Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Wanasiasa na Wabunge wote mnatombea jamvi hili wa upinzani na wa chama cha magamba.
Nawasilisha.......
- Katika suti na mavazi mnayozovaa mjengoni ni ngapi mmeshonesha kwa mafundi wetu au madesigner wetu wa Tanzania.?
- Mnatumiaje madaraka yenu na nafasai zenu na vyeo vyenu kukuza na kuchochea ajira jimboni, wilayani mkoani Au tanzania yetu
- Je wanasiasa mnajua mnaweza kuajiri watu na indirectey kwa kununua bidhaa amabazo zimetengenzwa na chanzo chake na watengenzaji wake ni Tanzania?
- Mnaweza kutupa mfano mnatakekezaje kwa vitendo kupenda na na kunuanua bidhaa zetu za tanzania? I dont mean kununua a suti ya china au italy kwenye duka la muhindi dar.... No
Nawasilisha.......