Sibuka tv

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
39,667
2,000
Kuna mtu humu anaeweza kuniambia Sibuka TV iko vipi ki teknolojia
na inatofautiana vipi na tv kama ITV

na Sibuka TV ikitaka iwe Free to air tv
nchi nzima,wafanyaje?
 
Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,698
1,250
The Boss; bila shaka unafahamu kuwa sasa hivi tanzania inatumia mfumo wa Technolojia ya Digitali kupitia Service Providers wanaoitwa Multiplexer Operators. Ifikapo 31st December 2012, mitambo yote ya analog inatakiwa izimwe na kuanzia 1st January 2013 itakuwa ni Digital Transmission tu. So matangazo ya moja kwa moja ya kutumia antenna za Chadema au V mfano ya ITV; EATV; Capital TV; Channel 10; DTV; CTN; Clouds TV nk. hayataweza kuonekana.

Vituo vyote vya TV vitapitisha matangazo au signals zao kupitia moja Multiplexer Operator watatu:
Startimes
Basic Transmission (Inamilikiwa na IPP Media na Star TV lakini haijaanza kufanya kazi) na
ATN.

Hata hivyo wako Digital transmitters wengine wenye Channels nyingi lakini si Multiplexer Operators. Hawa ni:
DSTV
Zuku na
Easy TV

So, Sibuka TV wana own studio ambayo inapeleka signals zake Startimes ambazo wao ndo wanafanya transmission ya signals kwa njia mbili:
1. Wana Uplink facilities (DTH) pale TBC Complex. Maana yake ni kuwa signals zote zinaingizwa katika Satellite Dish kubwa kisha zinarushwa angani katika Satellitte ambayo inasambaza hizo signals Tanzania nzima. Unaaweza kupa signals kutumia Satellite antenna.

2. Wanapelekeza signals Kisarawe kwa DSM ambapo pale pana mnara unaorusha signals DSM na unaweza kupata signals kutumia antenna ndogo.

Kwa Technolojia hii ina maana yeyote sasa anaweza kuanzisha TV ili mradi unayopesa ya kulipia kurusha signals zako.

Kama sijasomeka naomba uniulize Mkuu.
 
Last edited by a moderator:

Asante...
sasa je Sibuka TV inaweza kuonekana kote?
mfano wote hao..multiplexer operators? wote watatu?
na kama mtu akianzisha tv ionekane nchi nzima mfano wa sibuka inakuwaje?

Kwa sasa roughly gharama za vifaa vya kuweza kuwa na tv kama sibuka tv zikoje?
unaweza taja vifaa vinavyohitajika?
 
Endangered

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
924
195
Mkuu Superman, nimekukubali kwa maarifa uliyoweka hapa. Pamoja, umenikosha sana maana ndo field yangu hyo kwa namna moja ama nyingine.
 
Last edited by a moderator:

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,698
1,250
Asante...
sasa je Sibuka TV inaweza kuonekana kote?
mfano wote hao..multiplexer operators? wote watatu?
na kama mtu akianzisha tv ionekane nchi nzima mfano wa sibuka inakuwaje?

Kwa sasa roughly gharama za vifaa vya kuweza kuwa na tv kama sibuka tv zikoje?
unaweza taja vifaa vinavyohitajika?
The Boss

1. Sibuka inaweza kuonekana popote kutegemea na Multiplexer Operator wake ana coverage gani. Basically operator waliopo i.e Startimes, ATN. Zuku na DSTV wote wanatumia Satellites ambazo zina coverage Tanzania nzima. That means kama user au mteja akitumia VSAT Antenna au Satellite Antenna popote Tanzania anaweza kupata signals. However kama Operator hajaweka Uplink Facilities kwa ajili ya Terrestrial Transmission then huwezi kutumia Outdoor au Indoor Antennas ndogo. Sasa hili linategemea operator na operator. Unahitaji kuinvest katika Towers na Transmitters katika maeneo mengi ili wateja wako waweze kutumia Outdoor au Indoor Antennas ndogo.

2. Officially by TCRA Multiplexer Operators ni watatu. lakini Technologically nadhani ni zaidi including ZUKU, DSTV na EASY TV.

3. Akitaka ionekane Nchi zima anakuwa na mkataba na Operator mwenye Signal Transmitter inayofika nchi nzima. Refer 1.

4. Gharama zinategemea nini unataka na kwa ubora gani. A budget ya kati ya $ 200K to $ 1000K inatosha kwa vifaa vya Studio ya TV.

