Siasa za Tanzania -Bendera na kadi zapangwa kuchomwa U/Taifa

Dikiteta.. Professor.... Dr.... Alhaji Yahya Jammeh alitawala kijeshi na kutesa... Kupiga na kuua wengi kwa miaka 24..... Hivi sasa ni mkimbizi....
Na atakamatwa siku yoyote kuanzia sasa , aibu ni kwamba atakabidhiwa kwa wale waliokuwa wanampigia saluti miaka yote hiyo , utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
 
cryingboy2.gif
 
Hamna uchaguzi mwepesi kama 202o....ccm itatulamba vibaya mno yaani kwa staili hii ya kutetea waharifu tulioanzisha na awali tulisifika kwa kupambana na maovu....hahaha tusijesingizia kuibiwa kura..
 
Ninachokiona 2020 wapinzani tusubirie kupata maumivu makali sana. Hawa watanzania nawaheshimu waone hivi tu. Wakifika kwenye kupiga kura huwa wanatafakari mara mbilimbili. Agenda tuliyoanzisha ya kutetea waovu ktk jamii na kuwasajili hakika CCM itabaki madarakani daima.

Tubadilike na 2020 tusitafute mchawi.
 
Alijisemea mswahili na chinga kuwa chama hakita wafia mkononi
3ea6d8b46106ae317bd979461bf45f6f.jpg
Karagosi ya 2015 ndio unaleta leo ,wakati CCM ndie mshindi ,mkiambiwa hamna akili mnaona mnatukanwa ,Chadema ndio kwaheri na si CCM ambacho kilishinda huo uchaguzi,hiyo ndio shida ya copy & paste.
 
Nikiomacho 2020 wapinzani tusubirie kupata maumivu makali sana. Hawa watanzania nawaheshimu waone hivi tu. Wakifika kwenye kupiga kura huwa wanatafakari mara mbilimbili. Agenda tuliyoanzisha ya kutetea waovu ktk jamii na kuwasajili hakika CCM itabaki madarakani daima.

Tubadilike na 2020 tusitafute mchawi.
Wewe una matatizo sana. Kwa nini unawaita wenzio waovu? Wamethibitishwa na chombo kipi kuwa ni waovu? Hapo ulipo haujawahi kutuhumiwa kwa lolote ambalo si la kweli? Kama na wewe ni mpinzani basi upinzani wamekula hasara sana ndugu na sidhani kama wanahitaji mtu kama wewe unaye blackmail watu eti tu kwa kuwa mtu mmoja kawatuhumu.
 
*CHADEMA KUENDELEZA MAIGIZO UWANJA WA TAIFA.*

Ama kweli amlipaye mpiga zumari ndiye huchagua wimbo.
Kwa taarifa zilizopo CHADEMA imepanga kutumia mechi baina ya Simba na Yanga kujinufaisha kisiasa.

Kitengo cha propaganda cha Chadema chini ya kijana aliyepata kuwa kiongozi wa 4U movement *kimeandaa vijana 200 vijana hawa WAMEANDALIWA mahsusi watakuwa wamenyweshwa pombe na malipo ya 100,000 kwa kila mhusika*.


Kila kijana atakuwa na kadi ya ccm na mwanzoni katikakati au mwishoni kwa kadri mazingira yatakavyoruhu *watachanachana kadi za ccm walizopewa kuonesha kumuunga mkono WEMA SEPETU* ambaye nae ameandaliwa kuwepo uwanjani.
Hii ni kutaka kuiaminisha jamii kuamini kuwa WEMA ANA KUNDI KUBWA LA WATU LIMEAMUA KUMFUATA. Huu ni usanii tena ni hatari siasa kupelekwa kwenye michezo.
*NGOJA TUSUBIRI HUU MKAKATI WA WACHANA KADI ZA CCM.*
Kwanza mtu ataendaje mpirani na kadi ya chama mfukoni?

*CHADEMA ENDELEENI KUJITEKENYA NA KUCHEKA WENYEWE.*
 
Back
Top Bottom