siasa imefika patamu ;hapa wapi?

siasa imefika patamu ;hapa wapi?

Super H

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
1,070
Reaction score
405
we unadhani hapa wapi
hizi bendera wanawahi mapema asubuhi kuziweka na.jioni kila mtu anatoa ya kwake
ila asubuhi ni shughuli kupata nafasi
 

Attachments

  • 1444399371797.jpg
    1444399371797.jpg
    89.7 KB · Views: 1,698
  • 1444399453071.jpg
    1444399453071.jpg
    93.5 KB · Views: 1,591
Utamu wa mwanza bendera za ccm zinawekwa kwa pesa wakati za ukawa zinawekwa kwa mapenzi na washibiki wao

Boda boda hata juzi zimenunuliwa na kinana wakati za chadema wanaenda kwa gharama zao
 
Back
Top Bottom