Siamini tena wanawake wapole

Wanawake wapole ni zaidi ya unga Wa pilipili machoni..hua ni wapole wakiwa nje ila ndani ni zaidi ya kufungiwa chumba kimoja na chui mwenye watoto...mimi ata sina cha kukushaur maana sina tofauti na wewe!
Da! Pole sana
 
Hongera zako
 
VIJANA TUNASHANGAZA JINSI TUNAVOCHUKUA AU TUNAFO JUDGE MKE MTARAJIWA ETI KWA KUANGALIA UPOLE SIJUI UKIMYA..FORMULAR ZA KITOTO HIZI...AKIWA MKIMYAMNDO KATULIA KWANI...POLE KIJANA NA UMEGUNDUA BAHATI YAKO...AF ALIYEKWAMBIA MKE BORA NI KANISA LA KILOKOLE TU....MWENYE HOFU YA MUNGU NI VIZURI HUPATIKANA MAKANISA HAYO ILA PIA USISAHAU MAKANISA YAMEKUWA KICHAKA PIA KWA ISHU ZA NDOA...POLE LAKINI PIA BORA UMEGUNDUA
 
Wanyaturu,wanyeramba,hua wana viburi sana,na ni wahuni. Ukiwaangalia tu Kwa harakaharaka,unaeza sema wapole, wenye maadili lakin hapana.

Mi nimeoa Singida,nawajua kiasi. Hawa ni shemeji zangu.
Wengi wao,tabia zao zimechangiwa na malezi ya hovyo wapatayo kutoka Kwa wazazi.
Wengi hawana hofu ya Mungu,(sio wote).
Wengi wakati wa uchumba n mafundi Ku pretend fake life,then baada ya ndoa huchomoza makucha yao.
Ni bora kumuacha mapema kama umegundua ana tabia usizozipenda,kwan huwa n wabishi kubadilika. Wengi wanafanya mambo Kwa msukumo wa ushamba,kujionyesha kwao ,ili waonekane n wa kisasa,wajanja.
Majibu ya hovyo,matusi n vitu vya kawaida ukimuudhi,hawana aibu,hata mbele za watu anaeza toa tusi.
Lakini akikupenda,hasa, they are very committed in love. So the choice is yours
 
kwani hivo vimini ameanza kuvaa baada ya kukukubali??
maisha ya juu ndo yepi?? anataka kunya kwenye choo cha dhahabu?? kama maisha mazuri kila binadamu anahitaji ,tusiwanyanyase watoto wa watu eti wanapenda maisha ya juu kama uwezo huna mwambie sababu ww ndo umemfuata kumtongoza si yeye,wnaume tunapenda kujipa stress sana somtym,tufuatilie mademu walio ndani ya uwezo wetu
 
nina historia ya kua na wasichana wa kilokole kama watatu hivi, ila mmoja mlokole kwa ajili ya wazazi tu! kazi niliipata jwa huyu mlokole wa ukubwani, anaenda kanisani jumatatu, jumatano, ijumaa, jumamosi kufanya usafi na jumapili, kwa kifupi yupo bize na ni mpole na mtu akimwona anajua ni mstaarabu na mwenye heshima, sio mzuri wa sura ila nilihisi atakua na tabia njema, ila niliyokuja kugundua baada ya kama miezi sita ya mahusiano ..... kanisani watu wanaficha tabia nyingi chafu na kujenga unafiki kwa jamii inayowazunguka....
 
Usiamini mchungaji wala shekhe jiamini wewe ama utakufa mapema.
 
Mke wangu alikuwa anatoka na mchungaji wake naye akiwa mzee wa kanisa. Chezea watafuta mungu wewe!
 
Huyo sio bint wa kuoa kaka ILA ni wa kutumia tu. Kama una mpango wa kumuoa msubiri kwanza amalize mambo ya ujana au tafuta aliye tayari. Angekua ni mzuri angeshaolewa. Pole sana
 
Mke wangu alikuwa anatoka na mchungaji wake naye akiwa mzee wa kanisa. Chezea watafuta mungu wewe!
Balaa sana!
 
Usimtongoze mwanamke kwa nia ya kumuoa au kuweka malengo ya kudumu.....kitu cha kwanzA ni kupiga pumbu halafu ukikuta ana akili unaendelea nae ukikuta mbumbumbu unapiga chini...ukiwa na akili hii hutapata shida
 
Wakati unamfuatilia ulikuwa huoni hayo mavazi anayovaa ya kubana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…