Ndugu mdau,
hiyo ni dhana tu na itabaki hivyo kwasababu hayupo wa kuithibitisha pasina shaka, na kwahivyo hakuna haja ya kupoteza wakati sana kwenye dhana, unless una mawaidha maalumu ya namna ya kuthibitisha dhana hiyo ili umma uweze kujua ni ya kweli ama vinginevyo.
changamoto kubwa kwenye mambo haya ya siasa za utakatifu ni pamoja na hata wanaoripoti changamoto kama hizo, kutoonyesha ushirikiano kwa vyombo husiaka , na matokeo yake kunakosekana na hitimisho lenye uhakika wa jambo lenyewe.
na hao wanasiasa wa kutafuta utakatifu wa kisiasa,
hawapendelei mambo haya kuhitimishwa kwasababu ndio hua mataji wao wa kisiasa. Na saa zingine huona hata ufahari endapo maafa ya kutatanisha humpata mwanachama wao.