ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,314
- 41,064
Itokee siku ikufurahishe kijana mdogoInasikitisha sana
Kabisa mkuuUtapel umejaa kila sehemu
Vitendo zaidi sio Bla blaukikutana na nature ya mtu ambaye amejijengea heshima kupitia matendo yake huwa ni rahisi kumuamini
Ukiaminika jitaid Kutunza hiyo iman waliyonayo kwakoKabisa mkuu
Vitendo zaidi sio Bla bla
Kwa maana nyingine ukikopeshwa uaminifu basi ulipe kwa kiwango sawa na mkopo uliopokea!Ukiaminika jitaid Kutunza hiyo iman waliyonayo kwako
Hongera sana 👏Nilikuwa sina kazi nimekutana na mzungu amenipa passport na visa na kazi tyr ninayo na bima ya afya hii hapa
Ndiyo ni sahihi lakin baada ya yote sisi ni Binadamu tuuKwa maana nyingine ukikopeshwa uaminifu basi ulipe kwa kiwango sawa na mkopo uliopokea!
Kaka hapa nadhani umeongelea faida tu na unaweza kua sahihiSiasa za Utakatifu zinalenga katiba na sheria za haki zitakazowachochea watu kuwa Watakatifu wanapokuwa kwenye vyombo vya maamuzi, na hata wananchi wa kawaida.
Na ikitokea mtu kakosea, katiba na sheria itaweka mfumo wa hukumu ambazo ni takatifu yaani za haki.
Na hapo ndipo Uwajibikaji ndani ya siasa unapojitokeza.
Hivyo watu wanataka utakatifu hata kama wao sio watakatifu. Ili hata wahalifu na waovu wapate matunda ya utakatifu kwa kuhukumiwa kitakatifu/kihaki.
Hiyo ndio maana siasa za utakatifu.
Kukataa kukosolewa sio sehemu ya utakatifu. Hizo ni siasa za kihalifu na kishetani.
Ukosoaji ni sehemu ya utakatifu. Ili kuleta ubunifu wenye tija na mabadiliko chanya
ExactlyNdiyo ni sahihi lakin baada ya yote sisi ni Binadamu tuu
Acha kuzunguka, propaganda zimegonga mwamba.Kaka hapa nadhani umeongelea faida tu na unaweza kua sahihi
Vipi kuhusu hasara ?
Mwanasiasa
Au vikundi vya siasa kujivika utakatifu
Unaopelekea kukataa maoni au kuhojiwa hiii ndio maana yangu !
Huoni kama kuna madhara hapa?
Je mwanasiasa au vikundi vya siasa vikijivika vazi la utakatifu ni kinga wanajiwekea au wanalenga hizo faida ulizotaja hapo?
Kaka hapa nadhani umeongelea faida tu na unaweza kua sahihi
Vipi kuhusu hasara ?
Mwanasiasa
Au vikundi vya siasa kujivika utakatifu
Unaopelekea kukataa maoni au kuhojiwa hiii ndio maana yangu !
Huoni kama kuna madhara hapa?
Je mwanasiasa au vikundi vya siasa vikijivika vazi la utakatifu ni kinga wanajiwekea au wanalenga hizo faida ulizotaja hapo?
Naunga mkono hapaKimsingi, binadamu yeyote aliye hai huwa ana mapungufu na ana uwezo wa kukosea. Ndiyo maana dhana yenyewe ya binadamu kuwa mtakatifu au mkamilifu ni illusion.
Exactly 💯Mwanasiasa anapojivika vazi la utakatifu, lengo lake huwa ni kutafuta ngao ya yeye kufanya madudu bila kuhojiwa.
