Siasa ni Hatariii! CCM jiandaeni kupokea wengi!

Siasa ni Hatariii! CCM jiandaeni kupokea wengi!

Mkuu njia rahisi ya kufanya mapinduzi kwa sasa ni kuingia ndani ya ccm na kupambana huko huko maana vinginevyo majina yatabadilika
Wazo mubashara,mkuu umeona mbali teh.teh.
 
matamshi ya baba wa Taifa aliposema adui mkubwa wa ccm hatatoka nje atatoka ndani!
Utabiri wake ulikuwa sahihi,ila alisahau kwamba watakuwa ni akina Mgeja na Msindai hawa wala hawana uadui wowote,sitakuja kushangaa kama Sumaye naye atakaporudi kundini.
 
Pure Rubbish!
Huu mchezo mliingia mkenge hapo awali na mkanyooshwa haswa. Eti leo hii mnajifanya ni "MKAKATI"..imekuwa sio kununuliwa tena!? Bladibastaadi!
Wewe Unafiki huko CCM ni kama CHAGADEMA!?
Waulize hao wanaotoka huko Chadomo wamepewa access kiasi gani na mambo ya CCM!
Acheni propaganda za wauza kahawa.
Shame on you Mofo!
Mark my comments mdau!
Punguza povu!
Utanibiashiaje me??
Unajua nipo wapi?????
Subiri matukio yatokee ndo unikumbuke/ujue kama n rubbish or siyo

Jumatatu njema
 
Kama sijakosea nimefika mahali nimegundundua siasa ni hatari kuliko gesi! Mambo mengi yanafanyika tunafikiri ni maamuz ya watu binafsi kumbe ni mkakati leo nimenasa ubuyu! Ccm jiandaeni kupokea ugeni mkubwa sana kutoka sehemu mbalimbali za nchi kwa jina la kukiunga mkono chama na rais na kukihama chadema! Nyoka kageuka samaki kinachoandaliwa humo ndani baadae ni cha ajabu mnoo! Its very sensitive! Endeleeni kupokea wageni but hatari inakuja!
Tutaendelea kuwapokea,ccm ni taasisi,vitengo vypte vipo,ccm si sawa na saccos ya ufipa,
Kila siku viongozi wako wanalia ya kwamba ccm inanunua wanachama na kudai wanaushahidi tosha,ingekua ni mpango wa siri wasingelalamika ya kwamba wananunuliwa,wewe ni kinda ,huwezi mzidi Mbowe akili.

Kifupi hutishi na huta ogofya ccm,na waje kwa wingi tu,nawe karibu
 
Back
Top Bottom