Siasa za bongo hizi

Pointless! Pointless! -ikifanywa na chama chochote -
 
Mi sina kadi na sijawahi kuwa na kadi na wala sitakuja kumiliki kadi, lakini kwanye sanduku la kura ni chadema tu kwa wote, mwaka huu ka chadema hawatakuwepo, nitachagua UKAWA.

Mara yangu ya mwisho kuchagua ccm ni kwa mkapa tu na muhula wa kwanza wa kikwete.
 
Sasa huyo wa ACT hahahaha....
 
hapo ni zaidi ya kadi hadi vipeperushi siku hizi
 
Du..... Yani kuna watu wamejiunga na hiki chama kipya hiki cha zambarau yani juzijuzi tu kimeanzishwa na sasa wameshakichoka wamekimbia.. Hatari
 

Upo sare sare na mimi kaka jambazi
 
Naona za ACT ya akina Mwigamba zimekuwa nyingi kuizidi hadi CDM, ila haina shida kwa sababu zinarudi kwa mume wao CCM.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…