you know what kijanaz waislam mna vidomodomo sana wakizuia mum hali ya hewa itaharibiki so wameamua kuwaachia muendelee kujazana maujingaz tutaonana kwenye kutoa ajira
Ni kweli vijana wa kiislamu wana vidomodomo na ndio maana wameanzisha uzi huu,
you know what kijanaz waislam mna vidomodomo sana wakizuia mum hali ya hewa itaharibiki so wameamua kuwaachia muendelee kujazana maujingaz tutaonana kwenye kutoa ajira
Pale SAUT binti haruhusiwi kuvaa mini skirt na suruali .....hiyo nayo vipi?Kwenye by-laws ya MUM eti ukionekana bar/guest houses chuo hauna hii ni kali zaidi ya Shariah.
Kumbe MUM wanatoa degree ya Qur'an!Mkuu jitenge na dharau, usiiite hoja yangu "porojo"
Chungulia kama vile unafanya proff reading, unaposema vyuo vya kikristo vinafundisha theology ungeweka kipambanuzi kwa upande wa pili kuwa wanafundisha kuruani, lakini sijui kwa nini huoni kuwa tofauti ya hiki chuo ni kuwa chenyewe kinaitwa CHUO CHA KIISLAMU.
Hivyo vyengine havijaitwa ni vyuo vya kikristo.
Kitu kama hicho.Kumbe MUM wanatoa degree ya Qur'an!
Usijali mkuu,watu wameanza na Chinese language ambayo na UDSM nayo wakaiga baada ya wanaume kuwaonyesha mwanga.Tumejiimarisha kutoa PhD za Aeronautical Sciences katika ukanda huu wa Afrika Mashariki
jamaa zangu wa kigalatia sijui kwani hamnaga reasoning capacity,sijui tatizo liko ki DNA zaidi au ni malezi ya kifreestyle,mama yuko kitchen paty mpaka saa tisa,baba yuko samakisamaki mpaka saa 12 asubuhi,watoto wakowako tu kifreestyle huku wakijinyonyea viroba kwa chati,walivyovinunua toka street corner shophv kabsa MtMtu unaenda kusoma MuM
Mkuu jitenge na dharau, usiiite hoja yangu "porojo"
Chungulia kama vile unafanya proff reading, unaposema vyuo vya kikristo vinafundisha theology ungeweka kipambanuzi kwa upande wa pili kuwa wanafundisha kuruani, lakini sijui kwa nini huoni kuwa tofauti ya hiki chuo ni kuwa chenyewe kinaitwa CHUO CHA KIISLAMU.
Nani amesema hawako chini ya TCU? Ni kwenye udahili tu ndio wanatumia njia tofauti (kwa makubaliano na TCU) lakini wanafuata vigezo vyote vya TCU na wanapokuwa na majina huyapeleka TCU kwa uthibitisho. Kumbuka TCU ndio regulator wa higher education Tanzania kisheria.Mkuu mimi sijapinga hayo unayoyasema, kwa mtizamo wangu sioni kwanini hii kama Institution haitaki kuwa chini ya TCU?
Si unajua visivyo kidhi vigezo vimezuiwa kudahili mwaka huu. TCU wamekusikia bahati mbaya kwako MUM hawana tatizo hilo.Tena ikibidi vifutwe kabla ya mwaka mpya wa masomo 2016/2017 haujaanza.
Inabidi ujue kwanza mkuu.hatuendi hivyo bana.Kitu kama hicho.
wew dudu kwelhamtegemei ajira serikalini ndo maana mnalalamikaga sectors zote zimejaa wakristo serikali inawaonea. acheni kulalamika nendeni mkaajiriwe private sectors
OkInabidi ujue kwanza mkuu.hatuendi hivyo bana.