Siasa basi Mchungaji Rwakatare


Huyo mama ni shetani
 
Si unajua, usipogawa vitenge huwezi kupata kura??? Sasa kugawa vitenge na madhabahu haviwezi kwenda pamoja.

 

Ni mmjawapo wa wapinga kristo
 
huyu mama tangu aingine bungeni sikuwahi kumsikia akichangia chochote
 
vitambaa vya kanisa lake njano na kijana,yaani mpaka kanisa kaigeuza CCM
 
vitambaa vya kanisa lake njano na kijana,yaani mpaka kanisa kaigeuza CCM
Kageuza kanisa lake kijiwe cha ccm.Nilimuona Jaa people mwenyekiti wa ccm mkoa wa Njombe akitambulishwa kama mzee wa kanisa watu wasanii waki ccm.Shughuli za kiroho mgeni rasimi ana mualika Mama Sofia Simba kwa kuwa ni shoga yake bungeni.Hapo hamna kitu!
 
Kageuza kanisa lake kijiwe cha ccm.Nilimuona Jaa people akitambulishwa kama mzee wa kanisa watu wasanii waki ccm.Shughuli za kiroho mgeni rasimi ana mualika Mama Sofia Simba kwa kuwa ni shoga yake bungeni.Hapo hamna kitu!

Huyu mama haeleweki kabisa
 
Mtu huyu alianzisha huduma hiyo kama moja ya makanisa ya TAG.Baadaye akaliita Mikocheni B Assmblies of God likiwa siyo TAG tena.Ni mama korofi sana,akiwa mfanya biashara mkubwa mwenye mashule ya Saint Maries.Sasa mimi sijawahi kumwona Mtumishi wa Mungu akiwa mfanya biashara mkubwa.Maandiko yana sema huwezi kutumikia mabwana wa wili.Mara na mkuta kapata ubunge,sasa wapi na wapi kwenye utumishi?
 

Aingie ktk diet apunguze uzito na ufisadi
 
Kwani alitegemea Edward lowasa / DR slaa atamteua tena mwakani? Nijuavyo mwisho wa ubunge wake ni 2015 October , haikuwai kuwa vinginevyo!!
 
huyu mama tangu aingine bungeni sikuwahi kumsikia akichangia chochote

Mkuu namtetea aliwahi kuchangia bungeni, alisema kuwa wachungaji waombee uchumi wa nchi ila nakumbuka mchungaji p. Msigwa alimjibu kuwa wachungaji waombee wazinzi, matapeli ila uchumi ujengwa kwa principles!!
 
Kama mtumishi wa Mungu ni kwa nini aliposhauriwa asuluhishe na mumewe alikataa hadi mume akafariki? Nadhani siyo suala la utumishi bali ni jimbo kwenda upinzani.
huyu mama ni mtumishi wa shetani anayewatumikia mashetani wenzake ccm
 

Huyo si mtumishi Wa Mungu Bali ni AntiChrist
 

a devil on the cross
 

kwenye ajira siyo uhamiaji tu hata kilimo wamojazana ndugu. huna jamaa wizarani kwa sasa huwezi kupata kazi. kibaya zaidi watoa vyeti feki mtu kasoma A LEVEL HISTORY GEOGRAPHY NA KISWAHILI ANAJOIN FOR A DIPLOMA THEN ANAPIGA BILA SHAKA. LAKINI WATU KAMA HAWA AMBAO WALIPATA F. YA BIOLOGY F4 UNAJIULIZA ALIWEZAJE KUSOMA DIPLOMA? UNAMUULIZA HOW CAN U DETERMINE WATER REQUIREMENT HANA LA KUJIBU, PLANT PHYSIOLOGY ALISOMA SEMESTER YA NGAPI ANANG'AA MACHO? KWA KUSHINDWA KUJIBU SO BASIC QUESTIONS LIKE THESE ONES HOW DO YOU EXPECT HIM TO HELP THE POOR FARMERS IN THE VILLAGE? SASA NI KWELI TUNAITENDEA HAKI NCHI HII . KWANINI ASIENDE MAKUMBUSHO YA KISWAHILI HUYU BADALA YA KWENDA KUWA AFISA UGANI. CCM IMEOZA SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…