Siasa za Upinzani: Kilimanjaro vs Tabora

Wachaga ndio wamesababisha Tanzania kuwa maskini.Kwa hiyo tuchague watu wa Kanda ya ziwa tufikie uchumi wa kati na Tanzania ya viwanda.Hahaha
Kilimanjaro imejaa wezi watupu wanaoshabikia chadema.. Ndio maana kanda ya ziwa waliwafundisha siasa 2015.
 
Upumbavu wa kulinganisha elimu na upinzani. Ukabila mtupu, tungewaelewa kama hao wanaojiita wapinzani wasomi wangekuwapo wengi huko CUF, UDP na labda TADEA. Wanakuwa wapinzani pale tu chama fulani kinaongozwa na mtu toka kwao. Wajinga wakubwa. Subiria CCM baada ya magufuli wamweke Agrey Mwanri kugombea urais uone wachaga watakavyomiminika kushabikia kijani. Au subiria CDM watakapofanya uchaguzi M/kiti awe prof. Safari, Makamu Rwakatare, Katibu Mkuu abaki Mashinji, Naibu awe David Silinde, Msemaji wa chama awe Ester Bulaya, Mwanasheria abaki Lissu na kuwe na dalili za wazi kwamba mgombea urais wa CDM/UKAWA awe Mtatiro au mwingine yeyote toka CUF. Hapo wakichagua Mtatiro badala Mwanri utajua ni wapinzani na si wakabila.
Wewe ndio mpuuzi wa mwisho kweli, kwani CCM wanaoshindwa Kilimanjaro sio wachaga? au Chadema waliokuwa wakishindwa Kilimanjaro hawakuwa wachaga? mbona mnakuwa mazuzu kiasi hiki?
 
Kilimanjaro imejaa wezi watupu wanaoshabikia chadema.. Ndio maana kanda ya ziwa waliwafundisha siasa 2015.
Unakimbilia ukabila sababu ya siasa? Kilimanjaro ndio wanao run hii Tanzania baada ya wahindi, kwenye elimu hadi biashara,
hao wa kanda ya ziwa naona walimchagua mtu wa kwao na anawalipa fadhila kama alivyowaambia kule Mwanza, ila bila elimu, uchapakazi na nidhamu watabebwa hii miaka 10 na Msukuma mwenzao lakini umasikini hautaisha, wataishia kuchinja albino na kupembua magwangala ila watakunya tu ziwani na kula mapanki,
 
Kilimanjaro imejaa wezi watupu wanaoshabikia chadema.. Ndio maana kanda ya ziwa waliwafundisha siasa 2015.
Kanda ya ziwa noma yaani Kuna maendeleo ya hatari udongo wa dhahabu hausafirishwi tena.Magwangwala ni morum sehemu zenye tope chezea kanda ya ziwa wewe.Huduma zote za jamii zipo za kiwango cha juu.Wachaga watatukoma.Huu uongozi wetu.
 
Kura zikipigwa nakuhesabiwa kwa HAKI hata dodoma ccm haichukui jimbo hata moja!
 
  • Thanks
Reactions: Gut
Wengi wetu tunafahamu namna ambavyo mikoa hii miwili ya Tabora na Kilimanjaro ilivyo na umuhimu katika siasa nchi hii.

Tangu wakati wa kutafuta uhuru hadi wakati wa siasa za mageuzi mkoa wa Tabora umekuwa chimbuko la wanasiasa wapinzani kama James Mapalala aliyeanzisha CUF, Chief Abdallah Fundikira aliyeanzisha TADEA, Prof. Lipumba aliyejipatia umaarufu ndani ya CUF kwa kuiongoza kwa miaka kadhaa.

Hata hivyo, pamoja na umaarufu wa wanasiasa hao, bado mkoa wa Tabora haukufanikiwa kuwa ngome ya wapinzani. Ni miezi michache tu iliyopita ndipo CUF ilipofanikiwa kupata mwakilishi kwenye Bunge la Tanzania, ambaye hata hivyo mgogoro uliopo umetishia nafasi yake ya uwakilishi.

