mwenye Signal Transmitter inayofika nchi nzima. Refer 1.

4. Gharama zinategemea nini unataka na kwa ubora gani. A budget ya kati ya $ 200K to $ 1000K inatosha kwa vifaa vya Studio ya TV.

5. Roughly vifaa:

[TABLE="width: 808"]
[TR]
[TD]Item[/TD]
[TD]Description[/TD]
[TD]Qty[/TD]
[TD]Unit Price[/TD]
[TD]Total Price[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Control Room and Other Studio Equipments[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1[/TD]
[TD]Panasonic AG-DVX100AE 3CCD DV Camcorrder[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD] 10,147.00 [/TD]
[TD] 20,294.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2[/TD]
[TD]TRIPOD:-Manfrotto 50 525 PKITTripot System Complete[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD] 1,570.00 [/TD]
[TD] 3,140.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3[/TD]
[TD]Light: photon Beard High light A8640Cold Light 4 tube[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 3,378.00 [/TD]
[TD] 3,378.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4[/TD]
[TD]photon Beard High Light A8620 Cold lights 4 Tube[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 2,117.00 [/TD]
[TD] 2,117.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5[/TD]
[TD]Sennheiser EQ-112 Radio Lapel Mic Kit,[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 1,719.00 [/TD]
[TD] 1,719.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6[/TD]
[TD]Sennheiser ME66 Short Rifle Mic[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 480.00 [/TD]
[TD] 480.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7[/TD]
[TD]Sennheiser K6 Power Module for ME 66[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 458.00 [/TD]
[TD] 458.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]8[/TD]
[TD]Sennheiser MD825 Dynamic handled mic[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 193.00 [/TD]
[TD] 193.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9[/TD]
[TD]MXER😛anasonicAg-70AV Mixer[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 14,997.00 [/TD]
[TD] 14,997.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]10[/TD]
[TD]AUDIO MIXER :-Beringer UB2222FX PRO 6+4I/P Audio mixer[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 1,202.00 [/TD]
[TD] 1,202.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]11[/TD]
[TD]COMMS SYSTEM[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 2,160.00 [/TD]
[TD] 2,160.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]12[/TD]
[TD]TV MONITORS[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD] 1,502.00 [/TD]
[TD] 6,008.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]13[/TD]
[TD]SOUND MONITOR SYSTEM-JBL[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 2,222.00 [/TD]
[TD] 2,222.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]14[/TD]
[TD]MONITORING-Electronic Visual Components Waveform[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 14,410.00 [/TD]
[TD] 14,410.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]15[/TD]
[TD]VCR-Panasonic RECORDER AND PLAYER[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD] 5,742.00 [/TD]
[TD] 11,484.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]16[/TD]
[TD]Non linear editing suit[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 3,002.00 [/TD]
[TD] 3,002.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]17[/TD]
[TD]Custom Studio Furniture[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 18,012.00 [/TD]
[TD] 18,012.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]18[/TD]
[TD]Materials and Labour for Studion Installation[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 30,020.00 [/TD]
[TD] 30,020.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]TV Transmitting Equipment[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]19[/TD]
[TD]FM Transmitter 1500 Watts UHF TV Transmitter[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 62,005.00 [/TD]
[TD] 62,005.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20[/TD]
[TD]UHF TV Antenna, 4 UHF TV Panels + Spliter and Cables[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 6,217.00 [/TD]
[TD] 6,217.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]21[/TD]
[TD]Site Survey, Installation, Commissioning of Transmitter and Documentation[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 20,264.00 [/TD]
[TD] 20,264.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Grand Total including Flight and Insurance in USD:[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD] 223,782.00 [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

mkuu hii elimu hata nami nimefaidika...big up
 
[UOTE=Superman;5115523]Mkuu hakika uzungumzayo yana ukweli ndani.

1. Mimi nina Mesh Satellite Antenna la 1.8 M ambalo linanifanya nikamate Channels zote zinazoitwa Free to Air. Silipii.
2. Nina DSTV ili akina dongo janja wasikose kuangalia ligi zao za Uingereza na Movies
3. Zuku kwa ajili ya Movies na vipindi vingine vizuri vya Kiafrica na News
4. Easy TV kwa Movies na News
5. Nina decoder nyingine ambayo wamefanya Combine na ile ya 1 kwa ajili ya Religious Channels i.e. TB Joshua, 3ABN etc.