5. Roughly vifaa:

Item
Description
Qty
Unit Price
Total Price

Control Room and Other Studio Equipments1
Panasonic AG-DVX100AE 3CCD DV Camcorrder
2
10,147.00
20,294.00
2
TRIPOD:-Manfrotto 50 525 PKITTripot System Complete
2
1,570.00
3,140.00
3
Light: photon Beard High light A8640Cold Light 4 tube
1
3,378.00
3,378.00
4
photon Beard High Light A8620 Cold lights 4 Tube
1
2,117.00
2,117.00
5
Sennheiser EQ-112 Radio Lapel Mic Kit,
1
1,719.00
1,719.00
6
Sennheiser ME66 Short Rifle Mic
1
480.00
480.00
7
Sennheiser K6 Power Module for ME 66
1
458.00
458.00
8
Sennheiser MD825 Dynamic handled mic
1
193.00
193.00
9
MXER:panasonicAg-70AV Mixer
1
14,997.00
14,997.00
10
AUDIO MIXER :-Beringer UB2222FX PRO 6+4I/P Audio mixer
1
1,202.00
1,202.00
11
COMMS SYSTEM
1
2,160.00
2,160.00
12
TV MONITORS
4
1,502.00
6,008.00
13
SOUND MONITOR SYSTEM-JBL
1
2,222.00
2,222.00
14
MONITORING-Electronic Visual Components Waveform
1
14,410.00
14,410.00
15
VCR-Panasonic RECORDER AND PLAYER
2
5,742.00
11,484.00
16
Non linear editing suit
1
3,002.00
3,002.00
17
Custom Studio Furniture
1
18,012.00
18,012.00
18
Materials and Labour for Studion Installation
1
30,020.00
30,020.00

TV Transmitting Equipment19
FM Transmitter 1500 Watts UHF TV Transmitter
1
62,005.00
62,005.00
20
UHF TV Antenna, 4 UHF TV Panels + Spliter and Cables
1
6,217.00
6,217.00
21
Site Survey, Installation, Commissioning of Transmitter and Documentation
1
20,264.00
20,264.00

Grand Total including Flight and Insurance in USD:

223,782.00
 
Last edited by a moderator:

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,698
1,250
Hata Hivyo hutahitaji Transmitting Equipment Nchi nzima bali ni kutoka katika studio yako kwenda kwa Operator. Basically any link can do i.e. Fiber; Microwave etc
 
Jodoki Kalimilo

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
10,349
2,000
Nina wasiwasi katika ujio wa teknolojia hii, mwanzo tuta-experience changamoto mbalimbali mojawapo ambayo mie ninaiona ni ile ya kuna uwezekano ukawa na kinga'umizi chenye channel kadhaa za Tanzania alafu channel zingine za Tz zikawa zime-miss na kununua ving'amuzi zaidi ya kimoja nayo ni issue though nina amini baada ya muda wenye ving'amuzi watakuwa wana compete kuhakikisha wana cover kila sehemu.

Japokuwa si mtaalamu sana, ila kwa jinsi nilivyomsoma Superman, kwa upande wangu nadhani Zuku na Easy Tv wana fursa ya ku-access ving'amuzi vyote (TCRA Multiplexer Operators ambao ni watatu) na kuziweka pamoja na ukapata channel za kutosha kama ilivyo sehemu mbalimbali zenye cable operator.
 
Mkuu hakika uzungumzayo yana ukweli ndani.

1. Mimi nina Mesh Satellite Antenna la 1.8 M ambalo linanifanya nikamate Channels zote zinazoitwa Free to Air. Silipii.
2. Nina DSTV ili akina dongo janja wasikose kuangalia ligi zao za Uingereza na Movies
3. Zuku kwa ajili ya Movies na vipindi vingine vizuri vya Kiafrica na News
4. Easy TV kwa Movies na News
5. Nina decoder nyingine ambayo wamefanya Combine na ile ya 1 kwa ajili ya Religious Channels i.e. TB Joshua, 3ABN etc.

Ukiangalia utagundua kuwa Channels nyingi zinafanana au ni common katika kila decoder. Of course DSTV bado wako juu kwa ajili ya SuperSports ingawa kuna uwezekano in future Zuku TV nao wakapewa haki ya kuonyesha hizo channels.

masharti ambayo TCRA imewapa hao Multiplexer Operators ni kuwa ni lazima Local Channels zote zionyeshwe bure. That means hata kama Decoder yako imeishiwa pesa channels za nyumbani kama ITV; STAR TV; Channel 10, TBC etc lazima uzione bure.

