Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 8,247
- 12,766
Gachuma alitoa ukumbi bure (Mwanza Hotel) kwa wauguzi wafanyie sherehe ya siku ya wauguzi duniani, nikiwa mjumbe wa kamati ya sherehe nilipendekeza mgeni wa heshima awe mbunge wa Nyamagana (CDM), nichoambukia ni kupigwa ban ya kwenye kamati! CCM oyeeee!