Siasa za CHADEMA kama za CCM


umenijibu vema!
 
TAFAKARI CHUKUA HATUA. Ujumbe umefika maana hakuna ata mtu anayepinga kwa ushahidi kama ulivyofanya wewe.

A/c ilifungulia mwaka gani?na rasta alikuwa na nafac gani chadema.Mbowe alioa mwaka gani kwa Mzee Mtei?na chadema ilianzishwa lini?cdm ndio inaanza kujulikana nchi nzima,hivyo ilikuwa ni lazima ipate viongozi ambayo wameshailewa.
 
hata wakiwa wote pilipili usiyoila yakuwasha nini? Buku 2 ya lunch imekutoa leo.

Unashangaza. Yaani suala la chama cha siasa ambacho ni taasisi ya umma kupachikana madarakani kwa upendeleo unaita pilipili usiyoila! Kweli wewe umepauka kichwani.
 
Unashangaza. Yaani suala la chama cha siasa ambacho ni taasisi ya umma kupachikana madarakani kwa upendeleo unaita pilipili usiyoila! Kweli wewe umepauka kichwani.

wewe mchumia tumbo utashauri nini? Kelele zako ni sawa na za mfa maji.Nakushauri maliza kwanza uasi na makundi kwenye chama chako Magamba
 
hata wakiwa wote pilipili usiyoila yakuwasha nini? Buku 2 ya lunch imekutoa leo.

Sasa wewe kila siku kelele tu kama una pesa kajenge Makao Makuu ya CDM pale Manyanya.

Makao Makuu utadhani ofisi ya Saccos ya Tandale.

Mimi kwa siku tu natumia all most $60 kwa ajili ya Internet tu, Laptop, Desktop, BlackBerry Touch.

Nakushauri fanya kazi acha kukaa kwenye vijiwe vya mbege na komoni
 
migwanda bwana sasa nape anahisika nn hapo au kawashika sana.. mbona hamkanushi kama ni uongo huo ulioandikwa...

Huyu jamaa kila post yake lazima amtaje nape, sijui kwa nini lakini uwezi kujua asifie mvua imemnyea...Ha! Ha! Ha! Ha!
 
2025 January Makamba na Zitto kabwe wananchukua nchi kupitia CCM au mseto wa magamba na magwanda. Its funny how democracy fools walalahoi na wafanyakazi wa kawaida wakati its an elite game. cha kufanya msibishane sana ingieni CDM gombeeni nafasi za uongozi hamjachelewa sana, CCM kumejaa 2025 itawakuta bado hata udiwani hamjapata.
kumbuka nchi maskini uongozi ni nafasi ya kujiweka sawa kifamilia zaidi na kidogo kusaidia wananchi wasife njaa kwa sababu ukiwasaidia sana watataka kushirika na wenyewe kuongoza na democracy is elitist yaani kitu cha wachache
 

naona una hasira leo lunch kakunyima nini? Ukiwa na post chache unashindia chips dume
 
Huyu jamaa kila post yake lazima amtaje nape, sijui kwa nini lakini uwezi kujua asifie mvua imemnyea...Ha! Ha! Ha! Ha!

kama wewe unavyokurupuka ukiona neno Chadema
 

Kweli wewe hamnazo sasa hivyo navyo ni vitu vya kutangaza kwa watu,mbona ni vya kawaida sana kila mtu anavyo,anyway inawezekana wewe ni mshamba sana.
 
CHADEMA na wafuasi wake wanapeana vyeo hii inaitwa nepotism itakuaje hawa akina mama mzazi Zitto, mke wa Slaa, binti ya ndesamburo, dada wa lissu, hawa akina Komu etc wana vigezo gani kushinda au kuchanguliwa hivyo viti na CHADEMA kama itakuja kushika dola inabidi ituonyeshe kwanza yenyewe haichagui watu katika vikao informal vya watu wachache kama wafanyavyo CCM. lazima kuwe na demokrasia kutoka ndani ya chama. Kuna wagombea nawajua walikua na sifa za kutosha kupata hivyo viti na hawakupata viti hivyo maalum.
 