Kwa upande wa Mkoa wa Kilimanjaro, kuna wanasiasa maarufu wengi, kuanzia kwenye vyama vyao hadi majimboni. Augustine Mrema (NCCR Mageuzi & TLP), Edwin Mtei (Chadema), James Mbatia (NCCR Mageuzi), Freeman Mbowe (Chadema).

Swali, imekuwaje wenyeviti wa vyama vya upinzani kutokea mkoa wa Tabora washindwe kuimarisha upinzani mkoani Tabora, ilihali wenzao wa Kilimanjaro wamefanikiwa kukitoa jasho chama tawala?

Doesn't charity begin at home?
Tatizo uswahili umezidi.
 
mkuu unataka takwimu zipi tena au unataka ubishi tu hivi unaweza kufananisha mwamko wa elimu wa kilimanjaro na dodoma au mwamko wa kielimu kati ya mbeya na Tabora
weka takwimu usilete habari za kuona,nimesoma na watu wa kilimanjaro,wengi hawakuwa na uwezo darasani
 
mimi nimeishi Moshi miaka mingi, nimesoma na wachaga, wambulu, wasukuma wajaluo na wengineo pia, ila watu wenye bond kubwa za kikabila ni watu wa kanda ya ziwa, wambulu na wengineo
, hata vyuoni wana vyama vyao, watu ambao hawashobokiani kisa kabila moja ni wachaga, hii nadhani ni kutokana na kuchanganyikana na makabila mengine kwa kuwa wengi hawaishi Moshi,
sasa wewe hebu toa ushahidi wako kuwa kuna huo ikabila na udini, sio maandishi matupu

Ushahidi unaoutaka ni huu, mmarangu hawezi kuchaguliwa kuwa mbunge rombo, never, mkibosho hawezi kuchaguliwa kuwa mbunge marangu, mlutheri hawezi kuchaguliwa mbunge rombo na mkatoliki hawezi kuchaguliwa mbunge machame, mkirisi anaweza kuwa diwani pasua? Mchaga anaweza kuwa mbunge Arusha lakini hakuna mmasai hata mmoja anaweza kuwa mbunge rombo, msomali, mnyiha anaweza kuwa mbunge tabora lakini nani asiye mchaga anaweza kuwa mbunge kupitia jimbo lolote wanaloishi wachaga au wapare katika mkoa wa Kilimanjaro? Asiye mnyakyusa anaweza kuwa mbunge Mbeya, lakini nani asiye mchaga anaweza kuwa mbunge moshi vijijini? mna macho lakini hamuoni, sina hakika kama akili za kufikiri zipo, hebu sasa tafakari
 
Wengi wetu tunafahamu namna ambavyo mikoa hii miwili ya Tabora na Kilimanjaro ilivyo na umuhimu katika siasa nchi hii.

Tangu wakati wa kutafuta uhuru hadi wakati wa siasa za mageuzi mkoa wa Tabora umekuwa chimbuko la wanasiasa wapinzani kama James Mapalala aliyeanzisha CUF, Chief Abdallah Fundikira aliyeanzisha TADEA, Prof. Lipumba aliyejipatia umaarufu ndani ya CUF kwa kuiongoza kwa miaka kadhaa.

Hata hivyo, pamoja na umaarufu wa wanasiasa hao, bado mkoa wa Tabora haukufanikiwa kuwa ngome ya wapinzani. Ni miezi michache tu iliyopita ndipo CUF ilipofanikiwa kupata mwakilishi kwenye Bunge la Tanzania, ambaye hata hivyo mgogoro uliopo umetishia nafasi yake ya uwakilishi.

Kwa upande wa Mkoa wa Kilimanjaro, kuna wanasiasa maarufu wengi, kuanzia kwenye vyama vyao hadi majimboni. Augustine Mrema (NCCR Mageuzi & TLP), Edwin Mtei (Chadema), James Mbatia (NCCR Mageuzi), Freeman Mbowe (Chadema).

