- Thread starter
- #21
Mkuu huu Uzi utauona kipindi cha kampeni 2020 kunawatu fake wengi sana ccm waliotoka upinzani wakishirikiana na ccm fulani HV! Ushauri wangu wenye mioyo myepesi wasiingie kugombea 2020 watakuwa kwenye risk mno hayo ulioyasema ni baadhi ya niliyoyaona!Kuna jamaa mmoja kindakindaki wa CDM alihamia CCM. nilimuuliza ni kweli umeipenda ccm akasema la bali alivuta mshiko na biashara zake zikamyoonea ila mchana ni ccm jioni ni cdm.huenda wanaohama wengine ni majasusi wa cdm. Ccm wanaweza kuwa wanajiloga wenyewe