Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,659
Ccm out
UKAWA IN
UKAWA IN
Rais &Umejiunga juzi tu uko lindo kupiga posho za Ukawa, kwenda huko
Umejiunga juzi tu uko lindo kupiga posho za Ukawa, kwenda huko
Umejiunga juzi tu uko lindo kupiga posho za Ukawa, kwenda huko
Ningeweza kupita tu bila kuchangia thread yako, lakini kwa kuwa una matatizo ya kiakili angalau tukusaidie tu! ccm kufa hakupo na hakutatokea mwambie aliyekupa hela ya kula leo kuwa tayari umepost ili uishi. HAPA KAZI TU.
Tume itakubali Lowassa ashinde?
Wanajukwaa,
Kwanza nianze kwa kuwapa pole wale ambao walishazoea kupata ulaji kupitia mgongo wa CCM, kwa hali ilivyo sasa najua mnaumiza sana vichwa kufikiria juu ya hili, na sidhani tena kama mtakuwa na msaada wowote.
Katika kipindi hiki kigumu ningewashauri muanze kutafuta kazi za kufanya mapema kabisa ilimradi mpate vijisenti vya kujikimu, Bomba la kupatia hela linaenda kufungwa.
Ccm kwa sasa inajaribu kukikimbia kifo lakini siamini kama kifo huwa kinakimbiwa, na hii inatokana na kulemaa wao wenyewe walijisahau wakadhani bado wapo kwenye mfumo wa chama kimoja.
Kwa sasa ni nani mwenye ujasiri wa kutamka neno "CCM" mbele ya mhadhara wa watu tofauti na jukwaani? na likitamkwa ujue si kwa mazuri bali uozo wake na halufu mbaya inayotoka.
Mwanzoni nilijua ni siasa za Tanzania za miaka yote, lakini nimekuja kugundua ni tofauti kabisa, nasikitika kuona chama tawala kuonyesha udhaifu namna hii,Nasubiri Wosia wa mwisho wa chama hiki wakati kinakabidhi majukumu kwa wapinzani KWAHERI CCM.
Chagula magufuli hapa kazi tuu ; Chagua Mwigulu muadilifu; Chagua Januari kembe letu;
Hawana chama hawa???
CCM imekufa kabisa sasa kuna watu wanaitwa badala ya CCM
Chagua Tanzania ya Magufuli! Wamekwisha chaliiiiii
Mwamunyange kasema yeye atashirikiana na yeyote atakayeshinda.Tume itakubali Lowassa ashinde?
Wale wa buku 7 wanione hapa Simiyu niwape shamba waanze kufyeka pori coz zimebaki siku 30 tu ajira yao ikome