Kichwa yako hovyo Sana, eleza mwanasiasa wa Tanzania aliyetajirika kwa kupitia siasa, tueleze anamiliki utajiri kiasi gani na amewekeza katika nini?, Weka ushahidi.Tofauti ya wanasiasa wa Kenya na Tanzania, wanasiasa wengi wa Tanzania wanapata hela na kuwa matajiri wakiwa tayari kwenye siasa na kupitia hiyo siasa kwa maana ya madili, wanasiasa wa Kenya wengi wao wanaingia kwenye siasa tayari wakiwa matajiri na wanainvestment nyingi....na huo mfumo ndio unafanya siasa za Tanzania kuwa za hovyo..
Nimeupuuza uzi na kuacha kuendelea kusoma zaidi pale tu uliposema eti Lowasa alikuwa maarufu zaidi ya Kikwete,hii sio kweli ukweli ni kwamba kati 1995 hadi 2005 wakati Kikwete anachaguliwa kuwa Rais alikuwa maarufu zaidi ya Lowasa labda ungesema umaarufu wa Kikwete ulipungua baada kuingia kwenye utawala.
Sio maslahi ya nchi ni maslahi ya watu wawili tu.ndio maana nikakwambia kwa maslahi ya nchi, ita better Luo wakapozwa kwa Odinga kupewa..
Jamaa ni Taicun yuleEh ruto yuko vizuri kumbe
Ova
Labda apewe tu....lakini wananchi wakikomaa...Asee Ruto anao watu acha kabisa....kuna uwezekano raila kusalitiwa....Kenyatta hana ushawishi kabisa dada....oka yenyewe mpaka sasa hawamweshimuRuto haamini anachokiona. Ila kaamua kusonga mbele bila kuungwa mkono na Kenyata. Ila Kenyata ndo ataamua nani awe Rais.
Kuna uwezekano raila na ruto wote wakawa mapresident siku zijazoRuto haamini anachokiona. Ila kaamua kusonga mbele bila kuungwa mkono na Kenyata. Ila Kenyata ndo ataamua nani awe Rais.
Atakosa kura za wa kikuyu.Kama uhuru atajaribu kupora ushindi wa Ruto na kumpa Raila 2022 yatatotokea ya 2007,Ruto sio mwanasiasa mjinga kama hawa wetu,ni mtu Mwenye nguvu ya ushawishi kuliko yeyote kenya kwa sasa.
Hajawahi shindwa,yeye ndio aliyefanya Raila kuwa PM na Kenyatta kuwa president kwa miaka 10 ,kinamzuia nini yeye kuwa president?
Yaani kikuyus wampigie kura mluo? SeriousAtakosa kura za wa kikuyu.
Wewe ni mtanzania au mkenya?, jaribu kuwa makini katika kuzungumza siasa za Kenya, sio vizuri kuegemea upande mmoja kwenye siasa za nchi Jirani.Kama uhuru atajaribu kupora ushindi wa Ruto na kumpa Raila 2022 yatatotokea ya 2007,Ruto sio mwanasiasa mjinga kama hawa wetu,ni mtu Mwenye nguvu ya ushawishi kuliko yeyote kenya kwa sasa.
Hajawahi shindwa,yeye ndio aliyefanya Raila kuwa PM na Kenyatta kuwa president kwa miaka 10 ,kinamzuia nini yeye kuwa president?
Kuzungumza vizuri vipi tena....analysis zinaonesha kama mwamba alivyoeleza....ingia YouTube uone utaelewaWewe ni mtanzania au mkenya?, jaribu kuwa makini katika kuzungumza siasa za Kenya, sio vizuri kuegemea upande mmoja kwenye siasa za nchi Jirani.
Mbona walimpigia Raila kipindi yupo pamoja na Uhuru Kenyata vs Mwai Kibaki ?Sema Kibaki akaiba Urais. Uhuru Kenyata akimuunga mkono Raila Odinga kazi kwisha. Wakikiyu wanafuata maneno ya Uhuru Kenyata.Yaani kikuyus wampigie kura mluo? Serious
Au 2022 kutakuwa na candidate mwingine Mwenye nguvu tofauti na WSR vs RAO?
Hata Lowassa kwny kampeni 2015 alikua anasema huyu rafiki yangu(JK) uchumi ameuvuruga hajavuruga? Alikua anamtweza rafiki ndio maana pengine urais aliusikia kupitia ITV.Ruto kajisahau sana kiasi hana heshima kwa rais wake na kuanza kumtweeza mbele za watu.
Nakuhakikishia Ruto urais mwaka 2022 atausikia kupitia radio citizen tu .
Aisee mbona chopa Ni Bei ya kawaida tu kwa madogo?Hicho sio kitu Cha kujitambia mbele ya madon.Ruto hadi jana ana miliki chopa 5 mali yake halali.
Na sioni kwa sasa kama bado anao mvuto baada ya kuanza kumshambulia rais Uhuru.
😄😄😄 JK hakuwahi kumpenda ticha hata siku 1 hata kumuita Baba wa Taifa aligoma kabisa kabisa,anaishia tu kumuita Mwl 😄😄😄.msamehe tu, wengi siasa wamezianza jana..
sidhani kama anajua 1995 pale chimwaga bila ya JKN kupindua meza JK alibeba ndoo na BWM tungemsikia tu kwenye bomba.... Hekima za JKN na usikivu wa JK vilileta utulivu..
Wengi hawajui kama JK alilelewa kwenye chama na ni mmoja wa vijana ambao JKN alikuwa akiwakuza na kuwaamini pia akiwemo Seif Sharif Hamad...Kiukweli umaarufu na ushawishi wa JK ulikuwa mkubwa sana 1995 and up, ndani ya chama na mtaani pia..nafikiri ni nyota tu na aina ya maisha ya JK aka mzee wa saigon.
Hapa Tanzania twambie ni kiingozi gani anamiliki angalau chopa 3Aisee mbona chopa Ni Bei ya kawaida tu kwa madogo?Hicho sio kitu Cha kujitambia mbele ya madon.
Kwahiyo unakubali kuwa Ruto ataangukia pua this time?Hata Lowassa kwny kampeni 2015 alikua anasema huyu rafiki yangu(JK) uchumi ameuvuruga hajavuruga? Alikua anamtweza rafiki ndio maana pengine urais aliusikia kupitia ITV.