Hii ina maana Local TV zote wanalazimika kuwa na mikataba na hawa operators na of course kuna malipo.

Few months ago Startimes walikuwa wanachaji kama $ 12,000 PM kurusha matangazo ya kituo chochote. Sijui kama walipunguza. Of course hii ina maana wajasiliamali kama The Boss nk inabidi wajipange vizuri.
 
Last edited by a moderator:

ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,665

kuhusu bei lazima wataishusha kwani itakuwa ni lazima kila tv waende dijitali hii kidogo kila mtu atapeleka tu..
 
Nimekupata mkuu, ngoja tusubiri maana mie natumia cable operator (wana channel kama 80 hivi), star times nimeachana nayo na DSTV kidogo hali si hali nimesimama kidogo kupata huduma ya premium maana hali si hali mdau ila kama kutakuwa kuna changamoto nitarudi kuangalia namna ya ku-deal na hizo changamoto nadhani wadau kama nyie ni muhimu kuhakikisha mambo yanakwenda vizuri.
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
39,667
2,000
The Boss

1. Sibuka inaweza kuonekana popote kutegemea na Multiplexer Operator wake ana coverage gani. Basically operator waliopo i.e Startimes, ATN. Zuku na DSTV wote wanatumia Satellites ambazo zina coverage Tanzania nzima. That means kama user au mteja akitumia VSAT Antenna au Satellite Antenna popote Tanzania anaweza kupata signals. However kama Operator hajaweka Uplink Facilities kwa ajili ya Terrestrial Transmission then huwezi kutumia Outdoor au Indoor Antennas ndogo. Sasa hili linategemea operator na operator. Unahitaji kuinvest katika Towers na Transmitters katika maeneo mengi ili wateja wako waweze kutumia Outdoor au Indoor Antennas ndogo.

2. Officially by TCRA Multiplexer Operators ni watatu. lakini Technologically nadhani ni zaidi including ZUKU, DSTV na EASY TV.

3. Akitaka ionekane Nchi zima anakuwa na mkataba na Operator mwenye Signal Transmitter inayofika nchi nzima. Refer 1.

4. Gharama zinategemea nini unataka na kwa ubora gani. A budget ya kati ya $ 200K to $ 1000K inatosha kwa vifaa vya Studio ya TV.

5. Roughly vifaa:

ItemDescriptionQtyUnit PriceTotal Price
Control Room and Other Studio Equipments
1Panasonic AG-DVX100AE 3CCD DV Camcorrder2 10,147.00 20,294.00
2TRIPOD:-Manfrotto 50 525 PKITTripot System Complete2 1,570.00 3,140.00
3Light: photon Beard High light A8640Cold Light 4 tube1 3,378.00 3,378.00
4photon Beard High Light A8620 Cold lights 4 Tube1 2,117.00 2,117.00
5Sennheiser EQ-112 Radio Lapel Mic Kit,1 1,719.00 1,719.00
6Sennheiser ME66 Short Rifle Mic1 480.00 480.00
7Sennheiser K6 Power Module for ME 661 458.00 458.00
8Sennheiser MD825 Dynamic handled mic1 193.00 193.00
9MXER:panasonicAg-70AV Mixer1 14,997.00 14,997.00
10AUDIO MIXER :-Beringer UB2222FX PRO 6+4I/P Audio mixer1 1,202.00 1,202.00
11COMMS SYSTEM1 2,160.00 2,160.00
12TV MONITORS4 1,502.00 6,008.00
13SOUND MONITOR SYSTEM-JBL1 2,222.00 2,222.00
14MONITORING-Electronic Visual Components Waveform1 14,410.00 14,410.00
15VCR-Panasonic RECORDER AND PLAYER2 5,742.00 11,484.00
16Non linear editing suit1 3,002.00 3,002.00
17Custom Studio Furniture1 18,012.00 18,012.00
18Materials and Labour for Studion Installation1 30,020.00 30,020.00
TV Transmitting Equipment
19FM Transmitter 1500 Watts UHF TV Transmitter1 62,005.00 62,005.00
20UHF TV Antenna, 4 UHF TV Panels + Spliter and Cables1 6,217.00 6,217.00
21Site Survey, Installation, Commissioning of Transmitter and Documentation1 20,264.00 20,264.00
Grand Total including Flight and Insurance in USD: 223,782.00

mkuu asante saana
umenisaidia sana
nikiwa tayari naweza kukutafuta kwa msaada zaidi
 
sabasita

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
1,506
1,225
kwenye editing suite wala usijali..za ku crack ziko kibaooooo..yes, kibongobongo...hatununui softwares
 
