Bwege2030
Member
- May 10, 2025
- 82
- 152
SIRI YA MAFANIKIO YA KIFEDHA.
🎯Uhusiano kati ya Kipato na Uwekezaji
"Income starts wealth. Investing completes it."
Kipato kama mshahara au faida ya biashara ni mbegu tu,huwezi kuwa na shamba bila mbegu.
Lakini ukiila mbegu yote, hutakuwa na mavuno ya baadaye.
Uwekezaji ndio unaofanya ile mbegu ikue na kuwa mti utakaokupa kivuli na matunda maisha yako yote.
🎯Thamani ya Shilingi Moja
"If you want big money, learn to value small money."
Watu wengi hupuuza kiasi kidogo cha fedha,wakisubiri mamilioni ili waanze kuwekeza.
Ukweli ni kwamba mamilioni yanajengwa na elfu iliyotunzwa vizuri.
Nidhamu ya fedha ndogo ndiyo inayokupa sifa na uwezo wa kusimamia fedha nyingi wangapi walipata fedha nyingi kwa mkupuo!!!
Misingi ya Uhuru wa Kifedha
Ili kufikia lengo la kuwa na maisha yenye maana na uhuru wa kifedha,
ZINGATIA AYA.
🚨Fanya Kazi kwa Bidii.
Ongeza thamani yako ili uongeze kipato chako cha kuanzia.
🚨Wekeza kwa Akili.
Usiwekeze tu kwa sababu kila mtu anawekeza ,bali elewa unachokifanya kama vile hisa, hatifungani, au ardhi.
🚨Jenga maisha Unayoyafurahia.
Usiwe mtumwa wa kutafuta pesa kiasi cha kusahau kufurahia maisha na familia pamoja na jamii.