Siasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mkullya Damu, Jul 29, 2012.

 1. Mkullya Damu

  Mkullya Damu Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ninawasiwasi na maamuzi ya prf. Muhongo waziri wa nishati na madini,kwamba kuna wana siasa wanamtumia ili kujiimalisha kisiasa na mbio za uraisi sina uhakika na mawazo mgando yangu,mwenye uwezo wa kutizama kwa jicho la tatu naomba aniondoe huu wasiwasi wangu!
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,490
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Peleka kunakohusika! shauri yako, wanakuja!
   
 3. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,642
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Bora umemwambia wengine twaogopa ban! Teh teh teh!!!
   
 4. AmKATRINA

  AmKATRINA JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 375
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mwambie aende jukwaa la pili kwa kufuata ngazi tangu awali.
   
Loading...