Ukiangalia utagundua kuwa Channels nyingi zinafanana au ni common katika kila decoder. Of course DSTV bado wako juu kwa ajili ya SuperSports ingawa kuna uwezekano in future Zuku TV nao wakapewa haki ya kuonyesha hizo channels.

masharti ambayo TCRA imewapa hao Multiplexer Operators ni kuwa ni lazima Local Channels zote zionyeshwe bure. That means hata kama Decoder yako imeishiwa pesa channels za nyumbani kama ITV; STAR TV; Channel 10, TBC etc lazima uzione bure.

Hii ina maana Local TV zote wanalazimika kuwa na mikataba na hawa operators na of course kuna malipo.

Few months ago Startimes walikuwa wanachaji kama $ 12,000 PM kurusha matangazo ya kituo chochote. Sijui kama walipunguza. Of course hii ina maana wajasiliamali kama The Boss nk inabidi wajipange vizuri.[/QUOTE]

Hiyo sera ya local chanel zionyeshwe bure na zote kwa hawa operetors imeshaanza ? maana inanipa taabu sana nina zuku na dstv but sipati local nyingi zaidi ya tbc na chapel10.
 
kuhusiana na mambo ya digital transmission hasa kwa Startimes,ATN na hao ITV tunatofautiana kidogo. Hawa wote wamepewa leseni ya kurusha matangazo terrestrially kupitia mfumo ujulikanao kama DVB-T. Hivyo signal za Startimes ATN na ITV kwa mfano haziendi kwenye satellite hata kidogo ndo maana startimes hawajihusishi na uuzaji wa madishi bali huuza yagiuda antenna( samaki) kwa kuwa wao ni terrestrial broadcaster. Hujiulizi kwa nini watu wa Rukwa hawana signal za Startimes wakati wanaweza kuzipata kwenye satellite? Dishi lile pale TBC ni kwa ajili ya downlink ya signals kutokea popote duniani,(kwa maana ya TV za nje mfano MTV,BET etc) kisha huchanganya na TV za ndani na kufikisha idadi ya channel za startimes mfano ambazo sasa zipo zaidi ya 50.

Zuku tv,Easy TV na DSTV hawa wanatangaza kwa kutumia mfumo ujulikanao kama DVB-S. Satellite huwa ndo njia yao ya transmission,hivyo huweza patikana popote Tanzania na ndo maana wao hujihusisha na kuuza dish za KU band kwa wateja wao na sio antenna za chadema na V.

kelele zote za TCRA kuhusu kuhamia digital inahusu sana terrestrial transmission, ndio maana mabadiliko haya yanawahusu watu wale wenye antenna za chadema na v na sio wenye madishi kwani wao tayari wapo digital.
kwa sasa ITV,EATV,TBC, StarTV,Channel Ten wote wanamfumo wa kidigital tayari( hapa nazungumzia DVB-Satellite),na wanamfumo wa analogia ambao (terrestrial) ambao ndio TCRA wanaomba ubadilishe kwa minajili ya kuongeza upatikanaji wa frequency kwa ajili ya matumizi mengine.

Sibuka TV wao wana mfumo wa kianalogia pekee( wanatransmit terrestrial kwenda kwa antenna na chadema na V analogically) wanapitisha signal zao Startimes kuweza zifanya digatal na kutufikia sisi, wao wakitaka wawe free to air nchi nzima basi inawalazimu kwanza kutransmit kupitia satellite(DVB-S) na pili iliwabidi wafunge transmitter karibu kila mkoa kwa case ya terrestrial( ambapo ni mfumo wa kianalogia) lakini kwa sasa hawatahitaji kufanya hivyo kwa kuwa Startimes wamepewa kazi hiyo.

natarajia maswali zaidi na yote yanakaribishwa

si kila tv inayopatikana kwa dish ni digital.tembelea lyngsat.com utaelewa nachomaanisha.
 
Hawa wanaonekana kwenye ving'amuzi tu au hata kwenye madishi?
 