Mkurabitambo

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
230
195
The Boss; bila shaka unafahamu kuwa sasa hivi tanzania inatumia mfumo wa Technolojia ya Digitali kupitia Service Providers wanaoitwa Multiplexer Operators. Ifikapo 31st December 2012, mitambo yote ya analog inatakiwa izimwe na kuanzia 1st January 2013 itakuwa ni Digital Transmission tu. So matangazo ya moja kwa moja ya kutumia antenna za Chadema au V mfano ya ITV; EATV; Capital TV; Channel 10; DTV; CTN; Clouds TV nk. hayataweza kuonekana.

Vituo vyote vya TV vitapitisha matangazo au signals zao kupitia moja Multiplexer Operator watatu:
Startimes
Basic Transmission (Inamilikiwa na IPP Media na Star TV lakini haijaanza kufanya kazi) na
ATN.

Hata hivyo wako Digital transmitters wengine wenye Channels nyingi lakini si Multiplexer Operators. Hawa ni:
DSTV
Zuku na
Easy TV

So, Sibuka TV wana own studio ambayo inapeleka signals zake Startimes ambazo wao ndo wanafanya transmission ya signals kwa njia mbili:
1. Wana Uplink facilities (DTH) pale TBC Complex. Maana yake ni kuwa signals zote zinaingizwa katika Satellite Dish kubwa kisha zinarushwa angani katika Satellitte ambayo inasambaza hizo signals Tanzania nzima. Unaaweza kupa signals kutumia Satellite antenna.

2. Wanapelekeza signals Kisarawe kwa DSM ambapo pale pana mnara unaorusha signals DSM na unaweza kupata signals kutumia antenna ndogo.

Kwa Technolojia hii ina maana yeyote sasa anaweza kuanzisha TV ili mradi unayopesa ya kulipia kurusha signals zako.

Kama sijasomeka naomba uniulize Mkuu.

kuhusiana na mambo ya digital transmission hasa kwa Startimes,ATN na hao ITV tunatofautiana kidogo. Hawa wote wamepewa leseni ya kurusha matangazo terrestrially kupitia mfumo ujulikanao kama DVB-T. Hivyo signal za Startimes ATN na ITV kwa mfano haziendi kwenye satellite hata kidogo ndo maana startimes hawajihusishi na uuzaji wa madishi bali huuza yagiuda antenna( samaki) kwa kuwa wao ni terrestrial broadcaster. Hujiulizi kwa nini watu wa Rukwa hawana signal za Startimes wakati wanaweza kuzipata kwenye satellite? Dishi lile pale TBC ni kwa ajili ya downlink ya signals kutokea popote duniani,(kwa maana ya TV za nje mfano MTV,BET etc) kisha huchanganya na TV za ndani na kufikisha idadi ya channel za startimes mfano ambazo sasa zipo zaidi ya 50.

Zuku tv,Easy TV na DSTV hawa wanatangaza kwa kutumia mfumo ujulikanao kama DVB-S. Satellite huwa ndo njia yao ya transmission,hivyo huweza patikana popote Tanzania na ndo maana wao hujihusisha na kuuza dish za KU band kwa wateja wao na sio antenna za chadema na V.

kelele zote za TCRA kuhusu kuhamia digital inahusu sana terrestrial transmission, ndio maana mabadiliko haya yanawahusu watu wale wenye antenna za chadema na v na sio wenye madishi kwani wao tayari wapo digital.
kwa sasa ITV,EATV,TBC, StarTV,Channel Ten wote wanamfumo wa kidigital tayari( hapa nazungumzia DVB-Satellite),na wanamfumo wa analogia ambao (terrestrial) ambao ndio TCRA wanaomba ubadilishe kwa minajili ya kuongeza upatikanaji wa frequency kwa ajili ya matumizi mengine.

