Siasa za namna hii ndiyo chanzo cha mauaji nchi za maziwa makuu na dunia kote

Yaweza ikawa ni hoja kweli, lakini mimi binafsi nikajiuliza WHY NOW?

Tunazo agenda za maana zaidi ya marejeo ya Lowassa na uchaguzi uliopita. Aliyekutuma sijui kalenga nini, au pengine ndio umejua namna ya kutumia internet.
 
Hahahaaaaaah!!! Umejifunza nini Sasa hapo? Mwisho Wa uchaguzi ndo mwazo Wa uchaguzi ujao!!! Yani asirudiye makosa aliyoyafanya enzi zile vinginevo fimbo zipo za kumchapia
 
Back
Top Bottom