The Boss

1. Sibuka inaweza kuonekana popote kutegemea na Multiplexer Operator wake ana coverage gani. Basically operator waliopo i.e Startimes, ATN. Zuku na DSTV wote wanatumia Satellites ambazo zina coverage Tanzania nzima. That means kama user au mteja akitumia VSAT Antenna au Satellite Antenna popote Tanzania anaweza kupata signals. However kama Operator hajaweka Uplink Facilities kwa ajili ya Terrestrial Transmission then huwezi kutumia Outdoor au Indoor Antennas ndogo. Sasa hili linategemea operator na operator. Unahitaji kuinvest katika Towers na Transmitters katika maeneo mengi ili wateja wako waweze kutumia Outdoor au Indoor Antennas ndogo.

2. Officially by TCRA Multiplexer Operators ni watatu. lakini Technologically nadhani ni zaidi including ZUKU, DSTV na EASY TV.

3. Akitaka ionekane Nchi zima anakuwa na mkataba na Operator mwenye Signal Transmitter inayofika nchi nzima. Refer 1.

4. Gharama zinategemea nini unataka na kwa ubora gani. A budget ya kati ya $ 200K to $ 1000K inatosha kwa vifaa vya Studio ya TV.

5. Roughly vifaa:

[TABLE="width: 808"]
[TR]
[TD]Item[/TD]
[TD]Description[/TD]
[TD]Qty[/TD]
[TD]Unit Price[/TD]
[TD]Total Price[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Control Room and Other Studio Equipments[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1[/TD]
[TD]Panasonic AG-DVX100AE 3CCD DV Camcorrder[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD] 10,147.00 [/TD]
[TD] 20,294.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2[/TD]
[TD]TRIPOD:-Manfrotto 50 525 PKITTripot System Complete[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD] 1,570.00 [/TD]
[TD] 3,140.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3[/TD]
[TD]Light: photon Beard High light A8640Cold Light 4 tube[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 3,378.00 [/TD]
[TD] 3,378.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4[/TD]
[TD]photon Beard High Light A8620 Cold lights 4 Tube[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 2,117.00 [/TD]
[TD] 2,117.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5[/TD]
[TD]Sennheiser EQ-112 Radio Lapel Mic Kit,[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 1,719.00 [/TD]
[TD] 1,719.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6[/TD]
[TD]Sennheiser ME66 Short Rifle Mic[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 480.00 [/TD]
[TD] 480.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7[/TD]
[TD]Sennheiser K6 Power Module for ME 66[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 458.00 [/TD]
[TD] 458.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]8[/TD]
[TD]Sennheiser MD825 Dynamic handled mic[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 193.00 [/TD]
[TD] 193.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9[/TD]
[TD]MXER😛anasonicAg-70AV Mixer[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 14,997.00 [/TD]
[TD] 14,997.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]10[/TD]
[TD]AUDIO MIXER :-Beringer UB2222FX PRO 6+4I/P Audio mixer[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 1,202.00 [/TD]
[TD] 1,202.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]11[/TD]
[TD]COMMS SYSTEM[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 2,160.00 [/TD]
[TD] 2,160.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]12[/TD]
[TD]TV MONITORS[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD] 1,502.00 [/TD]
[TD] 6,008.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]13[/TD]
[TD]SOUND MONITOR SYSTEM-JBL[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 2,222.00 [/TD]
[TD] 2,222.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]14[/TD]
[TD]MONITORING-Electronic Visual Components Waveform[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 14,410.00 [/TD]
[TD] 14,410.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]15[/TD]
[TD]VCR-Panasonic RECORDER AND PLAYER[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD] 5,742.00 [/TD]
[TD] 11,484.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]16[/TD]
[TD]Non linear editing suit[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 3,002.00 [/TD]
[TD] 3,002.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]17[/TD]
[TD]Custom Studio Furniture[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 18,012.00 [/TD]
[TD] 18,012.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]18[/TD]
[TD]Materials and Labour for Studion Installation[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 30,020.00 [/TD]
[TD] 30,020.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]TV Transmitting Equipment[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]19[/TD]
[TD]FM Transmitter 1500 Watts UHF TV Transmitter[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 62,005.00 [/TD]
[TD] 62,005.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20[/TD]
[TD]UHF TV Antenna, 4 UHF TV Panels + Spliter and Cables[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 6,217.00 [/TD]
[TD] 6,217.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]21[/TD]
[TD]Site Survey, Installation, Commissioning of Transmitter and Documentation[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD] 20,264.00 [/TD]
[TD] 20,264.00 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Grand Total including Flight and Insurance in USD:[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD] 223,782.00 [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
..sawa mkuu ila hii dah...kizamani fulani hivi..?...chek mzigo huu.TriCaster 40
..ndio unatumika kwa sasa..nami ndio nautumia...
 