Hapa sasa yaweza kua ni propaganda inatengenezwa kweli kuhadaa umma au kweli ni mtoajiUkiangalia siasa za aina hii upande wa propaganda na vyombo vya habari utagundua ni jinsi gani huwa vinaratibiwa ili kusafisha taswira. Kila siku utaona habari zinazomwonyesha kiongozi kama mtu anayetoa sadaka, anayelia kwa ajili ya maskini, au anayeshinda na kukesha akifikiria maendeleo, hizi propaganda huwa zinatengenezwa kitaalamu ili ziwaguse wananchi emotionally, lengo likiwa ni kuwafanya hao wanachi wasipime utendaji wa kiongozi wao kwa kutumia akili bali wamtetee kwa kutumia hisia. Mtu yeyote anayepingana na hizo scripts za kusifu na kuabudu huwa anapewa jina la adui wa maendeleo.
huu ni mfano unaoishi wenye kuonesha madhara makubwa na mabaya ya mwanasiasa kujivika vazi la utakatifu na kufunga mlango wa kukosolewa au kupokea ushauriAngalia nchi kama Zimbabwe ya Robert Mugabe. Mwanzoni alionekana kama Mkombozi Mtakatifu aliyepigania nchi yake. Watu walimwamini kiasi kwamba ikaonekana kuwa ni dhambi kubwa sana ukijaribu kumkosoa. Matokeo yake yalikuwa nini? Uchumi wa nchi uliporomoka, mfumuko wa bei ukawa wa kihistoria, nchi ikapukutika huku wananchi wakiwa bado wanamshangilia mtakatifu wao. Kila aliyetaka kuhoji alionekana msaliti wa ukombozi.
Kwa hapa Tanzania hili swala nadhani limekua kama ugonjwa unaoambukizaHata hapa Tanzania, tumepitia nyakati ambazo ukosoaji ulionekana kama uhaini kwa sababu tu viongozi fulani walionekana watakatifu na wana uchungu sana na nchi. lifikia hatua ukichambua mkataba mbovu au ukikosoa matumizi mabaya ya fedha za umma, badala ya kujibiwa kwa hoja za hesabu, unaambiwa unapinga maendeleo au umetumwa na mabeberu! Jamii ikajazwa chawa wa kutosha wanaotetea makosa makubwa kwa sababu kwa mtazamo wao wanaona kiongozi hawezi kukosea.
Naunga mkono hojaKifupi siasa za aina hii zinatumika tu kama ngao, wanajua wakishajenga hiyo imani, hata wakifanya ufisadi wananchi wenyewe ndio watakaopigana kuwatetea! Ni utapeli unaoua demokrasia na kuacha wananchi wakiwa masikini.
Hakikisha ukija kwenye uzi wangu unakuja na fact tupuAcha kuzunguka, propaganda zimegonga mwamba.
Upo sahihi broHasara ya utakatifu ipo zaidi katika mtazamo, tafsiri potofu kuhusu utakatifu iliyomo vichwani mwa baadhi ya vikundi vya watu hasahasa wenye mamlaka. Kama vile Wazazi, viongozi wa Dini/kimila na serikali.
Utakatifu kama utakatifu hauna tatizo. Ishu ipo nani anatafsiri huo utakatifu na mtazamo wa watu kuhusu utakatifu.
Kama watawala ikiwemo wazazi na viongozi wa serikali wakiwa na mtazamo na tafsiri potofu kuhusu utakatifu hapo kizaazaa lazima kizuke.
Na hii ni dhana mbaya sana huu msemo ni wa kujivika utakatifu ambao kimsingi haupo et mkubwa hakosei🤔Mfano wa dhana potofu utakaoleta tafsiri potofu:
1. Mkubwa Hakosei.
Kuna ile dhana potofu kwamba Mkubwa hakosei, tumeiona mpaka kwa Miungu, kwamba Kazi yake Mola haina Makosa, au Mungu hakosei. Jambo ambalo sio sahihi katika dhana ya utakatifu.
Hakika hakikaUtakatifu haimaanishi kutokukosea kama wengi wanavyofikiri.
Dhana ya kutokosea kama sehemu ya utakatifu ndio inaleta matatizo mengi uliyoyataja. Mtu kama anaamini au imewekwa dhana ya kundi fulani halikosei. Automatically uonevu, ukandamizaji. Unyanyasaji lazima viwepo. Kundi fulani likijiona special kuliko kundi jingine.