Swali, imekuwaje wenyeviti wa vyama vya upinzani kutokea mkoa wa Tabora washindwe kuimarisha upinzani mkoani Tabora, ilihali wenzao wa Kilimanjaro wamefanikiwa kukitoa jasho chama tawala?

Doesn't charity begin at home?
Hivi chief Fundikira ndiyo muanzilishi wa Tadea?
 
Ushahidi unaoutaka ni huu, mmarangu hawezi kuchaguliwa kuwa mbunge rombo, never, mkibosho hawezi kuchaguliwa kuwa mbunge marangu, mlutheri hawezi kuchaguliwa mbunge rombo na mkatoliki hawezi kuchaguliwa mbunge machame, mkirisi anaweza kuwa diwani pasua? Mchaga anaweza kuwa mbunge Arusha lakini hakuna mmasai hata mmoja anaweza kuwa mbunge rombo, msomali, mnyiha anaweza kuwa mbunge tabora lakini nani asiye mchaga anaweza kuwa mbunge kupitia jimbo lolote wanaloishi wachaga au wapare katika mkoa wa Kilimanjaro? Asiye mnyakyusa anaweza kuwa mbunge Mbeya, lakini nani asiye mchaga anaweza kuwa mbunge moshi vijijini? mna macho lakini hamuoni, sina hakika kama akili za kufikiri zipo, hebu sasa tafakari
Mawazo dumavu hayo. Una kitu kimejaa kifuani mwako na hicho kitakuua. Hivi pale jumbo la Ismani anaweza kuchaguliwa mchaga kuwa mbunge? Jumbo la Kasulu? La Nkasi? La Tunduru? Unachoshindwa kuelewa ni kwamba kila mahari hutegemea mchanganyiko wa watu kwa shughuli zao. Tumeona Chalinze namna lugha ya kikwere na kizaramo ilivyotumika kubeza mgombea wa upinzani. Kuna mchaga anaweza kuwa mbunge Chalinze? Mafia? Kisarawe? Ni kwa nini huyo ukabila uonekane kwa wachaga tu?
 
Mchaga mbunge Kibaha, Mbunge wa Arusha ihivi ni kabila gani? Mwanza mbunge si lazima awe msukuma. Morogoro, Azim Premji hakuwa Muha, Mohamed Dewji nae? Msumari umeingia mahala pake enhe unang'aka! Dawa imeshaingia hiyo, niambie muhorombo anaweza kuwa mbunge machame? Achana nakabila tofauti kabisa, baki nahilo hilo kabila la wachaga, mmachame anaweza kumpigiakura muhorombo awembunge katika ardhi ya Machame? Kama machame na kibosh yanakuwa majimbo tofauti hakuna mkibosho atayeweza hata kwenda kugombea machame na vice versa! Huo sio ukabila mangi, ni mila ati! Usikasirike arifu yangu, hapa nilipo nimeshikilia lisare, nisamehe bure chalii yangu! Nisamehe jombaaa!
 
Ushahidi unaoutaka ni huu, mmarangu hawezi kuchaguliwa kuwa mbunge rombo, never, mkibosho hawezi kuchaguliwa kuwa mbunge marangu, mlutheri hawezi kuchaguliwa mbunge rombo na mkatoliki hawezi kuchaguliwa mbunge machame, mkirisi anaweza kuwa diwani pasua? Mchaga anaweza kuwa mbunge Arusha lakini hakuna mmasai hata mmoja anaweza kuwa mbunge rombo, msomali, mnyiha anaweza kuwa mbunge tabora lakini nani asiye mchaga anaweza kuwa mbunge kupitia jimbo lolote wanaloishi wachaga au wapare katika mkoa wa Kilimanjaro? Asiye mnyakyusa anaweza kuwa mbunge Mbeya, lakini nani asiye mchaga anaweza kuwa mbunge moshi vijijini? mna macho lakini hamuoni, sina hakika kama akili za kufikiri zipo, hebu sasa tafakari
Unaposema hawezi unaongea kwa hisia tu ndugu, kama sio hisia hebu tupe ushahidi wa aliyeenda kugombea ubunge uchagani aliyekuwa na strong position ya kushinda kisha kigezo cha kutokuwa mchaga kikamwangusha
 
