RPC Mutafungwa: Mtu Binafsi hawezi kufuta Kesi ya Jinai kwa Sababu Mshtaki ni Jamhuri yeye anakuwa shahidi tu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
87,838
150,741
Kuhusu Barua inayodaiwa kuandikwa na binti aliyelawitiwa, RPC Mutafungwa amesema barua hiyo haijawafikia na kwamba mtu Binafsi hawezi kufuta kesi ya jinai kwa sababu mshtaki ni Jamhuri

Jumaa Mubarak 😀

=====

Mwandishi: Mtuhumiwa alikuwa amehiari kwa hiari yake kuachana na kesi hii

Jeshi la Polisi: Na sisi Jeshi la Polisi tumeona hako kataarifa kanakotembea huko kwenye mitandao ya kijamii.

Pia soma: MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT
 
Kuhusu Barua inayodaiwa kuandikwa na bint aliyelawitiwa RPC Mutafungwa amesema barua hiyo haijawafikia na Kwamba mtu Binafsi hawezi kufuta Kesi ya jinai kwa Sababu mshtaki ni Jamhuri

Jumaa Mubarak 😀
Yupo sahihi ila kwenye kosa la kimwili kama hilo ushahidi wa mtendewa ni muhimu sana ,kama ameonyesha dalili za kutotaka kuendelea kuna kila dalili ataharibu kesi kwa makusudi technically kwenye cross examination
 
Kama daktari alithibitisha alilawitiwa, na kwa kuwa ulawiti ni jinai, ajiandae kwenda jela asipomtaja huyo aliyemlawiti.

Pona yake, atoe ushirikiano kwa vyombo vya dola na ushahidi wake uwe aliingiliwa bila ridhaa yake maana ulawiti hauna cha kukubaliana.
 
Sasa jinai haipo hivyo, akikuponyoka kwenye kosa ulilomshitakia maana yake mtuhumiwa anaachiwa, maana standard of proof ni beyond reasonable doubt, hatupo pale kujua kama analawitiwa tunatakiwa kuthibitisha kama rc ndio aliyemlawiti shahidi wa kwanza ukishindwa kuthibitisha hilo bila ya shaka yoyote kesi imekufa
 
Yahaya kayakanyaga na pisi nayo imeyakanyaga.
Kama mh. Mla kijambio alikua na maadui bila shala nae alikua na silaha za kujihami endapo kitazuka chochote.

Binti zkashtaki bila kufikiri mara mbili, walio nyuma ya mh. Mla kijambio nao wamemchapa mkwara binti. Binti hajui ashike lipi aache lipi na pesa ashakula tayari.
Afute kesi haifutiki alooo hapo ndo unajutia maamuzi na ninge ninge kibao.
 
Kwanini asingiziwe yeye tu?
 
Issue ni moja ni mbili tu mahakamani je alilawitiwa
Kama ni ndio , muheshimiwa rc ndio aliyemlawiti
Mahakama siyo sehemu ya uchunguzi kusema tutafute waliomlawiti, wakishindwa kuthibitisha bila ya shaka kama rc ndio aliyekula tigo hakuna kesi hapo
 
Yupo sahihi ila kwenye kosa la kimwili kama hilo ushahidi wa mtendewa ni muhimu sana ,kama ameonyesha dalili za kutotaka kuendelea kuna kila dalili ataharibu kesi kwa makusudi technically kwenye cross examination
Akiharibu kesi naye si atakuwa na kesi ya kutoa taarifa za uwongo polisi au pia kosa la kuruhusu kulawitiwa maana kapimwa kakutwa kweli kaingiliwa kinyume cha maumbile, kibao kitamgeukia in either way itakuwa funzo kwa mashahidi wengine wanaonunuliwa na watuhumiwa.
 
Back
Top Bottom