Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 6,711
- 16,680
Ni kweli, umewaza mbali Twin, lakini ni rahisi sana kugundua, wewe angalia tu bajeti na mifumo ya nchi, wengi huwa wanapenda sana kuonekana mbele ya camera wakiwa wanatoa hiyo misaada wakati huo huo ukiangalia upande wa taasisi utagundua mapungufu makubwa kama siyo makosa kabisa.Hapa sasa yaweza kua ni propaganda inatengenezwa kweli kuhadaa umma au kweli ni mtoaji
Sasa namna ya kutofautisha kama huyu anafata script
Au anatoa hadharani kama kua motivated kwa wengine inabaki kwa
Anaetazama ndiyo atachagua upande kukingana na uelewa wake
Ukianzisha Uzi wako unakuwa na marking scheme nini?Hakikisha ukija kwenye uzi wangu unakuja na fact tupu
Sipendezwi sana na mtu anaechukulia mambo jumla jumla
Sasa soma tena na ukaribie kwenye mjadala😊😊
Pitia comment za wadau jifunze kama huna cha kuchangia idadi ya views hua kubwa kuliko wachangiajiUkianzisha Uzi wako unakuwa na marking scheme nini?
Anataka asahihishe😂Ukianzisha Uzi wako unakuwa na marking scheme nini?
Hii ndio tuiite cinema zetuNi kweli, umewaza mbali Twin, lakini ni rahisi sana kugundua, wewe angalia tu bajeti na mifumo ya nchi, wengi huwa wanapenda sana kuonekana mbele ya camera wakiwa wanatoa hiyo misaada wakati huo huo ukiangalia upande wa taasisi utagundua mapungufu makubwa kama siyo makosa kabisa.
Hapa viongozi wengi wanaingia mkenge sanaLakini pia angalia ni jinsi gani huyo kiongozi anavyobeba ukosoaji, hii ndiyo njia nyepesi zaidi kugundua.
OkayUtakatifu ni illusion.
Hakuna mtakatifu chini ya ardhi na hata mbinguni
Inabidi ulijue hili for it is an illusion for sure.Okay
OkayInabidi ulijue hili for it is an illusion for sure.
Shikamoo
Mzungu amekuwa mamlaka ya uhamiaji aanze kukupa passport?Nilikuwa sina kazi nimekutana na mzungu amenipa passport na visa na kazi tyr ninayo na bima ya afya hii hapa
Marahaba ingia kwenye mjadalaShikamoo
Hao nyumbu wa cdm watakuvurugia uzi.Hakikisha ukija kwenye uzi wangu unakuja na fact tupu
Sipendezwi sana na mtu anaechukulia mambo jumla jumla
Sasa soma tena na ukaribie kwenye mjadala😊😊
Mimi sina chama mpwa napokea hoja zote kutoka kwa yoyote muhimu yupo ndani ya mada husikaHao nyumbu wa cdm watakuvurugia uzi.
Ngoja nitoke bank, nije ku comment vizuri.
Nukuu :Kujivika utakatifu unakozungumzia uko zaidi upande wa wa watawala na mnaofaidika nao!mwisho wa kunukuu.Siasa chafu ina uongo, uzushi, unafiki na propaganda nyingi. Kujivika utakatifu unakozungumzia uko zaidi upande wa watawala na mnaofaidika nao. Kama hoja ni kutaka kuthibitisha tuhuma za ubadhilifu wa makamu mwenyekiti muongozo umeshatolewa.
Katika jamii ya kidemokrasia kama ya kwetu hapa Tanganyika na hata kule mkoa wa kimkakati wa Zanzibari, heshima na uwajibikaji vinaweza kwenda pamoja. Tunaweza kuheshimu viongozi na taasisi zao wanazoziongoza aidha iwe kiroho, kisiasa au kijamii, huku tukidumisha haki ya kuuliza maswali hata yale wasiyoyapenda, kutoa maoni bila kuvunja sheria na kwa njia zisizo tweza utu na kuwawajibisha wanaobainika kukosea pale inapobidi kwa misingi ya sheria tulizojiweke.Kama Title inavyosema
Wengi tuna amini kuwa utakatifu ni hali ya usafi maadili mema na kutokuwa na dosari
Lakini je, nini hutokea pale ambapo dhana ya utakatifu inapohusishwa na siasa
Mimi naamini hasara zake zinaweza kuwa kwa kiwango kikubwa sana
Pale ambapo mtu au kundi la watu linaonekana kuwa watakatifu, kiasi kwamba jamii inaanza kuamini hawawezi kukosea, kukosolewa au hata kuhojiwa, matokeo yake huwa mabaya
Kwa upande mwingine, je, tatizo ni utakatifu wenyewe, au ni namna ambavyo binadamu anaweza kutumia dhana hiyo kwa maslahi yake binafsi, akijiona kuwa bora kuliko wengine?
