Siangalii mwanamke mara mbili.


thanx my brother ila sentensi ya mwisho inatuonyesha jinsi tulivyo na wanyama wengi wenye maumbile ya ubinadamu!
 
tungekua na watu kama wewe hata 20tu mmu shetan angepata shida,hongera xana mwenye akili kajifunza kitu hapa mimi nime2mia i principle4long time,bwana akubariki kwa kuubili neno lake kwenye mtandao,subiri baraka zako.thanks dear brother
 

Kwa nini unajitesa? Wakati fahari ya macho haifilisi duka
 

hongera ndg,utajiepusha na mengi
 

Mwisho wa usiku utakuwa kama mjomba wangu, Ustaadh Yusuf Djibril nakati ya Magomeni..Baada ya dini kumkolea sana, yeye akawa akitembea haangalii wala kuongea na wanawake kabisa. Unajua aliishia wapi? Tuma neno ALIPOISHIA kwenda namba 15777. Utakatwa buku tano tu
 
Nadhani ukiangalia na baada ya kuangalia ukashinda vishawishi unakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…