CHADEMA na wafuasi wake wanapeana vyeo hii inaitwa nepotism itakuaje hawa akina mama mzazi Zitto, mke wa Slaa, binti ya ndesamburo, dada wa lissu, hawa akina Komu etc wana vigezo gani kushinda au kuchanguliwa hivyo viti na CHADEMA kama itakuja kushika dola inabidi ituonyeshe kwanza yenyewe haichagui watu katika vikao informal vya watu wachache kama wafanyavyo CCM. lazima kuwe na demokrasia kutoka ndani ya chama. Kuna wagombea nawajua  walikua na sifa za kutosha kupata hivyo viti na hawakupata viti hivyo maalum. 
 

Umemaliza mkuu? ukimaliza nijulishe ndio nichangie..............
 

Wakuu huyu jamaa wa wapi? ha ha ha ha ha!!! Punguani sana wewe,yaani kweli unaleta uharo kama huu hapa JF? Na mods hivi mawazo majitaka kama haya tunafanyaje? Yaani wewe unafaa sana facebook,nenda kaweke picha yako pale na andika huu uharo pale,utapata marafiki mapunguani wenzako....
 
Mh..huyu kweli ni MPIGWANAJI..pointless kwa kwenda mbele.
So bwana mabunduki ana wife mwingine apart from jose?I DIDNT KNOW
 

Umemaliza mkuu? ukimaliza nijulishe ndio nichangie..............
Ukisubiri wamalize hoja itapotoshwa ,ni bora uchangie ingali moto. CHUMA KIKOLI MOTO. Nimewahi kuchangia kuhusu CDM kujipanga kufungua matawi mengi vijijini lakini nikatahadharisha kuwa vijana baadhi wa CDM hawana uwezo wa kujenga hoja kisayansi kuvutia hadhira hasa ya wenye umri wa miaka 50 hasa akina mama ambao ni mtaji mkubwa. Nimesoma michango hapa ni matusi, hoja hazishikiki, mtawapataje wanachama makini wanaotaka kushawishiwa taratibu? Watu wazima hawapokei mageuzi mara moja wanatafakari kwanza. Refer; CONSUMER BEHAVIOUR, hoja dhidi ya CDM hata zikiwa zinauma kiasi gani na ukweli ndani yake tusijibu kwa jazba as if CDM ni malaika,tunakosea.NGUVU YA NGUVU HAILETI TIJA EXCEPT HOJA YA NGUVU MAKES ALOT
 
.... lakini nikatahadharisha kuwa vijana baadhi wa CDM hawana uwezo wa kujenga hoja kisayansi kuvutia hadhira hasa ya wenye umri wa miaka 50 hasa akina mama ambao ni mtaji mkubwa
Hao vijana ndiyo balaa kwa kuporomosha "mistari" bila vina wakiulizwa kulikoni wanajitetea eti ni wapiganaji. Kwa taarifa yao wanamtandao waliomweka Kikwete madarakani mwaka 2005 ndiyo walikuwa wanajiita wapiganaji labda hili la "makamanda" ndiyo jipya.

Hasa akina mama ambao ni mtaji mkubwa. Nimesoma michango hapa ni matusi, hoja hazishikiki,mtawapataje wanachama makini wanaotaka kushawishiwa taratibu?
Ni kweli kwa sababu watu wenye umri mkubwa wanajua mengi wanakumbuka tangu enzi za AMNUT mpaka Mtikila alipotuletea misamiati ya "walalahoi" na "magabachori" huku akituchombeza na kauli mbiu "Saa ya ukombozi ni sasa. tumeona mengi.

Watu wazima hawapokei mageuzi mara moja wanatafakari kwanza. hoja dhidi ya CDM hata zikiwa zinauma kiasi gani na ukweli ndani yake tusijibu kwa jazba as if CDM ni malaika,tunakosea.

Hapo kwenye kuvumilia CDM kukosolewa ndipo udhaifu wa CDM ulipo. Zamani huko amerika ilikuwa ukitaka kumaliza mpinzani wako kisiasa unamwita Mkomunisti, basi Kwisha kazi. Hata kama jamaa alikuwa na hoja kiasi gani akishaitwa Mkomunisti inakuwa ndiyo mwisho wake kisiasa. Sasa hapa bongo tunaona watu wakiikosoa CDM basi inakuwa kama vile umeingiza mkono kwenye mzinga wa nyuki. Magamba huyo, fisadi, umetumwa, una njaa maneno mengine meengi yasiyo na maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…