UTANGAZAJI Wa TV uko wa aina nne kuu. Kwanza satelite, pili, cable, tatu mitambo iliyosimikwa ardhini ( Terrestrial). Mfumo Wa nne ni IPTV-Internet Protocal TV ambo bado haujaingia sana Tanzania. Ukizungumzia Multplex Operator, huyu ni Mjengwa miundombinu ya Terrestrial TV Broadcasting, yaani matangazo ya TV kupitia mitambo iliyojengwa juu ya ardhi hususani kwenye vilima kama Kisarawe, Makongo, Imagi Na mingine. TCRA imetoa leseni tatu Kwa Multplex Operator, Agape Associates, Basic Transmission Na Star media. Hawa wanaruhusiwa kutoa huduma za kusambaza matangazo kutoka Kwa Makampuni ya UTANGAZAJI yaani Content Service Provider (ITV, TBC, Star TV nk.) Multplex Operator anawajibika kuwa Na kampuni ya kuuza vingamuzi Na maudhui, yaani packages kwenye mfumo Wa malipo pamoja Na mfumo Wa chaneli za bure (free to air).

Zuku, DSTV, East TV hawawezi kuwa Multplex Operator! Hawa wana leseni tofauti, ambayo inaitwa satelite Subscription Service Provider, hana mitambo wala studio, yeye anawezesha kukusanya maudhui (content) Na kuiuza. Aidha wako katika mfumo Wa utangazaji Wa satelite. Huduma zao ni za malipo Na ili kuona ni lazima ulipie.

Ni vizuri kufahamu kuwa tuna watoa huduma 26 Wa TV Tanzania. watano wanaonekana nchi nzima, ITV, TBC1, Channel Ten, Star Tv Na EATV. Wengine wana leseni za eneo la kiwilaya au kimkoa au kikanda. Hivyo hata Multpkex operator atambeba mtoa huduma kulingana na leseni yake. DSTV, Zuku wakwe Na local channel inakuwa ngumu kusimamia kuhakikisha inaonekana ilikoruhusiwa tu. hivyo lazima kuwe Na makubaliano Na ushirikishwaji Wa mdhibiti. Aidha inabidi kuongeza ukubwa Wa leseni au kupata maelekezo kutoka kuwa mdhibiti.

Pitia hapa kupata idadi Na maeneo ya huduma Kwa TV za TZ: http://www.tcra.go.tz/licensing/contentServiceProviders.php#tv
 
TCRA kama zilivyo baadhi ya nchi zingine duniani, ina mpango (Road Map) kuingia dijitali. Kwanza ikumbukwe nchi nyingi tayari zimeingia dijitali siku nyingi tu kulingana Na road map zao. TZ inapata asilimia 24 tu ya nchi matangazo ya analojia. Iliyobaki ni kupitia satelite Na cable.

Road Map ya Tanzania imewekwa kuanzia 2004 ili kukabiliana Na Changamoto za kuhamia dijitali. Huwezi ku subiri hadi 2015 ndio uanze kuhama. ITU inazitaka nchi zote kuwa Na mpango Na kuhakikisha 2015 tarehe 17 June, masafa yote ya analojia yameachiwa kutumika kuwa shughuli zingine. Egypt, Morocco, Mauritius walishahamia dijitali muda mrefu. Tanzania imeanza mapema maandalizi ili kuhakikisha tunakuwa Na asilimia kubwa zaidi ya upatikanaji Wa matangazo kuliko hivi sasa. Ndio maana utaona ziko awamu kadhaa kuelekea huo ukomo 2015! Kwa maneno mengine, ukiwa mpangaji, ukipewa notice husubiri siku ya mwisho ndo uhame.

Angalia road Map ya Tz hapa. http://www.tcra.go.tz/digitalBroadcasting/roadmap.pdf

Aidha fuatilia Kwa karibu Matukio www.facrbook.com/ TCRA1 au www.tcra.go.tz bofya chini kushoto Digital Broadcasting
 
Back
Top Bottom