Siasa na matajiri mkoa wa Mwanza

Siasa na matajiri mkoa wa Mwanza

MwanaCCM

Senior Member
Joined
Feb 5, 2007
Posts
110
Reaction score
23
Ukiangalia vigogo wengi wenye pesa mkoa wa MWANZA ndio wanashikiri nyazifa kubwa katika CCM mkoa wa MWANZA. HIVI NI LAZIMA KILA MWENYE PESA NDEFU MWANZA AINGIE KWENYE SIASA? KUNA UHUSIANO GANI SIASA NA UTAJIRI MWANZA.

GACHUMA
KITWANGA MAWE MATATU
DIALLO
LAMECK KAIRO
KISHIMBA
MASHA
 
Ndo wanakopatia uchochoro wa kuendeleza utajiri kirahisi!! Chukulia kuna tender sehemu ukaomba naye lazima upigwe chini!!
 
Ukiangalia vigogo wengi wenye pesa mkoa wa MWANZA ndio wanashikiri nyazifa kubwa katika CCM mkoa wa MWANZA. HIVI NI LAZIMA KILA MWENYE PESA NDEFU MWANZA AINGIE KWENYE SIASA? KUNA UHUSIANO GANI SIASA NA UTAJIRI MWANZA.

GACHUMA
KITWANGA MAWE MATATU
DIALLO
LAMECK KAIRO
KISHIMBA
MASHA

Kukwepa kulipa ushuru/kodi, kwa kifupi kwa hao matajiri/wafanyabiashara wakubwa kuwa ccm ni kama kauchochoro ka kukwepa kodi.
 
Ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm chukua chako mapema
 
Hao ndio matajiri wa mwanza? You must be kidding.
Wapi kitana?
Wapi mzee maduhu aka mzee shinyanga?
 
Umekuja leo bongo? Tulikwisha ambiwa na wenye chama kuwa,Ukitaka mambo yako yakuendee vizuri jiungee na CHAMA.Sasa unashangaa na kuhoji nini?
 
Ukiangalia vigogo wengi wenye pesa mkoa wa MWANZA ndio wanashikiri nyazifa kubwa katika CCM mkoa wa MWANZA. HIVI NI LAZIMA KILA MWENYE PESA NDEFU MWANZA AINGIE KWENYE SIASA? KUNA UHUSIANO GANI SIASA NA UTAJIRI MWANZA.

GACHUMA
KITWANGA MAWE MATATU
DIALLO
LAMECK KAIRO
KISHIMBA
MASHA

na kwanini matajiri wengi wa kichaga Mwanza ni wanachadema
 
Ukiangalia vigogo wengi wenye pesa mkoa wa MWANZA ndio wanashikiri nyazifa kubwa katika CCM mkoa wa MWANZA. HIVI NI LAZIMA KILA MWENYE PESA NDEFU MWANZA AINGIE KWENYE SIASA? KUNA UHUSIANO GANI SIASA NA UTAJIRI MWANZA.

GACHUMA
KITWANGA MAWE MATATU
DIALLO
LAMECK KAIRO
KISHIMBA
MASHA

Hakuna ubaya hata Moshi na Arusha matajiri wao wapo Chadema, kina Ndesamburo, babu wa Samunge, na wengine.
 
Kipindi cha nyuma,aliyekuwa waziri mkuu,SUMAYE alisema ukitaka kufanikiwa,jiunge CCM.
 
Unashangaa maduhu?

Bado na mie tajiri wa ng'ombe

Ujue kule utajiri ulipimwa kwa wingi wa ng'ombe hata kama unalala kwenye tembe

Maduhu ni tajiri wa viwango gani? Mie nafahamu nyumba zake pale Lumumba na uhuru zimeunganishwa, kuna hotel moja pale jirani nimeishawahi kulala.
 
Utajiri wa kila mkoa unapimwa kimkoa
Umesahau mabilionea wa Arusha?
Huku kuna matajiri wanaolalia vitanda vya kamba pia, so usishangae.

Maduhu ni tajiri wa viwango gani? Mie nafahamu nyumba zake pale Lumumba na uhuru zimeunganishwa, kuna hotel moja pale jirani nimeishawahi kulala.
 
Hiyo ndo trick wanayotumia matajiri wengi ili kukwepa kulipa kodi kwani ukijifanya kuwa nao TRA hawakufuatilii, ili unapojifanya kuwapinga basi TRA watapishana kila siku ktk biashara yako
 
Utajiri wa kila mkoa unapimwa kimkoa
Umesahau mabilionea wa Arusha?
Huku kuna matajiri wanaolalia vitanda vya kamba pia, so usishangae.

ha haa haa, unanikumbusha kuna siku nilikuwa Arusha maeneo ya stendi ya vifodi nakunywa supu, kuna chalii moja nikamnunulia supu ya ulimi wa mbuzi, nikasikia anamwambi mwenzake nipo na bilionea wangu takuchek baadae.
 
Maduhu naye ni tajiri?

do not underestimate that mzee kwa sababu hana renowed investments. none of his old investment has ever failed, sum how much he has accumulated out of them. likely anamiliki the biggest share of the land katika eneo lote linaloitwa mjini hapo mwanza.
 
Maduhu ni tajiri wa viwango gani? Mie nafahamu nyumba zake pale Lumumba na uhuru zimeunganishwa, kuna hotel moja pale jirani nimeishawahi kulala.
Ritz,ukija tena ni pm nikupeleke mahali ukapate samaki choma, itakuwa bahati sana kwangu kukutana na mtu mwenye kipaji cha hali ya juu cha ubishi duniani. He he he!
 
Ha ha ha ha, kumbe na weye ni bilionea?

ha haa haa, unanikumbusha kuna siku nilikuwa Arusha maeneo ya stendi ya vifodi nakunywa supu, kuna chalii moja nikamnunulia supu ya ulimi wa mbuzi, nikasikia anamwambi mwenzake nipo na bilionea wangu takuchek baadae.
 
Hivi
GACHUMA
KITWANGA MAWE MATATU
DIALLO
LAMECK KAIRO
KISHIMBA
MASHA ndio matajiri pekee wa Mwanza?
Au ulilenga weusi? wapi Mwanza Huduma (Zulfikar Nanji), Gupta, Vic Fish hao ni moto wa kuotea mbali kwa taarifa.
 
Back
Top Bottom