Hilo halitawezekana. CHADEMA wana mpango wa kupata wagombea wao mapema kabisa, wapate muda wa kuwapiga msasa wajue wanaenda bungeni kufanya nini. Hawana mpango wa kusubiri makapi kutoka CCM. By the time CCM wanafanya michujo yao CHADEMA watakuwa tayari wanamgombea huko Kyela. Vilevile huyu jamaa ana beef kubwa na Zitto, sioni atajipenyezea wapi ndani ya chama. Hayo yanaweza kuwa ni matamanio ya watu wa Kyela lakini yeye mwenyewe Makyembe hatakuwa na mtazamo huo.
Naona pesa za mafisadi zimeshaanza kufanya kazi!
wewe ni mtu hatari sana na ni mkabila sana.kuna ubaya gani CHADEMA ikishinda na aliyekuambia CHADEMA ni uchaga ni nani...For the first time hapa JF nadiriki kusema wewe ndo wa kuondoa ujinga wako hapa...sio kila post uchangie kama huna la maana kaa kimya...Peleka ujinga wako huko Machame kwa Wachaga na shemeji zenu. Ya kyela wewe huna haja nayo maana furaha yako ni kuona CHADEMA inashinda, unajidanganya bure!
real patriotic kwa lipi?Jamani wana Jf tusitumiwe na mafisadi Mwakyembe ni Real patriotic.
Mheshimiwa Mwakyembe kaingia Kyela jana jioni na akaenda mpaka Ipinda, akakuta wale vijana wa kumshangilia hawapo tena. Baadhi ya vijana wakaanza kuimba mwogopeni huyo, ana mfupa wa Albino, kautoa Tabora.
Mkuu Sikonge, hatukutaki tena Kyela maana inaelekea huko Tabora kumbe mnaua Albino. Yaani siasa za Kyela ni usanii mkubwa. Watu tukacheka kidogo mbavu zipasuke.
utakuwa ni ujinga na upumbavu kumkimbia mtu kama kibaraka anayemtegemea siku zote kuendesha maisha yake kwa kumtegemea mtu anayejifanya engeneer na kufanya kazi nje ya nchi huku akiwandanganya wana kyela kwamba anao uwezo wa kuwaletea maendeleo,wakati hata kuzungumza hakuna mvuto,sijuwi hata ubunge huo kama watu wa watampatia je bungeni si atakuwa bubu kama alivyokwisha kuwa yule anayemtetea na kumtegemea kwa kampeni zake,ushauri wa bure ni bora akaendelea na kazi yake ya kupaka rangi tu huko wanakokuita majuu sisi wana kyela tutamuunga mkono kwa kazi yake hiyo ya kupaka rangi lakini si ubunge kama ndoto zake anavyozielekeza yeye.
hao akina kinanasi,kilumbu na mwammulinge si watu jobless kama unavyodhani wewe na ndio maana unaona wamefanikiwa kuikamata kyela mpaka kakundi kenu kanatishika nao na wanao uwezo wa kufanya lolote watakalo tofauti na matarajio yako,uwezo wanao,upeo wanao na nia na malengo wanayo ndugu acha upuuzi kama umekosa kazi nenda nawe kapake rangi huko majuu.
.utakuwa ni ujinga na upumbavu kumkimbia mtu kama kibaraka anayemtegemea siku zote kuendesha maisha yake kwa kumtegemea mtu anayejifanya engeneer na kufanya kazi nje ya nchi huku akiwandanganya wana kyela kwamba anao uwezo wa kuwaletea maendeleo,wakati hata kuzungumza hakuna mvuto,sijuwi hata ubunge huo kama watu wa watampatia je bungeni si atakuwa bubu kama alivyokwisha kuwa yule anayemtetea na kumtegemea kwa kampeni zake,ushauri wa bure ni bora akaendelea na kazi yake ya kupaka rangi tu huko wanakokuita majuu sisi wana kyela tutamuunga mkono kwa kazi yake hiyo ya kupaka rangi lakini si ubunge kama ndoto zake anavyozielekeza yeye.
hao akina kinanasi,kilumbu na mwammulinge si watu jobless kama unavyodhani wewe na ndio maana unaona wamefanikiwa kuikamata kyela mpaka kakundi kenu kanatishika nao na wanao uwezo wa kufanya lolote watakalo tofauti na matarajio yako,uwezo wanao,upeo wanao na nia na malengo wanayo ndugu acha upuuzi kama umekosa kazi nenda nawe kapake rangi huko majuu.
Toa ujinga wako hapa,Huo ushauri wako kawape watu wa kijiji chako ambao hawajuhi nini maana ya demokrasi...Hawa wachunga ngombe naona wameanza kujaa hapa
Mkuu Jile,
Fungua macho kijana. Kwa taarifa yako wanaosoma humu JF, nusu yao wako nje ya Tanzania. Katika hiyo nusu iliyobaki 4/5 wako miji mikubwa kama Dar, Arusha, Dodoma, Mwanza na Mbeya. Na hiyo 1/5 ni miji midogomidogo kama Sikonge na Kyela. Sasa uwezekano wa watu wa Kyela kusoma au kusikia haya maneno yako ni mdogo saana.
Lazima nikusifu kwa habari yako nzuri saana na iliyojaa busara za hali ya juu. Nakubaliana na wewe kabisa kuwa MWAKALINGA ANATUMIWA NA MAFISADI. Ila kuna jambo moja sijui kama ulishawahi kulisikia. Wote humu ndani ya JF wanafahamu kuwa "Mamvi alimchoresha mama yako 7". Kwa hiyo Mkuu, Mama yako na Mwakalinga wote mwaajiri wao ni mmoja, huu wivu wa nini? Mama yako apata mgawo wake na Mwakalinga apata mgawo wako. Kama hazitoshi, nenda na wewe ukajiandikishe.
NB: Milele ukumbuke kuwa majina ya miji yanaanza kwa herufi kubwa.
.
Hili Jinga limetokea wapi tena?Nenda darasan,haujachelewa baado.