Siku zote CHADEMA si waanzilishi wa kile kinachoonekana kuwa ni fujo. wachokozi ni CCM, wakisaidiwa na Polisi. Siasa za CHUKI waanzilishi ni CCM haohao. Mara wawaite CHADEMA magaidi, mara wadini, wakanda, wachagga, nk.Hii yote ni propaganda za kipumbavu.Ni mambo kama haya hupelekea machafuko huko kwa wenzetu. Ila kwa sababu CCM, kama mbwa koko aliyefumaniwa ndani akiiba anavyotafuta mbinu yoyote ile ya kudhuru ili tu apone, ndivyo wanachofanya kwa sasa. Mlianza na CUF mkakiita cha Kiislam, CHADEMA mnakiita cha Kikristo, ili tu muendelee kubaki madarakani.Green guards mmewapa mafunzo kama ya mungiki, mnategemea nini?Kwenye kila harakati za upinzani mnawatumia Green guard na polisi,ili iweje, try to think of a neutral ground, and a fair game, muone kama kutakuwa na fujo!Hata sisimizi akikanyagwa hu-react, sembuse binadamu mwenye akili timamu! CCM siasa zenu ni za MAJI TAKA, hata Rostam lishawaeleza!Halafu M/kiti wenu anawaambia msikubali kuonewa, mnaonewa na nani magaidi wakubwa nyie?kazi kushirikiana na Polisi kuanzisha fujo, na hapo hapo mnataka watu wawaogope, Impossible!!!!!!!!!!!!!!!!!!