Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,415
Habari ndo hiyo mwana wane!Usinambie unaataka kuihusisha hiki kikaragosi na maamuzi ya kikokotoo ya leo
Sent using Jamii Forums mobile app
KWA KWELI HUHITAJI KUTUMIA AKILI KUJUA HILI JAMBO LA LEO LINA-LINK NA HIKI KIKARAGOSIUsinambie unaataka kuihusisha hiki kikaragosi na maamuzi ya kikokotoo ya leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Haswaaa "wafanyakazi musijipendekeze kwa wanasiasa".Usinambie unaataka kuihusisha hiki kikaragosi na maamuzi ya kikokotoo ya leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo umetushtua kumbe hivi vitu vina uhusiano? Sasa tuambie kuna uhusiano gani toka leo hadi 2023?Usinambie unaataka kuihusisha hiki kikaragosi na maamuzi ya kikokotoo ya leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria ikishatungwa na kupitishwa na bunge haiwi sheria kamili hadi Rais asini. Sheria iskishasainiwa ni jukumu la wizara kutunga kanuni za utekelezaji, kama umeufatilia mkutano wa leo hata wale viongozi wawakilishi walishindanda kwenye kanuni za kikokotoo na sio sheria yote. Hamna aliyeilalamikia sheria bali kanuni za utekelezaji. Mkulu hahusiki kwenye hilo. Ana mengi ambayo hayafurahishi, ila kwa machache anajitahidi. Mie pia nilikuwa/ ni mhanga wa fao la kujitoa, nilishaliza mchakato wa kupokea33.3% jan19.Jiwe ndiye aliyeweka Saini muswada uwe sheria, halafu leo anajifanya eti anawaonea huruma wafanyakazi!
Hakuna cha huruma, ni baada ya kustuka kuwa Mmegusa pasipotakiwa kugusa kwa hiyo mmejirudi!
Wasaidizi wake wakifanya mazuri sifa zinaenda kwa magufuli, wasaidizi wakiharibu mnasema magufuli hausiki.Sheria ikishatungwa na kupitishwa na bunge haiwi sheria kamili hadi Rais asini. Sheria iskishasainiwa ni jukumu la wizara kutunga kanuni za utekelezaji, kama umeufatilia mkutano wa leo hata wale viongozi wawakilishi walishindanda kwenye kanuni za kikokotoo na sio sheria yote. Hamna aliyeilalamikia sheria bali kanuni za utekelezaji. Mkulu hahusiki kwenye hilo. Ana mengi ambayo hayafurahishi, ila kwa machache anajitahidi. Mie pia nilikuwa/ ni mhanga wa fao la kujitoa, nilishaliza mchakato wa kupokea33.3% jan19.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kanuni zinatungwa kukazia sheria. Kama kanuni mbaya ujue na sheria pia ni mbaya maana imetoa mamlaka kwa waziri kutunga kanuni za hovyo. Sheria nzuri ilipaswa kuweka caps (lower ama upper). Sasa kwa sheria ilivyo mbovu waziri angeweza hata kuamua kuwa wastaafu wapewe 1% (achilia mbali 25% inayolalamikiwa) katika mkupuo wa kwanza! Huwezi kumtoa Rais katika suala hili. Na kwa ukubwa wa suala lenyewe na mivutano iliyokuwepo ni wazi kuwa Rais alijua kila lililoendelea. Ukiniambia kuwa hakujua, basi hilo ni tatizo kubwa zaidi katika nchi maana alipaswa kujua!Sheria ikishatungwa na kupitishwa na bunge haiwi sheria kamili hadi Rais asini. Sheria iskishasainiwa ni jukumu la wizara kutunga kanuni za utekelezaji, kama umeufatilia mkutano wa leo hata wale viongozi wawakilishi walishindanda kwenye kanuni za kikokotoo na sio sheria yote. Hamna aliyeilalamikia sheria bali kanuni za utekelezaji. Mkulu hahusiki kwenye hilo. Ana mengi ambayo hayafurahishi, ila kwa machache anajitahidi. Mie pia nilikuwa/ ni mhanga wa fao la kujitoa, nilishaliza mchakato wa kupokea33.3% jan19.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kanuni zinatungwa kukazia sheria. Kama kanuni mbaya ujue na sheria pia ni mbaya maana imetoa mamlaka kwa waziri kutunga kanuni za hovyo. Sheria nzuri ilipaswa kuweka caps (lower ama upper). Sasa kwa sheria ilivyo mbovu waziri angeweza hata kuamua kuwa wastaafu wapewe 1% (achilia mbali 25% inayolalamikiwa) katika mkupuo wa kwanza! Huwezi kumtoa Rais katika suala hili. Na kwa ukubwa wa suala lenyewe na mivutano iliyokuwepo ni wazi kuwa Rais alijua kila lililoendelea. Ukiniambia kuwa hakujua, basi hilo ni tatizo kubwa zaidi katika nchi maana alipaswa kujua!
Kanuni zinatungwa kukazia sheria. Kama kanuni mbaya ujue na sheria pia ni mbaya maana imetoa mamlaka kwa waziri kutunga kanuni za hovyo. Sheria nzuri ilipaswa kuweka caps (lower ama upper). Sasa kwa sheria ilivyo mbovu waziri angeweza hata kuamua kuwa wastaafu wapewe 1% (achilia mbali 25% inayolalamikiwa) katika mkupuo wa kwanza! Huwezi kumtoa Rais katika suala hili. Na kwa ukubwa wa suala lenyewe na mivutano iliyokuwepo ni wazi kuwa Rais alijua kila lililoendelea. Ukiniambia kuwa hakujua, basi hilo ni tatizo kubwa zaidi katika nchi maana alipaswa kujua!
Hizi siasa chenga kabisaNimesikia viongozi wa serikali ya chama changu wamesema serikali kupitia kwa Mhe.Rais Samia imepokea kilio cha Watanzania kuhusu TOZO. Na imeahidi kulifanyia kazi.
Kilio imekileta yenyewe,na inapanga kukiondoa yenyewe,na tuliolia tutaipongeza serikali.
Kupongeza Oye!!