utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
chadema makao makuu wameitisha kikao sasa hivi kumjadili yericko nyerere kwa kupost utumbo kuwa lema amekamatwa, tumaini makene amekasirika sana kuingiliwa kazi yake na yericko, makene amesema yericko asipochukuliwa hatua anajiuzulu. nitawapa update maamuzi ya kikao
ngoma sasa imenoga, na yatafaraka sana haya