Siasa Inatuua, Hakuna Damu Salama Mt. Meru Hospital Arusha

Kirchhoff

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,618
8,287
Update
Yule Mzazi alipona na kurejea katika hali yake ya kawaida baada ya miezi mitatu ya kuongezewa damu kila wiki. Namshukuru Mungu kwa hilo.
Namlaani yule askari aliyekataza watu kuchangia Damu Dodoma. Hajui shida iliyopo mahospitalini. Mungu ana njia nyingi. Aliwagusa watu kuchangia damu baada ya Mh. Lisu kupigwa risasi 13, ole wako wewe uliyezuia. Ingelifaa mama yako asingelipokea mbegu za baba yako.

NILIANZA HAPA January
Mimi nimekuwa mchangiaji damu kwa muda. Katika huduma hii ya kuchangia damu uliambiwa kuwa endapo umepata tatizo au nduguyo amepata tatizo linalohitaji damu, basi utapewa damu Bure na Kwa haraka. Bila kuhitaji watu wengine wa kujitolea.

Sasa imetokea nina mzazi hapa hospitali ya Rufaa ya Mount Meru Arusha, ni mjamzito wa upasuaji na anahitaji damu.

Wanasema nitafute wachangiaji. Sasa nikauliza mbona mie nimechangia ila kwa huyu mhitaji Kundi la Damu haliendani? Si yafaa nipewe damu iliyopo?

Jibu likaja hivi, nanukuu:
"Unajua utaratibu ilitakiwa iwe hivyo ila kwa sasa suala la damu limekuwa la KISIASA. Siku hizi misaada hakuna. Hivyo wale waliokuwa wanafadhili ihamasishaji utoaji damu na upimaji wameacha huduma hiyo. Hivyo suala la damu si la kikanda tena bali la kiwilaya na hakuna fedha kwa ajili hiyo. Hivyo ni vema utafute watu wa kuchangia damu."

Nimeondoka nimenywea. Kama kuna Kundi O Chanya na upo Arusha naomba ujitokeze hapa Mt Meru umchangie mgonjwa wangu damu.

NB: Shain mpe nchi mshindi fedha za MCC zije.
 
Achana na siasa tafuta damu wewe,atakufa huyo mama wewe upo nyuma ya keyboard
 
"Kaimu mbunge wa Arusha",Mrisho Gambo okoa jahazi
Maisha ni zaidi ya kumfunga Lema
 
Mimi nimekuwa mchangiaji damu kwa muda. Katika huduma hii ya kuchangia damu uliambiwa kuwa endapo umepata tatizo au nduguyo amepata tatizo linalohitaji damu, basi utapewa damu Bure na Kwa haraka. Bila kuhitaji watu wengine wa kujitolea.

Sasa imetokea nina mzazi hapa hospitali ya Rufaa ya Mount Meru Arusha, ni mjamzito wa upasuaji na anahitaji damu.

Wanasema nitafute wachangiaji. Sasa nikauliza mbona mie nimechangia ila kwa huyu mhitaji Kundi la Damu haliendani? Si yafaa nipewe damu iliyopo?

Jibu likaja hivi, nanukuu:
"Unajua utaratibu ilitakiwa iwe hivyo ila kwa sasa suala la damu limekuwa la KISIASA. Siku hizi misaada hakuna. Hivyo wale waliokuwa wanafadhili ihamasishaji utoaji damu na upimaji wameacha huduma hiyo. Hivyo suala la damu si la kikanda tena bali la kiwilaya na hakuna fedha kwa ajili hiyo. Hivyo ni vema utafute watu wa kuchangia damu."

Nimeondoka nimenywea. Kama kuna Kundi O Chanya na upo Arusha naomba ujitokeze hapa Mt Meru umchangie mgonjwa wangu damu.

NB: Shain mpe nchi mshindi fedha za MCC zije.
Shein mpotezee tu Mkuu .mradi ulifilisika kitambo na hatukujipanga kutake over.,siyo eti huo mradi ungedumu milele hata tukiruhusu ndoa za mashoga!Habari ndio hiyo.
 
Mimi nimekuwa mchangiaji damu kwa muda. Katika huduma hii ya kuchangia damu uliambiwa kuwa endapo umepata tatizo au nduguyo amepata tatizo linalohitaji damu, basi utapewa damu Bure na Kwa haraka. Bila kuhitaji watu wengine wa kujitolea.

Sasa imetokea nina mzazi hapa hospitali ya Rufaa ya Mount Meru Arusha, ni mjamzito wa upasuaji na anahitaji damu.

Wanasema nitafute wachangiaji. Sasa nikauliza mbona mie nimechangia ila kwa huyu mhitaji Kundi la Damu haliendani? Si yafaa nipewe damu iliyopo?

Jibu likaja hivi, nanukuu:
"Unajua utaratibu ilitakiwa iwe hivyo ila kwa sasa suala la damu limekuwa la KISIASA. Siku hizi misaada hakuna. Hivyo wale waliokuwa wanafadhili ihamasishaji utoaji damu na upimaji wameacha huduma hiyo. Hivyo suala la damu si la kikanda tena bali la kiwilaya na hakuna fedha kwa ajili hiyo. Hivyo ni vema utafute watu wa kuchangia damu."

Nimeondoka nimenywea. Kama kuna Kundi O Chanya na upo Arusha naomba ujitokeze hapa Mt Meru umchangie mgonjwa wangu damu.

NB: Shain mpe nchi mshindi fedha za MCC zije.
Hapo kwenye MCC ulimaanisha M4C au!?
 
Back
Top Bottom