GE2025 Siasa za CCM Mafia zinazidi kuwaka moto

GE2025 Siasa za CCM Mafia zinazidi kuwaka moto

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,450
Reaction score
5,279
HUKU vikao vya Chama ngazi ya Mkoa vikiendelea kwa ajili ya kufanya maamuzi ya mwisho kwa Wagombea Udiwani na Ubunge, siasa za Kisiwa cha Mafia zinatajwa kuwa moto.

Pamoja na ushindi wa Omar Kipanga katika kura za maoni bado kunaonekana kunafukuta chini kwa chini huku maamuzi ya mkoa yakiwa yanasubiriwa kwa hamu.

Upinzani mkubwa kwa waliomfuata Kipanga kina Mbaraka Dau na Omar Kimbau bado unaonekana kutawala visiwani humo na vikao vya usiku usiku vikiendelea huku na kule

 
Back
Top Bottom