Siasa za Tanzania -Bendera na kadi zapangwa kuchomwa U/Taifa

Hii ni kwa mujibu wa msemaji wa TFF alipokuwa anatahadharisha mashabiki kutoingiza mambo ya siasa kwenye soka , maana ni kinyume cha sheria za Fifa .

Haikufafanuliwa ni bendera au kadi za nini .

Chanzo - ITV .
Mkuu ukishaanza kusikia hayo mambo ujue hata mwenye nyumba anajua fika sasa kuwa chama kipi icu,kama huna hofu ya kukataaliwa ngonjera ni kazi gani?wameanza kutapatapa
 
Mnara wa babeli huo chaliiiii!!!
Alijisemea mswahili na chinga kuwa chama hakita wafia mkononi
3ea6d8b46106ae317bd979461bf45f6f.jpg
 
Back
Top Bottom