Sibuka TV wao wana mfumo wa kianalogia pekee( wanatransmit terrestrial kwenda kwa antenna na chadema na V analogically) wanapitisha signal zao Startimes kuweza zifanya digatal na kutufikia sisi, wao wakitaka wawe free to air nchi nzima basi inawalazimu kwanza kutransmit kupitia satellite(DVB-S) na pili iliwabidi wafunge transmitter karibu kila mkoa kwa case ya terrestrial( ambapo ni mfumo wa kianalogia) lakini kwa sasa hawatahitaji kufanya hivyo kwa kuwa Startimes wamepewa kazi hiyo.

natarajia maswali zaidi na yote yanakaribishwa
 
tusichoke

JF-Expert Member
Apr 2, 2011
1,314
1,250
sio mtaalam sana wa mambo haya bali ninachojua star times wanarusha matangazo yao kupitia digital,yani sibuka wanaconnection na startimes ambao wanarusha channel zao kwenye satelite kupitia frequence zao kisha zinapolelewa kupitia madishi na wana transmitt kwa njia ya digital kwa kutumia mnara mfano wa simu kwa wateja
 
mtu chake

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
19,096
2,000
nami kwa kuongezea kama sijakosea Sibuka Tv na Sibuka Redio ndio tv za mwanzo kabisa kuingia katika Digital....
 
Mrimi

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,697
1,250
kuhusiana na mambo ya digital transmission hasa kwa Startimes,ATN na hao ITV tunatofautiana kidogo. Hawa wote wamepewa leseni ya kurusha matangazo terrestrially kupitia mfumo ujulikanao kama DVB-T. Hivyo signal za Startimes ATN na ITV kwa mfano haziendi kwenye satellite hata kidogo ndo maana startimes hawajihusishi na uuzaji wa madishi bali huuza yagiuda antenna( samaki) kwa kuwa wao ni terrestrial broadcaster. Hujiulizi kwa nini watu wa Rukwa hawana signal za Startimes wakati wanaweza kuzipata kwenye satellite? Dishi lile pale TBC ni kwa ajili ya downlink ya signals kutokea popote duniani,(kwa maana ya TV za nje mfano MTV,BET etc) kisha huchanganya na TV za ndani na kufikisha idadi ya channel za startimes mfano ambazo sasa zipo zaidi ya 50.

Zuku tv,Easy TV na DSTV hawa wanatangaza kwa kutumia mfumo ujulikanao kama DVB-S. Satellite huwa ndo njia yao ya transmission,hivyo huweza patikana popote Tanzania na ndo maana wao hujihusisha na kuuza dish za KU band kwa wateja wao na sio antenna za chadema na V.

kelele zote za TCRA kuhusu kuhamia digital inahusu sana terrestrial transmission, ndio maana mabadiliko haya yanawahusu watu wale wenye antenna za chadema na v na sio wenye madishi kwani wao tayari wapo digital.
kwa sasa ITV,EATV,TBC, StarTV,Channel Ten wote wanamfumo wa kidigital tayari( hapa nazungumzia DVB-Satellite),na wanamfumo wa analogia ambao (terrestrial) ambao ndio TCRA wanaomba ubadilishe kwa minajili ya kuongeza upatikanaji wa frequency kwa ajili ya matumizi mengine.

Sibuka TV wao wana mfumo wa kianalogia pekee( wanatransmit terrestrial kwenda kwa antenna na chadema na V analogically) wanapitisha signal zao Startimes kuweza zifanya digatal na kutufikia sisi, wao wakitaka wawe free to air nchi nzima basi inawalazimu kwanza kutransmit kupitia satellite(DVB-S) na pili iliwabidi wafunge transmitter karibu kila mkoa kwa case ya terrestrial( ambapo ni mfumo wa kianalogia) lakini kwa sasa hawatahitaji kufanya hivyo kwa kuwa Startimes wamepewa kazi hiyo.

natarajia maswali zaidi na yote yanakaribishwa
Sasa hapa ndio kuna nafasi ya kuuliza maswali yangu yaliyokuwa yakinisumbua kwa muda mrefu.

Je,ni utaratibu gani unaotumika kwa kituo cha tv cha hapa nyumbani kuonesha live matangazo ya kituo kingine cha nje,kwa mfano utakuta ITV wanajiunga na BBC World, au Channel 10 wanapojiunga na SKY News, au CAPITAL TV wanapojiunga na CNN?

Pili,mimi mara kadhaa natumia internet kutazama channels mbalimbali za kimataifa bure,je wao wananufaika vipi wakati mimi natumia internet kwa bundle ya hapa nyumbani?Kwa maana kwamba hata hawanijui huku niliko.

Tatu,kwa nini hawa wanaorusha matangazo kama vile ZUKU na Star Times wasitumie internet kupata channels zile tunazopata thru internet? Maana kwa mfano Live Football,Basketball nk.tunazipata kirahisi kabisa kwenye net.Wangeweza kufanya hivyo DSTV ingekuwa na mshindani mwenye nguvu,na pengine wangeweza kushusha bei zao.

Mi yangu ni hayo tu ndugu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom