Siangalii mwanamke mara mbili.


Kodolea na hii sasa ......!!!!!!!!
 
Nakusapoti mtoa mada, kuangalia kwa tahadhari ni jambo jema sn walau mara moja tu then unasepa zako, ukiangalia sn unaweza jikuta ndani ya mfereji bureeee! dada zetu na nyie mtupunguzie mitego basi!
 
Gharama ya kutogeuka ni kubwa zaidi kimawazo, kwa sababu nitabaki kila siku najiuliza hivi yule kaumbikaje! Halafu haindoki kichwani, bora nimwangalieee, niridhike niondoke.
 
Ulizaliwa lini mwenzetu? Haya endelea hivyo hivyo!!!!!!!!!!!!!! Hv kwanza unakaa wapi?
 
Umeona eh. Walah mi nna hamu sana ya kukutia machoni we mrembo. Hebu ni wozap picha yako mtoto wa mwanamke mwenzio nipate apetaiti ya kula apple.

akuuu babu wewe, staki kupaushwa mie. lol
 
Tena wewe nikibahatika kukutana wewe, ntakuangalia mpaka upate mimba. Mi penda sana totoz walah. Mungu ashukuriwe kwa uumbaji wake mantashau.

haha! Unamacho ya ajabu hadi yanamwaga mbegu!! Loh ntavaa ngozi ya mbuzi!
 
Muachege kutuangalia hadi 2najikwaaga na kuharibu kucha zetu ebo!!
 
Gharama ya kutogeuka ni kubwa zaidi kimawazo, kwa sababu nitabaki kila siku najiuliza hivi yule kaumbikaje! Halafu haindoki kichwani, bora nimwangalieee, niridhike niondoke.

sidhani maana kuangalia hakuishii hapo.
 
kama ni kweli, basi mkeo /girlfriend/mchumba wako ana BAHATI ya mtende wallahi!
 

unachezea shilingi kwenye tundu la choo, ipo siku itadondokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…