Siamini macho yangu, CCM ndo inakufa

Siamini macho yangu, CCM ndo inakufa

Nahisi Ungeanza Wewe Kwanza Na Kama Shamba Lenyewe La Wiziwizi Jiandae, Lukuvi Is Still On The Move,wenzake Wanapiga Kampeni Yeye Anasafisha Wizara Ya Ardhi...
wametajwa buku 7,kwani wewe ndiye mbona unapovuka sana
 
""Wakati kinatoa roho kitafungua macho makali kweli lakini itakuwa hakuna msaada tena""Safari itakuwa imewadia!
 
Kila mtu nkimuuliza kwenyejimbo leno magufur amrfirika wana sema "hawapi watu tumeenda kuangalia wakina diamond" hii ni hatar xana kwa sisi emu, pia kelele zina kua nying pale wasanii wanapo wapungia mikono wananchi,magufur anatumia mwanya hua kutoa salam zake watu awana mpango nae
Kweli chama changu kimekufa

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
...ishakufa tayari ndo maana hata wao hawasemi chagua ccm maana hakuna hicho kitu, kilichopo ni mkusanyiko wa kivuli chao, tunazika rasmi tarehe 25 October....
Yaani kura tu za waislam zinatosha kumnyima lowasa kura, bado za wakatoliki, wasiokuwa na dini. Lowasa hawezi kuwa rais hata iweje!!!
 
Wanajukwaa,

Kwanza nianze kwa kuwapa pole wale ambao walishazoea kupata ulaji kupitia mgongo wa CCM, kwa hali ilivyo sasa najua mnaumiza sana vichwa kufikiria juu ya hili, na sidhani tena kama mtakuwa na msaada wowote.

Katika kipindi hiki kigumu ningewashauri muanze kutafuta kazi za kufanya mapema kabisa ilimradi mpate vijisenti vya kujikimu, Bomba la kupatia hela linaenda kufungwa.

Ccm kwa sasa inajaribu kukikimbia kifo lakini siamini kama kifo huwa kinakimbiwa, na hii inatokana na kulemaa wao wenyewe walijisahau wakadhani bado wapo kwenye mfumo wa chama kimoja.

Kwa sasa ni nani mwenye ujasiri wa kutamka neno "CCM" mbele ya mhadhara wa watu tofauti na jukwaani? na likitamkwa ujue si kwa mazuri bali uozo wake na halufu mbaya inayotoka.

Mwanzoni nilijua ni siasa za Tanzania za miaka yote, lakini nimekuja kugundua ni tofauti kabisa, nasikitika kuona chama tawala kuonyesha udhaifu namna hii,Nasubiri Wosia wa mwisho wa chama hiki wakati kinakabidhi majukumu kwa wapinzani KWAHERI CCM.
Wewe mpumbavuu na lofa, lowasa hawezi kuwa rais. Rejea kauli ya waislamu. Pia ni fisadi na mwizi anayetakiwa kuchomwa moto afe
 
Kila mtu nkimuuliza kwenyejimbo leno magufur amrfirika wana sema "hawapi watu tumeenda kuangalia wakina diamond" hii ni hatar xana kwa sisi emu, pia kelele zina kua nying pale wasanii wanapo wapungia mikono wananchi,magufur anatumia mwanya hua kutoa salam zake watu awana mpango nae
Kweli chama changu kimekufa

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums

wenyewe wanaona raaaha.
 
r.I.p ccm tulikupenda lakini mafisadi walikupenda zaidi
 
Ewe mwenyezi mungu tusaidie vizazi vijavyo tz visikutane na hiki kitu kinachoitwa ccm. Ni shida tupu.
 
Back
Top Bottom