feysher
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 2,656
- 2,762
Ngoja nije unisaidie
Itapendeza kama na wewe Ukifuata Dokezo la mtoa mada

Ila wanaume tumeumbwa mateso, unajinyima ujenge ili uje uishi na mtu ambaye muda huu we unaojinyima yeye anaelekea guest
Mnaweza sana huwa mnajiendekeza tu.
Hakuna mafanikio yasiyo na chanzo labda unaficha siri ya mafanikio yako