Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Siamini kabisa haya mauaji ya Polisi na raia tulioyashuhudia na tunayoendela kuyasikia huko USA yanatokea tu kwa sababu ya ubaguzi wa rangi tunao ambiwa, binafsi naamini kabisa kwamba kuna zaidi ya hapa, ikumbukwe anti christ Obama ana nia, na amedhamiria kuwanyang'anya Wamarekani Silaha, yaani kuondoa umilikaji wa Silaha za moto kwa raia wa USA, jambo ambalo wana USA hawawezi kukubali kwa maana wamekuwa wakimiliki silaha maisha yao yote tangu kuanzishwa kwa Taifa leo, sasa naamini kabisa huyu anti christ Raisi Obama aweze kulifanikisha hilo ni lazima awatayarishe Wamarekani kisaikolojia ili apate sababu ya kuungwa mkono na kuwanyag'anya silaha!
Lengo la yeye kutaka wana USA wasiwe na silaha analijua yeye na watu wake, lkn haiwezekani kwamba imetokea tu watuhumiwa wote wawili wa mauaji ya Polisi (Texas na hivi jana Louisiana) wanaambiwa kuwa wana uhusiano na ,,nation of Islam", kwa wasiofahamu hili ni kundi lililoanzishwa na Elijah Mohamed ambapo alikuwa na nia ya kuwasilimisha Wamarekani weusi wote wachukue dini ya Uislam na wafuasi wa Elijah Mohamed ni Malcom X ambaye aliuliwa na CIA, Mohamed Ali, Louis Farrakhan na wengineo!
Hivyo naamini kabisa anti-christ Obama &Co. yuko nyuma ya haya mauaji na matukio mengi zaidi yatafwata na hii yote ni katika kuwatisha na kuwatayarisha watu wa USA!

Obama akilia chozi la unafiki, huyo ni Raisi wa kwanza wa USA kulia hadharani
Askari waliouliwa Baton Rouge, USA!
Na huyu ndiyo anasemekana kuwa muuwaji Gavin Eugene Long ambaye kama alivyokuwa kwa Micah X. Johnson(Texas) pia ni Mwanajeshi mstaafu aliyekuwa Iraki na pia mfuasi wa ,,nation of Islam"!