Siamini kuwa hii ni bure!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siamini kuwa hii ni bure!!!

Discussion in 'International Forum' started by Sijali, Oct 5, 2012.

 1. Sijali

  Sijali JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 2,061
  Likes Received: 421
  Trophy Points: 180
  Ujerumani imeipatia Tanzania ruzuku kubwa zaidi kutokea (176 m EU) ya kuisaidia kuweka sawa bajeti yake na kwa masuala mengine:
  "GERMANY has extended a grant of 176 million Euros (about 380bn/-) to Tanzania. The funds will cover three years and are the largest amount Germany has ever committed to support Tanzania in its development endeavours.
  In line with that, the German Government will also extend a grant contribution of 18 million Euros (28bn/-) to support immunization programmes in Tanzania. He mentioned other programmes as the Energy (26 million Euros), Natural Resources (31.5 million Euros), National Audit Office (3.5 million Euros), Local Governance (6.5 million Euros) and Study and Expert Fund (one million Euros)." allAfrica.com: Tanzania: Germany Offers Hefty Budget Grant


  Sidhani kwamba hii ni chee bin dezo! Niwajuavyo Wazungu hawana hiyo uncle nisaidie, shangazi nina njaa. Wao wana 'calculate'. Unaona hapo fungu kubwa linakwenda katika kuendelea mali asili?
  Huku kusaidiwa hata bajeti yetu kutakwisha lini? Hili ni tusi kubwa sana. Ni kama kusaidiwa kumlisha mkeo na watoto wako!
   
 2. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,753
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  Ndoa nyingine hii!
   
 3. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  'Huwezi kula bila kuliwa, unataka kula tuuu bila kuliwa?... JK.
   
 4. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,461
  Likes Received: 789
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni msaada kutokea Germany au ni nini?Kama hujiwezi na huwezi kukopa basi mwenye nacho anamsaidia aliepungukiwa.Maendeleo yanachangamoto nyingi,na kila alama ya ni muhimu.
   
Loading...