Mchaga mbunge Kibaha, Mbunge wa Arusha ihivi ni kabila gani? Mwanza mbunge si lazima awe msukuma. Morogoro, Azim Premji hakuwa Muha, Mohamed Dewji nae? Msumari umeingia mahala pake enhe unang'aka! Dawa imeshaingia hiyo, niambie muhorombo anaweza kuwa mbunge machame? Achana nakabila tofauti kabisa, baki nahilo hilo kabila la wachaga, mmachame anaweza kumpigiakura muhorombo awembunge katika ardhi ya Machame? Kama machame na kibosh yanakuwa majimbo tofauti hakuna mkibosho atayeweza hata kwenda kugombea machame na vice versa! Huo sio ukabila mangi, ni mila ati! Usikasirike arifu yangu, hapa nilipo nimeshikilia lisare, nisamehe bure chalii yangu! Nisamehe jombaaa!
Unachokosea ni kidogo sana. Kwanza unapaswa kutofautisha jumbo na jumbo kwa nature zake na wa kazi wake. Maeneo unàyong'ang'ania ni ya vijiji. Kuna sehemu ambazo kwa nature yake hakuna mchanganyiko wa watu. Mbona Jaffery Michael ni mbunge Moshi? Vile ilivyo vigumu kwa machame kutopata mbunge mmarangu, ndivyo ilivyo vigumu Ismani kupata mbunge wa kutoka Kilolo au Mufindi, nakuhakikishia pia vile ilivyo ngumu kwa mtu asiye Mhaya kuwa mbunge Bukoba ndivyo ilivyo kea Rombo na Songea, Manyoni, Iramba na Momba, n.k. Tatizo lako kuna kitu kimekujaa moyoni mwako na kitakuua dogooo.
 
Asante kwakuniarifu kuwa Jaffery Michael si Mchaga na nashukuru kama umepokea taarifa ya kuwa wenje hakuwa msukuma na yuel mwenzake nani yule hebu nikumbushe alikuwa kabila gani vileee..., naye hakuwa msukuma. Pokea tena taarifa kuwa ndugu yangu Koka ni Mchaga yeyee ni Mbunge Kibaha. Ninachosema ukabila uliopoKilimanjaro ni hatari kubwa kwani kabila la wachaga linapatikana tunapotoka Kilimanjaro, tukiwa kule tuna wahorombo, wamarangu, wakibosho, wa uru nakadhalika. Na pia kule Rombo hatuna wahorombo tu, tuna waseri, wa mkuu na wa mamsera na muda mwingine hata lugha yetu haifanani. Huwezi toka zako Kimanzachana ukatia mguu Tarakea babangu ukaomba udiwani, hilo ni chaka la cchui eti, ukiingia tu umeliwa.Lakini unawezza toka rombo ukaenda omba udiwani tabora mjini na watu wa tabora wakakusapoti. Wamemsapoti mnyakyusa na wakamuacha mnyamwezi mwenzao. Hiyo Kilimanjaro piga ua haitokei, ni bora tumpe kishoia yeyote kuliko kumpa Chasaka, hata matambiko yetu yanatuelekeza hivyo, ooh samahani huko kwenye matambiko sitakiwi kusema!
 
Unaposema hawezi unaongea kwa hisia tu ndugu, kama sio hisia hebu tupe ushahidi wa aliyeenda kugombea ubunge uchagani aliyekuwa na strong position ya kushinda kisha kigezo cha kutokuwa mchaga kikamwangusha

Marehemu bibi yangu aliwahi kuniambia kuwa nikimpigia mbuzi gitaa naharibu nyimbo zangu! Kama hujui kwa nini mtu wa kabila tofautu hawazi wala hafikirii kugombea huko basi wewe ni..........nani vile? Nimesahau, nikikumbuka nitarudi.
 