Kwa sababu historia imeonyesha kuwa pale ambapo mtu anaaminiwa kupita kiasi na kupewa nafasi ya kuonekana hakosei, wakati mwingine inakuwa vigumu kwa jamii kuhoji maamuzi yake. Hata pale anapokosea, inaweza kuwa ngumu kuwajibishwa kwa sababu tayari kuna kundi kubwa la watu linalomwamini na kumwekea kinga
Swali la mjadala👇
Je, dhana ya utakatifu kwa binadamu ni mbaya yenyewe?
Au tatizo hujitokeza pale ambapo utakatifu unapogeuzwa kuwa kinga ya kukwepa uwajibikaji na kuzima sauti za wanaohoji?
Mnalionaje suala la siasa za utakatifu?
Unadhani linaweza kuwa chachu ya kujenga jamii yenye maadili au linaweza kuwa chanzo cha changamoto pale linapotumiwa vibaya?
Mwisho wa yote tujiulize
Je, utakatifu unapokuwa sehemu ya siasa unabaki kuwa mwongozo wa maadili au unaweza kugeuka kuwa chombo cha nguvu au ngao?
ShesRise_1 ✋️
Katika jamii ya kidemokrasia kama ya kwetu hapa Tanganyika na hata kule mkoa wa kimkakati wa Zanzibari, heshima na uwajibikaji vinaweza kwenda pamoja. Tunaweza kuheshimu viongozi na taasisi zao wanazoziongoza aidha iwe kiroho, kisiasa au kijamii, huku tukidumisha haki ya kuuliza maswali hata yale wasiyoyapenda, kutoa maoni bila kuvunja sheria na kwa njia zisizo tweza utu na kuwawajibisha wanaobainika kukosea pale inapobidi kwa misingi ya sheria tulizojiweke.
Naunga mkono 🤝Hivyo kila mchangiaji wa huu uzi,anatakiwa kuweka akilini mwake kwamba utakatifu unapokuwa chanzo cha maadili ni baraka kwa jamii na taasisi husika, lakini utakatifu unapogeuzwa kuwa ngao dhidi ya uwajibikaji na uzembe unaweza kudhoofisha haki, uwazi na imani ya wananchi. muelewa kuwa demokrasia yenye afya huhitaji maadili, lakini pia huhitaji uwazi na nafasi ya hoja tofauti zenye mashiko kusikilizwa kwa heshima.
Daud kwenye bible ndo msingi wa siasa na utakatifu, kuna jamaa alimletea taarifa eti nimemuua Sauli, Daud akasema damu yake iwe juu yako nawe utauawa. Jamaa alidhani hizo taarifa zingelimfurahisha daudi ikawa kinyume chake. Siasa na utakatifu inawezekana ukiondoa wapambe nuksi. 2 Samweli 2Kama Title inavyosema
Wengi tuna amini kuwa utakatifu ni hali ya usafi maadili mema na kutokuwa na dosari
Lakini je, nini hutokea pale ambapo dhana ya utakatifu inapohusishwa na siasa
Mimi naamini hasara zake zinaweza kuwa kwa kiwango kikubwa sana
Pale ambapo mtu au kundi la watu linaonekana kuwa watakatifu, kiasi kwamba jamii inaanza kuamini hawawezi kukosea, kukosolewa au hata kuhojiwa, matokeo yake huwa mabaya
Kwa upande mwingine, je, tatizo ni utakatifu wenyewe, au ni namna ambavyo binadamu anaweza kutumia dhana hiyo kwa maslahi yake binafsi, akijiona kuwa bora kuliko wengine?
Kwa sababu historia imeonyesha kuwa pale ambapo mtu anaaminiwa kupita kiasi na kupewa nafasi ya kuonekana hakosei, wakati mwingine inakuwa vigumu kwa jamii kuhoji maamuzi yake. Hata pale anapokosea, inaweza kuwa ngumu kuwajibishwa kwa sababu tayari kuna kundi kubwa la watu linalomwamini na kumwekea kinga
Swali la mjadala👇
Je, dhana ya utakatifu kwa binadamu ni mbaya yenyewe?
Au tatizo hujitokeza pale ambapo utakatifu unapogeuzwa kuwa kinga ya kukwepa uwajibikaji na kuzima sauti za wanaohoji?
Mnalionaje suala la siasa za utakatifu?
Unadhani linaweza kuwa chachu ya kujenga jamii yenye maadili au linaweza kuwa chanzo cha changamoto pale linapotumiwa vibaya?
Mwisho wa yote tujiulize
Je, utakatifu unapokuwa sehemu ya siasa unabaki kuwa mwongozo wa maadili au unaweza kugeuka kuwa chombo cha nguvu au ngao?
ShesRise_1 ✋️
Baada ya hapo huyo mleta taarifa aliuwawa ?Daud kwenye bible ndo msingi wa siasa na utakatifu, kuna jamaa alimletea taarifa eti nimemuua Sauli, Daud akasema damu yake iwe juu yako nawe utauawa.
Nitanenda kusoma hiyo 2 Samweli 2Siasa na utakatifu inawezekana ukiondoa wapambe nuksi. 2 Samweli 2