Siasa bwana ndio maana siitaki hebu angalia

Siasa bwana ndio maana siitaki hebu angalia

kasulamkombe

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
2,232
Reaction score
2,493
heshima kwa Rais.png
mwigulu na ndege.jpg
heshima kwa Rais.png
GWAJIMA NA MAKONDA.jpg
chadema na CCM (1).jpg
 
Kwa nchi zetu hizi siasa ni unafiki mtupu na kujikombakomba
 
hapo nimem`recognize makonda na gwajima tu hao wengine hata sijawasoma...
 
Mshana hebu tuwekee kumbukizi ya yule aliyemsafishia rizmoko viatu pale Rosegarden
 
Sio siasa sema maisha bwana! Kila mmoja kwenye Maisha anambinu zake za kuishi. Unaweza ukasema wanajikomba potelea pote mradi mkono uende kinywani
 
Back
Top Bottom