Upumbavu wa kulinganisha elimu na upinzani. Ukabila mtupu, tungewaelewa kama hao wanaojiita wapinzani wasomi wangekuwapo wengi huko CUF, UDP na labda TADEA. Wanakuwa wapinzani pale tu chama fulani kinaongozwa na mtu toka kwao. Wajinga wakubwa. Subiria CCM baada ya magufuli wamweke Agrey Mwanri kugombea urais uone wachaga watakavyomiminika kushabikia kijani. Au subiria CDM watakapofanya uchaguzi M/kiti awe prof. Safari, Makamu Rwakatare, Katibu Mkuu abaki Mashinji, Naibu awe David Silinde, Msemaji wa chama awe Ester Bulaya, Mwanasheria abaki Lissu na kuwe na dalili za wazi kwamba mgombea urais wa CDM/UKAWA awe Mtatiro au mwingine yeyote toka CUF. Hapo wakichagua Mtatiro badala Mwanri utajua ni wapinzani na si wakabila.

Dhana ya UKABILA. Hupendwa na chama fulani maji yanapokifika shingoni hii nchi ni moja makabila ni 120+ hayataweza kuongoza yote milele
 
Ukabila wa mkoa wa Kilimanjaro hauko katika mchaga na kabila jingine, upo katika unatokea sehemu gani na unaongea lugha gani, kimachame, kiseri, kishumundu, kikibosho, kimarangu, kisanyajuu nk, pia udini hauko katika muislamu wala mkiristo bali upo katika mlutheri na mkatoliki. Mashirikiano ya kijamii yapo hivyo. Waislamu wa machame wachache wa kutoka katika ethnic zingine za wanaoitwa wachaga wanakuwa kama watoto yatima Kilimanjaro isipokuwa kwa wale waislamu walio matajiri. Matumizi ya hizo jamii katika siasa sizifahamu kwani sijawahi kushiriki siasa za uchaguzi nikiwa Kilimanjaro. Ubaguzi wa kikabila na kidini upo hata bila siasa kama siasa hapa tunamaanisha nani achaguliwe, lakini kama tunamaanisha maisha ya kila siku ya wakazi basi ubaguzi wa kidini na kikabila upo
Kijijini kwangu pale Machame 99% ni wakristo walutheri ila mwaka 2010 walimchagua diwani muislam kutoka CCM
 
Asante kwakuniarifu kuwa Jaffery Michael si Mchaga na nashukuru kama umepokea taarifa ya kuwa wenje hakuwa msukuma na yuel mwenzake nani yule hebu nikumbushe alikuwa kabila gani vileee..., naye hakuwa msukuma. Pokea tena taarifa kuwa ndugu yangu Koka ni Mchaga yeyee ni Mbunge Kibaha. Ninachosema ukabila uliopoKilimanjaro ni hatari kubwa kwani kabila la wachaga linapatikana tunapotoka Kilimanjaro, tukiwa kule tuna wahorombo, wamarangu, wakibosho, wa uru nakadhalika. Na pia kule Rombo hatuna wahorombo tu, tuna waseri, wa mkuu na wa mamsera na muda mwingine hata lugha yetu haifanani. Huwezi toka zako Kimanzachana ukatia mguu Tarakea babangu ukaomba udiwani, hilo ni chaka la cchui eti, ukiingia tu umeliwa.Lakini unawezza toka rombo ukaenda omba udiwani tabora mjini na watu wa tabora wakakusapoti. Wamemsapoti mnyakyusa na wakamuacha mnyamwezi mwenzao. Hiyo Kilimanjaro piga ua haitokei, ni bora tumpe kishoia yeyote kuliko kumpa Chasaka, hata matambiko yetu yanatuelekeza hivyo, ooh samahani huko kwenye matambiko sitakiwi kusema!
Mkuu unaweza kunitajia jimbo lolote la kijijini ambalo mbunge aliyeshinda si wa asili ya ile jamii.. Usinitajie majimbo ya mijini, nitajie ya vijijini
 
Back
Top Bottom