T2015CCM
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 7,930
- 991
Siasa za vurugu, umwagaji damu na vitisho. Kauli za kichochezi zisizo na ubinadamu wala uvumilivu hivi sasa watanzania wamestuka na hawataki tena kufitinishwa wala kupigana kwa sababu za maslahi ya viongozi wachache wenye uchu wa madaraka.
Nchi haitatawalika, woga ni adui wa haki nk ni kauli tata na za kichochezi za viongozi hawa. Sasa na sisi watanzania tunasema hatutaki tena kusikia kauli hizi, atakayetamka tunakula naye sahani moja. Bandika bandua.